Pamoja na Kutolewa ila Simba SC imeiheshimisha nchi Waitwe Bungeni Kushukuriwa

Umedata mpaka unaomba Mwameja arudi golini.
 
Sijaona ukiume wowote, waliingia na matokeo yao mkononi. Wakajiona watampiga mwarabu 2, kwamba wydad ataambulia kagoli kamoja, wao wapenye kwa goli la nyumbani.

Wameambiwa wydad akiwa kwenye Ardhi yake, hana mchezo. Simba shots on target hata moja hawakujaribu, utasema wamepigana kiume? Ukweli ni kwamba walizidiwa kila mahali, Possession, Shots, Passes.
Acheni kumuongezea maiti damu.
 
wapuuuzi jinga lingine ilo toto apo juu
 
Kamua limao unywe!
 
Naunga mkono hoja.Jana mashabiki wa WAC wote walikuwa kimya kama wameukalia .Bahati ,Bahati Bahati haikuwa kwetu.
 

Wewe kweli popo mama
Mwaka wa nne wanaishia pale pale robo fainal wanaheshimisha kitu gani
 
Yaani shirt off target 0, short on tarfet 0, ndio uitwe bungeni🤔🤔 kwa lipi hasa ulilolifanya mkuu
 
Sifa za kijinga hizo, ndiyo maana kuendelea ni ngumu sana kwa fikra zenu ndiyo hizi. Anyway tumeishwazoea nanyi mmesharizika na ubingwa wenu wa robo fainal, wapelekeni bungeni sijui wanaenda na kipi? Bora msubiri nbc au azam sport federation mnaweza pata cha kwenda nacho mjengoni, mbali na hapo ni uzumbukuku na upopoma.
 
Wanasema wametoka kiume zamani walikua wanatoka kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…