Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Daah,nitake radhi kwa kunipotezea mda ,wakati hauna hoja ya kujadili na mimi zaidi ya lugha za mitaani.Inaonekana we kijana kwenu hakuna wakubwa.
Hivi hapa Jf kuna mfuasi wa Chadema ana hoja? Zaidi ya maneno ya kipuuzi kama ya huyu jamaa na wenzake akina tindo
 
Wewe sio mwerevu ni fala unajidai mjanja, mpumbavu unaedhania unaakili

Sawa. Kwa kadiri ya upumbavu wako, hilo ndilo unaweza kulisema. Sikulaumu kwa sababu kuwaza kwako kumefikia kikomo.

Umeanza kusema mimi ni mwerevu. Nikakuuliza umejuaje, ukajibu mimi siyo mwerevu.

Jiangalie mkuu. Upumbavu umekujaa sana. Siyo kwamba ninakutukana
 
Save your energy mkuu ,you have not seen yet. Utashuhudia wabunge wengi sana wakimgeuka. Hataamini kadiri tunavyoelekea 2025.
 
Umeandika vizuri sana . Na mimi nimeandika mara kadhaa kwamba ishu siyo kufuata taratibu bali ni maamuzi. Huwezi kuamua kununua gari ya milioni 460 kwa hela za barrick huku watoto wakikaa chini shuleni. Yaani baba wewe ununue gari huku watoto wako hawana chakula wala mahali pa kulala! Upumbavu wa kiwango cha phd
 
Hata kama hakuna ufisadi, unaweza kutetea manunuzi ya gari ya mil 460? Wakati wananchi wako wanaishi kwenye lindi la umaskini! Hivi huyu mbunge anapajua Shilabela? Nyankumbu na maeneo ya watu hohehae? Anajua maisha ya Geita kwa undani? Hivi Rais Magufuli alikuwa anapigia chapuo wabunge kama huyu?
Kuna ubaya gani kusubiri huo uchunguzi? Swala linaweza kuwa wale wauza magari ndio walisema gari lililopo ndio hilo na bei ndio waliyoipanga. Jambo ambalo unaweza sema ni kwamba kuwe na figures specific kwa aina ya gari kwa kila uongozi. Iwe uniform country wide otherwise unaweza kukuta kuna mikoa mingine wapo wenye magari kama hayo sasa utawafukuza wote? Je, kama mkurugenzi hakushiriki katika kuchagua gari unamuhukumu vipi? Kuna umuhimu wa kuwa na centralised procurement process ya vitu kama magari etc.
 
Kuna ubaya gani kusubiri huo uchunguzi? Swala linaweza kuwa wale wauza magari ndio walisema gari lililopo ndio hilo na bei ndio waliyoipanga. Jambo ambalo unaweza sema ni kwamba kuwe na figures specific kwa aina ya gari kwa kila uongozi. Iwe uniform country wide otherwise unaweza kukuta kuna mikoa mingine wapo wenye magari kama hayo sasa utawafukuza wote? Je, kama mkurugenzi hakushiriki katika kuchagua gari unamuhukumu vipi? Kuna umuhimu wa kuwa na centralised procurement process ya vitu kama magari etc.
Wewe umemaliza hata la tatu? Unadhani Gpsa kazi yao nini? Wao ndio wanaregulate bei za bidhaa zote ambazo zitanunuliwa na serikali,kama Gpsa walitoa maelekezo ile gari ipo kwenye viwango vya bei inayotakiwa unategeme nini? Kaa kimya lala kama hujui kitu.
 
Wewe umemaliza hata la tatu? Unadhani Gpsa kazi yao nini? Wao ndio wanaregulate bei za bidhaa zote ambazo zitanunuliwa na serikali,kama Gpsa walitoa maelekezo ile gari ipo kwenye viwango vya bei inayotakiwa unategeme nini? Kaa kimya lala kama hujui kitu.
Sasa hapo unajiona umetoa bonge la point! Joined October 2020, how many names are you going to change? I ignore you officially!
 
Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa hata kwa tindo na kotapini.

Napiga picha jinsi mbunge wa Geita mjini ambavyo alikuwa hakubaliki kwa wananchi mpaka akalazimishwa na Rais kuomba msamaha kwa wananchi mbele ya hadhara. Kama sio JPM huyu mbunge asingerudi mjengoni.

Sitaki kuongea mengi juu ya huyu mbunge bali wakazi wa Geita ni mashuhuda. Lakini amestaajabisha watu pale alipoamua kujitoa ufahamu na kutetea uovu ambao haustahili kutetewa hata kwa namna yoyote.

Hata kama hakuna ufisadi, unaweza kutetea manunuzi ya gari ya mil 460? Wakati wananchi wako wanaishi kwenye lindi la umaskini! Hivi huyu mbunge anapajua Shilabela? Nyankumbu na maeneo ya watu hohehae? Anajua maisha ya Geita kwa undani? Hivi Rais Magufuli alikuwa anapigia chapuo wabunge kama huyu?

Huyu ni mfano tu, nenda jimbo la Ilemela huko Mwanza. Ni kwamba wananchi hawamkubali huyu mama tena ni waziri mdogo. Lakini ukikaa maeneo ya Ilemela wananchi wana kilio kikubwa sana. Maji, barabara na miundombinu ni shida tu. Ni kama hawana mbunge kwa zaidi ya miaka mitano. Maana ni kero na shida.

Kwa ufupi Magufuli kama mwenyekiti wa CCM awe makini na wabunge ambao aliwapigia debe lakini pindi akiondoka madarakani atatuachia kilio kikubwa sana watanzania. Maana bungeni ni kama hatuna wawakilishi.

Rais anapinga matumizi ya pesa za umma yasiyofaa mbunge anatetea. Hivi hii Tanzania yetu imemkosea Mungu. Any way nimetoa mifano miwili ila tutaoumia ni sisi wanyonge ambao hatuna mbele wala nyuma.
Kwa kweli hata mimi nimemshangaa huyu mbunge labda ndio sababu wananchi walikuwa wana mashaka naye. Ni kweli huenda ikawa mkurugenzi alikuwa ni mchapa kazi, lakini katika matumizi ya fedha za uma inaonesha amefeli, hata kama walishauriana ma madawini, inakuwaje mkurugenzi ukubali kununuliwa gari la bei kubwa kiasi hicho ilhali wananchi wako bado wanashida nyingi tena za msingi.

Mbunge anasema pesa zile ni makusanyo ya halmashauri, kama ni kweli, fedha za almashauri ndio za kununulia magari ya gharama kiasi hicho? Ilhali kuna vijana wengi jimboni wamemaliza vyuo hawana ajira na vikundi vya wakina mama si wangewakopesha ili kuinua maisha yao na kuongeza mzunguko wa pesa.

Nilichokigundua, viongozi wengi ni kama hawafahamu maisha halisi ya watanzania na wala hawazijui shida za raia wanao waongoza. Ukitembelea vijiji vya nchi hii ndio utaelewa maisha halisi ya watanzania, ila kama ukiwa ni mtu uliyezaliwa familia bora ukapata cheo ukawa unakaa ofisini tu huwezi jua maisha ya watanzania.

Binafsi nampongeza Mkurugenzi kwa kuwa mbunifu kwa kuanzisha ujenzi wa bustani ni kweli hilo ni jambo zuri. Tunahitaji miji yetu iwe ya kisasa na yenye mandhari ya kuvutia ila ni kweli bustani ile tuliyoiona kwenye video inaendana na thamani ya mill. 80? Haya ndio maswali ya kujiuliza huenda mkurugenzi alikuwa mchapa kazi kweli lakini matumizi yake huenda yalikuwa ni makubwa sana.

Kuhusu mbunge wa Ilemela mkuu hapa napingana waziwazi na wewe huenda ikawa wewe sio mkazi wa Ilemela hivyo umepata data chache tu kuhusu Angelina Mabula kutoka kwa wachache wasiomtakia mema. Kwa taarifa yako huyu mama ndani ya miaka yake mitano kajitahidi kwa kiasi chake kufanya yale mambo muhimu ikiwemo kutatua kero sugu ya barabara ya sabasaba Buswelu ambayo sasa ni lami tupu, barabara ya National Buwelu sasa ni lami tupu, Sasa inajengwa hospitali ya wilaya kama sikosei maeneo ya Isanzu sasa unataka mbunge afanye nini ndio ujue kafanya kazi.
 
Barabara ya sabasaba buswelu ni mradi wa siku nyingi huo ameukuta hata kama umeisha sio kwa nguvu zake, National to Buswelu kiwango cha lami cha ajabu kabisa sioni sababu ya kumtetea maana ni barabara ya vumbi tu.

Vipi kuhusu shida ya maji huko maeneo ya kahama,wilunhya na mengineyo? Vipi kuhusu migogoro ya ardhi?
[/QUOTE
Nijuavyo mimi barabara zote hizo mbili zimejengwa kwenye uongozi wake haijalishi michakato ilianza siku nyingi au lah! kwa taarifa yako mipango ya maendeleo huwa inakuwepo kwenye makaratasi zaidi ya miaka mingi, sasa anayekuja kuitekeleza ndio wakupongezwa sio aliyeipanga au kuiandaa.

Swala la migogoro ya ardhi hili ni tatizo karibu nchi nzima na wewe unafahamu hii migogoro ya jimbo la huyu mama inshusisha rai na wakina nani na alishafika mpaka waziri wa ulinzi enzi hizo kwa juhudi za mbunge akajadiliana na wananchi, hii inaonesha ni kwa kiasi gani anashughulikia matatizo ya wananchi hata kama bado migogoro yote haijakwisha.

Kuhusu maji, nadhani kama kuna tatizo kubwa nchi hii ni tatizo la maji na hili sio tatizo la Ilemela peke yake. Pamoja na kwamba serikali inajitahidi kuwekeza pesa nyingi kwenye miradi ya maji lakini bado changamoto ni kubwa hasa kwa wakandarasi wanaotekeleza hii miradi ya maji ni asilimia kubwa ni wababaishaji, tena huku nashauri serikali itupie macho hii miradi ya maji maana huku kunashida kubwa sana. Pamoja na hayo bado Ilemela tatizo hilo sio kubwa sana maana kuna mahali niliwahi ishi dumu la lita ishirini lilikuwa linauzwa shilingi elfu moja na zaidi.
 
christeve88 ni aibu kumtetea huyu mbunge ambae anashindwa kuhakikisha wanannchi wake wanapata maji ziwa lipo karibu hata km tano hazizidi, ni kweli kuna shida ya maji hapa Tz lakini kwa eneo kama Buswelu kukosa maji ni aibu, hapo center mtandao wa maji upo,ameshindwa nini kusimamia ili uenee jimboni kwake?
 
christeve88 ni aibu kumtetea huyu mbunge ambae anashindwa kuhakikisha wanannchi wake wanapata maji ziwa lipo karibu hata km tano hazizidi, ni kweli kuna shida ya maji hapa Tz lakini kwa eneo kama Buswelu kukosa maji ni aibu, hapo center mtandao wa maji upo,ameshindwa nini kusimamia ili uenee jimboni kwake?
Mimi simtetei mkuu ila najaribu kueleza mambo ambayo amejitahidi kufanya ambayo wengine wameshindwa, mfano mzuri Nyamagana barabara ya Kishiri kule. Kuwa karbu na Ziwa sidhani kama ndio kigezo cha kumtwisha mzigo wote huyu mama maana kulishawahi kuwa na wabunge pale na Ziwa pia lilikuwepo lakini hawakuleta hayo maji.

Hata Misungwi yenyewe pamoja na kuwa karibu sana na Ziwa lakini mradi mkubwa wa maji ndio unajengwa kipindi jili cha awamu ya tano. Ukipata mbunge anayejaribu kutekeleza hata robo ya ahadi zake ni jambo la kushukuru Mungu, wenzako huko Babati vijijini waliwahi haidiwa kukurabatiwa barabara ya Mbulu Babati kwa kiwango cha changarawe na Mbunge aligombea 2005 kama sikosei alikuwa Dr. lakini mpka anatoka madarakani hata kiwango cha vumbi hakujenga na wala hakuwahi kuonekana na mpaka leo ile barabara ni vumbi tupu.
 
Hoja hapa ni mbunge kutetea manunuzi ya gari la mil 460.
Umgesema moja kwa moja mbunge kutetea manunuazi ulipoanza kuwa et kawasaidia kuchaguliwa.hapo ndio mashuhuda wa uchaguzi wanatoa waliyoyaona.huku kusini ma DED na na polisi ndio waliamua Nani apate kura zipi.msimamizi kata alisubiri polisi apate support ndio anabandika matokeo aliyoelekezwa.
hawa ma DED mnapaswa kuwaheshimu bila hao matokea yangekuwa tofauti sana
Lakini wahusika wengine ambao waliapprove manunuzi vipi?
 
hizi akili zitawachelewesha sana nyumbu kukijenga chama, yaani ccm yenye wanachama million 15+ ndo useme hawakuchaguliwa na wananchi?

mara zote ushindi wa nyumbu hutokana na migogoro ya wana ccm ambayo huwagawa wanachama.
Nini kiliwasukuma kukataa kutoa nakala za matokeo kwa mawakala vituoni? hizo akili za kusema tuna wanachama 15m+au tunabase vijijini ondoa kabisa watu wameangalia maisha yao si chama.huku kusini vijijini ndiko CCM imelazimika kupindua matokeo na fujo kutokea kuliko hata mjini .watendaji kata,waratibu elimu kata imelazika kuwahamisha au kuwabadilishia kazi kuokoa maisha yao
 
Kweli kabisa, mimi nilikuwa msimamizi wa uchaguzi huu, katika kituo changu Lissu alipata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyo bandikwa ni lissu 06 na Magufuli 370 hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Ni kweli mwenyewe alijuwa ataanguka, ndio maana akaamua kutumia vyombo vya usalama, na wakurugenzi wote kuakikisha anapita, huku kwetu vikao vya CCM kujadili vipi wamelazisha ushindi, na je kuna wasaliti? Hawajui watu wamechoka!
 
Back
Top Bottom