Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Majambazi wakubwaHuna hoja umekuja kutoa povu la kushindwa uchaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majambazi wakubwaHuna hoja umekuja kutoa povu la kushindwa uchaguzi
Daah,nitake radhi kwa kunipotezea mda ,wakati hauna hoja ya kujadili na mimi zaidi ya lugha za mitaani.Inaonekana we kijana kwenu hakuna wakubwa.Chukua Chako Mapema
Armed robbery?Majambazi wakubwa
Wewe sio mwerevu ni fala unajidai mjanja, mpumbavu unaedhania unaakili
Umeandika nini hiki tafadhali??🤔 au ulitaka kusema nini labda??🤔🤔 be freeAlijichagua mwenyewe
Kuna ubaya gani kusubiri huo uchunguzi? Swala linaweza kuwa wale wauza magari ndio walisema gari lililopo ndio hilo na bei ndio waliyoipanga. Jambo ambalo unaweza sema ni kwamba kuwe na figures specific kwa aina ya gari kwa kila uongozi. Iwe uniform country wide otherwise unaweza kukuta kuna mikoa mingine wapo wenye magari kama hayo sasa utawafukuza wote? Je, kama mkurugenzi hakushiriki katika kuchagua gari unamuhukumu vipi? Kuna umuhimu wa kuwa na centralised procurement process ya vitu kama magari etc.Hata kama hakuna ufisadi, unaweza kutetea manunuzi ya gari ya mil 460? Wakati wananchi wako wanaishi kwenye lindi la umaskini! Hivi huyu mbunge anapajua Shilabela? Nyankumbu na maeneo ya watu hohehae? Anajua maisha ya Geita kwa undani? Hivi Rais Magufuli alikuwa anapigia chapuo wabunge kama huyu?
Wewe umemaliza hata la tatu? Unadhani Gpsa kazi yao nini? Wao ndio wanaregulate bei za bidhaa zote ambazo zitanunuliwa na serikali,kama Gpsa walitoa maelekezo ile gari ipo kwenye viwango vya bei inayotakiwa unategeme nini? Kaa kimya lala kama hujui kitu.Kuna ubaya gani kusubiri huo uchunguzi? Swala linaweza kuwa wale wauza magari ndio walisema gari lililopo ndio hilo na bei ndio waliyoipanga. Jambo ambalo unaweza sema ni kwamba kuwe na figures specific kwa aina ya gari kwa kila uongozi. Iwe uniform country wide otherwise unaweza kukuta kuna mikoa mingine wapo wenye magari kama hayo sasa utawafukuza wote? Je, kama mkurugenzi hakushiriki katika kuchagua gari unamuhukumu vipi? Kuna umuhimu wa kuwa na centralised procurement process ya vitu kama magari etc.
Sasa hapo unajiona umetoa bonge la point! Joined October 2020, how many names are you going to change? I ignore you officially!Wewe umemaliza hata la tatu? Unadhani Gpsa kazi yao nini? Wao ndio wanaregulate bei za bidhaa zote ambazo zitanunuliwa na serikali,kama Gpsa walitoa maelekezo ile gari ipo kwenye viwango vya bei inayotakiwa unategeme nini? Kaa kimya lala kama hujui kitu.
Kwa kweli hata mimi nimemshangaa huyu mbunge labda ndio sababu wananchi walikuwa wana mashaka naye. Ni kweli huenda ikawa mkurugenzi alikuwa ni mchapa kazi, lakini katika matumizi ya fedha za uma inaonesha amefeli, hata kama walishauriana ma madawini, inakuwaje mkurugenzi ukubali kununuliwa gari la bei kubwa kiasi hicho ilhali wananchi wako bado wanashida nyingi tena za msingi.Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa hata kwa tindo na kotapini.
Napiga picha jinsi mbunge wa Geita mjini ambavyo alikuwa hakubaliki kwa wananchi mpaka akalazimishwa na Rais kuomba msamaha kwa wananchi mbele ya hadhara. Kama sio JPM huyu mbunge asingerudi mjengoni.
Sitaki kuongea mengi juu ya huyu mbunge bali wakazi wa Geita ni mashuhuda. Lakini amestaajabisha watu pale alipoamua kujitoa ufahamu na kutetea uovu ambao haustahili kutetewa hata kwa namna yoyote.
Hata kama hakuna ufisadi, unaweza kutetea manunuzi ya gari ya mil 460? Wakati wananchi wako wanaishi kwenye lindi la umaskini! Hivi huyu mbunge anapajua Shilabela? Nyankumbu na maeneo ya watu hohehae? Anajua maisha ya Geita kwa undani? Hivi Rais Magufuli alikuwa anapigia chapuo wabunge kama huyu?
Huyu ni mfano tu, nenda jimbo la Ilemela huko Mwanza. Ni kwamba wananchi hawamkubali huyu mama tena ni waziri mdogo. Lakini ukikaa maeneo ya Ilemela wananchi wana kilio kikubwa sana. Maji, barabara na miundombinu ni shida tu. Ni kama hawana mbunge kwa zaidi ya miaka mitano. Maana ni kero na shida.
Kwa ufupi Magufuli kama mwenyekiti wa CCM awe makini na wabunge ambao aliwapigia debe lakini pindi akiondoka madarakani atatuachia kilio kikubwa sana watanzania. Maana bungeni ni kama hatuna wawakilishi.
Rais anapinga matumizi ya pesa za umma yasiyofaa mbunge anatetea. Hivi hii Tanzania yetu imemkosea Mungu. Any way nimetoa mifano miwili ila tutaoumia ni sisi wanyonge ambao hatuna mbele wala nyuma.
Barabara ya sabasaba buswelu ni mradi wa siku nyingi huo ameukuta hata kama umeisha sio kwa nguvu zake, National to Buswelu kiwango cha lami cha ajabu kabisa sioni sababu ya kumtetea maana ni barabara ya vumbi tu.
Vipi kuhusu shida ya maji huko maeneo ya kahama,wilunhya na mengineyo? Vipi kuhusu migogoro ya ardhi?
[/QUOTE
Nijuavyo mimi barabara zote hizo mbili zimejengwa kwenye uongozi wake haijalishi michakato ilianza siku nyingi au lah! kwa taarifa yako mipango ya maendeleo huwa inakuwepo kwenye makaratasi zaidi ya miaka mingi, sasa anayekuja kuitekeleza ndio wakupongezwa sio aliyeipanga au kuiandaa.
Swala la migogoro ya ardhi hili ni tatizo karibu nchi nzima na wewe unafahamu hii migogoro ya jimbo la huyu mama inshusisha rai na wakina nani na alishafika mpaka waziri wa ulinzi enzi hizo kwa juhudi za mbunge akajadiliana na wananchi, hii inaonesha ni kwa kiasi gani anashughulikia matatizo ya wananchi hata kama bado migogoro yote haijakwisha.
Kuhusu maji, nadhani kama kuna tatizo kubwa nchi hii ni tatizo la maji na hili sio tatizo la Ilemela peke yake. Pamoja na kwamba serikali inajitahidi kuwekeza pesa nyingi kwenye miradi ya maji lakini bado changamoto ni kubwa hasa kwa wakandarasi wanaotekeleza hii miradi ya maji ni asilimia kubwa ni wababaishaji, tena huku nashauri serikali itupie macho hii miradi ya maji maana huku kunashida kubwa sana. Pamoja na hayo bado Ilemela tatizo hilo sio kubwa sana maana kuna mahali niliwahi ishi dumu la lita ishirini lilikuwa linauzwa shilingi elfu moja na zaidi.
Mimi simtetei mkuu ila najaribu kueleza mambo ambayo amejitahidi kufanya ambayo wengine wameshindwa, mfano mzuri Nyamagana barabara ya Kishiri kule. Kuwa karbu na Ziwa sidhani kama ndio kigezo cha kumtwisha mzigo wote huyu mama maana kulishawahi kuwa na wabunge pale na Ziwa pia lilikuwepo lakini hawakuleta hayo maji.christeve88 ni aibu kumtetea huyu mbunge ambae anashindwa kuhakikisha wanannchi wake wanapata maji ziwa lipo karibu hata km tano hazizidi, ni kweli kuna shida ya maji hapa Tz lakini kwa eneo kama Buswelu kukosa maji ni aibu, hapo center mtandao wa maji upo,ameshindwa nini kusimamia ili uenee jimboni kwake?
Umgesema moja kwa moja mbunge kutetea manunuazi ulipoanza kuwa et kawasaidia kuchaguliwa.hapo ndio mashuhuda wa uchaguzi wanatoa waliyoyaona.huku kusini ma DED na na polisi ndio waliamua Nani apate kura zipi.msimamizi kata alisubiri polisi apate support ndio anabandika matokeo aliyoelekezwa.Hoja hapa ni mbunge kutetea manunuzi ya gari la mil 460.
Nini kiliwasukuma kukataa kutoa nakala za matokeo kwa mawakala vituoni? hizo akili za kusema tuna wanachama 15m+au tunabase vijijini ondoa kabisa watu wameangalia maisha yao si chama.huku kusini vijijini ndiko CCM imelazimika kupindua matokeo na fujo kutokea kuliko hata mjini .watendaji kata,waratibu elimu kata imelazika kuwahamisha au kuwabadilishia kazi kuokoa maisha yaohizi akili zitawachelewesha sana nyumbu kukijenga chama, yaani ccm yenye wanachama million 15+ ndo useme hawakuchaguliwa na wananchi?
mara zote ushindi wa nyumbu hutokana na migogoro ya wana ccm ambayo huwagawa wanachama.
Ni kweli mwenyewe alijuwa ataanguka, ndio maana akaamua kutumia vyombo vya usalama, na wakurugenzi wote kuakikisha anapita, huku kwetu vikao vya CCM kujadili vipi wamelazisha ushindi, na je kuna wasaliti? Hawajui watu wamechoka!Kweli kabisa, mimi nilikuwa msimamizi wa uchaguzi huu, katika kituo changu Lissu alipata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyo bandikwa ni lissu 06 na Magufuli 370 hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Itakusaidia nini kusimamia eti rais na wabunge hawakuchaguliwa na wananchi?Acha urongo wabunge hawakuchaguliwa na wananchi na Rais mwenyewe hakuchaguliwa na wananchi. Wewe unajua hili, wananchi wanajua na dunia inajua.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Wewe acha kuwa mshamba,kwa nini usijadili hoja za mtoa mada? Unabaki kuhoji mambo ya kipuuzi,hauna uwezo wa kudadavua mambo?Inauma au ni aibu na fedheha kwa taifa? Huu uandishi ni wa Id 2 humu jukwaani chagu wa malunde, igunduge