Pamoja na Kutolewa ila Simba SC imeiheshimisha nchi Waitwe Bungeni Kushukuriwa

ulichezea timu gani
 
Chama ana ustaa wa kijinga
 
Kwa chama nakubaliana na wewe. Nilimuona akipiga tu bila maandalizi. Hakurudi nyuma kabla ya kupiga ili kuongeza force ya upigaji. Kifupi hakuwa serious katika upigaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…