Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 292
- 433
Kwahiyo mnahenyeshwa na mpumbavu mpaka mnasusa...kiwango chenu cha akili ni cha kusulubiwa muda woteJafo ni mpum**vu kama wa*umbavu wengine wa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mnahenyeshwa na mpumbavu mpaka mnasusa...kiwango chenu cha akili ni cha kusulubiwa muda woteJafo ni mpum**vu kama wa*umbavu wengine wa ccm
Mkuu mimi naona Jafo unamuonea bure tu!Mkuu mwenye macho haambiwi tazama.
Watu wameanza kufyekeana mazao vijijini, hivi tusubiri watu waanze kuchomeana nyumba na kuchinjana ndio tuelewe kuwa hali si shwari?
Tanzania lazima tuwe na viongozi wenye upeo wa kupima maagizo katika mizani endelevu.Mkuu mimi naona Jafo unamuonea bure tu!
unadhani sasa hivi kuna ambaye ataenda kinyume na maagizo toka juu?
Mzee unachemsha. Kwani ni Jaffo ndo aliwaita watendaji ikulu? Hili ni la Mafuguli mwenyewe wala usimsingizie Jaffo. Huyu mzee hajuagi demokrasia. Wala hawezi kuishi hata kwa kuigiza tuuNatanguliza kwanza kuweka msimamo, mimi ni kada wa CCM.
Hali ya mkanganyiko usio na tija katika maandalizi na utekelezaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umetia aibu.
Utafikiri maandalizi yake yamefanywa na watu wasio Watanzania tunaojijua tulikotoka.
Kukata majina ya wagombeaji wa vyama vya upinzani haituongezei umaarufu wowote wana CCM. Mbaya zaidi hata mwana CCM anayependwa ataonekana kabebwa na Jaffo.
Jaffo akiwa Waziri kijana mdogo kwenye siasa usikubali kubeba nuksi ya upendeleo wa wazi unaoweza kuleta machafuko na maafa makubwa.
Waliotumwa kukata majina ya wagombea sasa wao mazao yao yanafyekwa.
Hayo ndiyo matayarisho ya mauaji ya kimbari. Huu umchezo wa kuchezea demokrasia tusiuruhusu.
Nachelea kufikiria ati mtu anaambiwa kata jina la mshindani wa upinzani, mtu anakata. Akiambiwa kuua je?
Si ndiyo mwanzo wa kimbari?
Ni aibu. Hasa kwa vijana wadogo kama Jaffo ambao tulitegemea kulinda mshikamano wa nchi.
Kosa la jafo ni lipi?
Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu
Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda
Miaka yote Mbona walikuwa hawakosei kujaza form? Walijua hawatashinda nini? Tokea lini CCM akachaguliwa kwa kura?Kosa la jafo ni lipi?
Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu
Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda
Hakuna mtu mwenye Akili timamu anaweza kuichagua CCMHahaha CCM bhana, uzuri tu ni kwamba hamjawahi kushinda
Naibu Rais Daud Bashite ndiye kumshauri mtukufu magufuli afanye haya yote ingawa Jafo ni Bendera fuata upepoWatanzania wengi wajinga wanamsukumia zigo Kijana wa watu na kumuacha mhusika
Bange Bana... aya we komelea tu mibangiNi aibu kabisa mtu mzima anaweza dhani kuwa kwa haya yanayotokea eti Waziri Jafo anaweza jiuzulu.nyie mnadhani kujiuzuli ni kitu chepesi?
Mnataka akale wapi?na ajiuzulu kwa kosa gani ambalo amekitendea chama?mnawaza mambo ya kijinga sana. Kama mna akili hamwezi hata kuwaza kuwa Jafo anatakiwa ajiuzulu.
Ninyi mmesahau miezi kadhaa iliyopita mlikuwa mkimkuza Jafo na kusema ndo waziri smart? Si mlianza na hivyo hivyo kwa kusema Nape Nnauye ndo Mtu mwenye akili?mkaja mkasema Makamba January kwa Vijembe vyake ni mtu smart? Wapo wapi sasa?
JAFO ENDELEA NA UYAFANYAYO MPAKA WAPINZANI WAPATE AKILI WASIMAME WENYEWE NA KUACHA KUTEGEMEA WATU WA CCM WAWASAIDIE.
Kosa la jafo ni lipi?
Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu
Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda
Ni aibu kabisa mtu mzima anaweza dhani kuwa kwa haya yanayotokea eti Waziri Jafo anaweza jiuzulu.nyie mnadhani kujiuzuli ni kitu chepesi?
Mnataka akale wapi?na ajiuzulu kwa kosa gani ambalo amekitendea chama?mnawaza mambo ya kijinga sana. Kama mna akili hamwezi hata kuwaza kuwa Jafo anatakiwa ajiuzulu.
Ninyi mmesahau miezi kadhaa iliyopita mlikuwa mkimkuza Jafo na kusema ndo waziri smart? Si mlianza na hivyo hivyo kwa kusema Nape Nnauye ndo Mtu mwenye akili?mkaja mkasema Makamba January kwa Vijembe vyake ni mtu smart? Wapo wapi sasa?
JAFO ENDELEA NA UYAFANYAYO MPAKA WAPINZANI WAPATE AKILI WASIMAME WENYEWE NA KUACHA KUTEGEMEA WATU WA CCM WAWASAIDIE.
Kwahiyo mnahenyeshwa na mpumbavu mpaka mnasusa...kiwango chenu cha akili ni cha kusulubiwa muda wote
Acha ujinga ficha up- wakoNi aibu kabisa mtu mzima anaweza dhani kuwa kwa haya yanayotokea eti Waziri Jafo anaweza jiuzulu.nyie mnadhani kujiuzuli ni kitu chepesi?
Mnataka akale wapi?na ajiuzulu kwa kosa gani ambalo amekitendea chama?mnawaza mambo ya kijinga sana. Kama mna akili hamwezi hata kuwaza kuwa Jafo anatakiwa ajiuzulu.
Ninyi mmesahau miezi kadhaa iliyopita mlikuwa mkimkuza Jafo na kusema ndo waziri smart? Si mlianza na hivyo hivyo kwa kusema Nape Nnauye ndo Mtu mwenye akili?mkaja mkasema Makamba January kwa Vijembe vyake ni mtu smart? Wapo wapi sasa?
JAFO ENDELEA NA UYAFANYAYO MPAKA WAPINZANI WAPATE AKILI WASIMAME WENYEWE NA KUACHA KUTEGEMEA WATU WA CCM WAWASAIDIE.
Ficheni ujinga wenuKosa la jafo ni lipi?
Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu
Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda
Anayekamatwa na kiroba cha nyama ya wizi........Mzee unachemsha. Kwani ni Jaffo ndo aliwaita watendaji ikulu? Hili ni la Mafuguli mwenyewe wala usimsingizie Jaffo. Huyu mzee hajuagi demokrasia. Wala hawezi kuishi hata kwa kuigiza tuu
Unachosema ni ujinga na pengine wengine wangesema u.pumbavu.Ni aibu kabisa mtu mzima anaweza dhani kuwa kwa haya yanayotokea eti Waziri Jafo anaweza jiuzulu.nyie mnadhani kujiuzuli ni kitu chepesi?