Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupaki bus ndio strategy ushindi ?Wydad kipindi cha pili hakuna Ontarget.....
Mbinu zipo unasemea?
Robo Tinyo....Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa.
Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
Simba alipakije basi?Kupaki bus ndio strategy ushindi ?
34% ball possession.....? Utasema pia hatujui ile ni 64% ....Simba alipakije basi?
Unaelewa hata maana ya kupaki basi?
Kupaki basi involves Pressing?
SIo kila defensive tactics ni umepaki basi.
Kupaki basi ni nini?34% ball possession.....? Utasema pia hatujui ile ni 64% ....
Ww jamaa mpira hujuiUshujaa upi? Check statistics za mchezo .....simba walizidiwa sana kimbinu
Yanga wanajua Mimi acha nisijueWw jamaa mpira hujui
Tatizi kubwa la Simba la muda mrefu ni kutoweka maslahi ya timu mbele kabla ya mtu au kitu kingine chochote. Nitatoa mifano michache.All in all Huyu golikipa wa Simba 🦁 hakua mzoefu na penalty....anazidiwa hata na MOHAMED MAKAKA wa mtibwa sugar.....kwenye kua tishio kwenye kuokoa penalty.............
Sijui kama mnanielewa....
Nauhakika AIR MANULA ange okoa hata mkwaju mmoja.....
Nimesikitiswa na kapombe kukosa penalty sio kawaida yake.....Ni mchezaji tunae tumia mguu mmoja.........alitakiwa apige ule upande mwingine.....
Chama alipiga penalty ya kidhaifu sana....Bora hata angepiga penalty ya ki Cameroon.....
Kwa sisi ambao tumetrain sanaa penalty tunajua kwenda kupiga penalty tayar ni Nusu goli......
Mm hata akiwekwa kipa namba Moja duniani hawezi cheza penalty yangu.....
Natamani golini ange kua Muhammad Mwameja.....
Matokeo yameniumiza sana tena sana ilikua ni lazima mmoja atoke ila nature imetuchagua sisi.....
nipo hapa najitahid ku cope with Experience's
Nakubaliana na wewe 100%Tatizi kubwa la Simba la muda mrefu ni kutoweka maslahi ya timu mbele kabla ya mtu au kitu kingine chochote. Nitatoa mifano michache.
Kumuweka nje Kakolanya kisa tu wanataka kumkomoa (wakitumia kisingizio cha kutomuamini) ni moja ya mambo hayo. Salum ni wazi hana uzoefu wowote na ana ujuzi mdogo katika udakaji wa penati, Simba wangeweka pride pembeni na kumuingiza Kakolanya hata dakika zile za mwisho kwa ajili ya kudaka penati, story ingeweza kuwa tofauti. Nadhani hata Beno anaweza kuwa mpigaji mzuri wa penati.
Onyango ameigharimu sana Simba msimu huu lakini kuna ukakasi katika kumuwajibisha au kumuweka pembeni.
Haya yote nasema kuonyesha kuna shida katika kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya timu.
Chama baada ya kipindi cha kwanza alionekana amechoka. Kuna foul alipiga mpira dhaifu sana na penati hivyo hivyo. Naelewa labda aliavhwa kwa ajili ya penati ila penati ya mwisho kama ile ya kuamua mechi ambayo mnapiga mkiwa nyuma, wataalamu huwa wanapiga aliposimama kipa maana wanajua ataruka tu kujaribu kumaliza gemu. Zoezi la penati ni zoezi la kisaikolojia kuliko kitu kingine ingawa siku hizi penati pia zinapigwa zenye nguvu siyo kama ile ya Chama iliyokuwa dhaifu.
SPAIN vs MOROCCO world cup uliona MOROCCO jinsi walivyopiga penati zao?All in all Huyu golikipa wa Simba [emoji881] hakua mzoefu na penalty....anazidiwa hata na MOHAMED MAKAKA wa mtibwa sugar.....kwenye kua tishio kwenye kuokoa penalty.............
Sijui kama mnanielewa....
Nauhakika AIR MANULA ange okoa hata mkwaju mmoja.....
Nimesikitiswa na kapombe kukosa penalty sio kawaida yake.....Ni mchezaji tunae tumia mguu mmoja.........alitakiwa apige ule upande mwingine.....
Chama alipiga penalty ya kidhaifu sana....Bora hata angepiga penalty ya ki Cameroon.....
Kwa sisi ambao tumetrain sanaa penalty tunajua kwenda kupiga penalty tayar ni Nusu goli......
Mm hata akiwekwa kipa namba Moja duniani hawezi cheza penalty yangu.....
Natamani golini ange kua Muhammad Mwameja.....
Matokeo yameniumiza sana tena sana ilikua ni lazima mmoja atoke ila nature imetuchagua sisi.....
nipo hapa najitahid ku cope with Experience's
Nakunukuu,SPAIN vs MOROCCO world cup uliona MOROCCO jinsi walivyopiga penati zao?
Kama uliangalia kwa umakini utagundua hao jamaa WYDAD wanapata session ya kujifunza upigaji wa penati, kwanza MIWA, pili zinapigwa far post.
Sijaona mkwaju wowote wa Penati ambao Manula angeweza kudaka. Tuseme tu Simba walipaswa kufunga penati zao basi. Suala la kukosa hao WYDAD labda kupiga Nje.
Namuweka Wattara hapo, nilimsahauMtoe Banda kwenyehiuo orodha aisee[emoji34][emoji34]
Vitu kuwazidi makipa wa Spain national team?Nakunukuu,
"Kama uliangalia kwa umakini utagundua hao jamaa WYDAD wanapata session ya kujifunza upigaji wa penati, kwanza MIWA, pili zinapigwa far post"
Sipingani na wewe ila tukijalibu kuwa angalia magolikipa kama JUMA KASEJA,
walikua na kitu Cha ziada ambacho wengine hawana....,.
Mm ni shabiki mkubwa wa Simba, ila mambo ya kupeleka teams bungeni siyaungi mkono, sijawahi kusikia real Madrid wakipelekwa kwenye bunge la Spain. Bungeni tupeleke CAG reports na vingine! Hongera Simba kwa hatua mliyofikia, siwadai kitu, let's come back stronger next season!Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa.
Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
Heshima ipi?imefungwa ndani ya dk 90...lakini pia imefungwa kwenye penati mbaya zaidi timu imekosa penati mbili na kipa wa Simba hajazui a hata penati moja....kichekesho kipa alikuwa anaruka upande mmoja tu.Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa.
Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
Katika maisha yangu nimeshuhudia watu wenye Talent kubwa pengine kupita hata hao wa Spain national team kinacho tu let down ni mazingira magumu huku Africa 🌍Vitu kuwazidi makipa wa Spain national team?