Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Kosa la jafo ni lipi?

Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu

Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda

Na wewe unaamini wapenzaji wamejikosesha!?πŸ€”
 
Kutumika na mabeberu?! Hoja hiyo ni too much low kusemwa na msomi! Maneno hayo ni ya huko majukwaani ccm inakotumia kwa kuwalaghai uneducated members of their party!
Kaa utulie na kutoa michango yako ya mawazo ukiwa na fikra huru badala ya kutumika kwa upuuzi.
 
Tatizo ni Magufuli, Jaffo alaumiwe kwa kukubali kumsimamia upumbavu wa boss wake.
 
Viongozi wa dini wote Tanzania ni wa CCM. Ndio maana wameshindwa hats kukemea.
 
Madudu yaliyofanyika serikali za mitaa, jaffo alipaswa kujiuzulu kabisa.ila hatajiuzulu...
 
Let it come and go, hakuna kiongozi wa dini anaweza kusema neno juu ya uchafu huu. Wote wamejawa na woga. Tatizo ni kwamba hata kama kuna makosa ndani ya serikali wananchi hawaruhusiwi kutoa maoni na kukosoa, kukosoa na kutoa maona inatafasiliwa kama uhaini fulani au mtu hatari sana ndani ya Tanzania
 
Kama anagoma kujiuzulu, ni kwa nini Rais aliyemteua, ambaye najua fika kuwa ana "zero tolerance" kwa upuuzi wa aina hii unaoendelea nchini, asimfute kazi mara moja?
naamin kuvurugika kwa uchaguzi mh jafo si muhusika bali yeye ni kama spika tu bali yupo mchawi mkuu
 
Yatumie madaraja vibaya na utaona matokeo yake.
Rais wa Sudan aligundua hilo, mambo yalipobadilika wale waliotakiwa kumlinda ndio wakamsweka selo hadi leo.
Uko sawa LG,nakubaliana na wewe kabisa,lakini kumbuka Rais wa Sudan aliondolewa na waliomuondoa baada ya wananchi kuishi mabarabarani na mitaani kwa miezi zaidi ya mitatu.
 
Very true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…