Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Mkuu mwenye macho haambiwi tazama.
Watu wameanza kufyekeana mazao vijijini, hivi tusubiri watu waanze kuchomeana nyumba na kuchinjana ndio tuelewe kuwa hali si shwari?
Mkuu mimi naona Jafo unamuonea bure tu!
unadhani sasa hivi kuna ambaye ataenda kinyume na maagizo toka juu?
 
Tanzania lazima tuwe na viongozi wenye upeo wa kupima maagizo katika mizani endelevu.
Ndio maana watu wanaanza kujiuliza kama Jafo angeamriwa kuua ingekuwaje?
 
!
!
Mnatukana Makalio Bure Kabisa Ilihali Linalojamba Ni Tumbo.
Jafo Anatekeleza Tu Maelekezo Aliyopewa. Ina Maana Hamjui Kama Tamisemi Kirefu Chake? Ofisi Ya Raisi
 
Natanguliza kwanza kuweka msimamo, mimi ni kada wa CCM.

Hali ya mkanganyiko usio na tija katika maandalizi na utekelezaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umetia aibu.

Utafikiri maandalizi yake yamefanywa na watu wasio Watanzania tunaojijua tulikotoka.

Kukata majina ya wagombeaji wa vyama vya upinzani haituongezei umaarufu wowote wana CCM. Mbaya zaidi hata mwana CCM anayependwa ataonekana kabebwa na Jaffo.

Jaffo akiwa Waziri kijana mdogo kwenye siasa usikubali kubeba nuksi ya upendeleo wa wazi unaoweza kuleta machafuko na maafa makubwa.

Waliotumwa kukata majina ya wagombea sasa wao mazao yao yanafyekwa.

Hayo ndiyo matayarisho ya mauaji ya kimbari. Huu umchezo wa kuchezea demokrasia tusiuruhusu.

Nachelea kufikiria ati mtu anaambiwa kata jina la mshindani wa upinzani, mtu anakata. Akiambiwa kuua je?
Si ndiyo mwanzo wa kimbari?

Ni aibu. Hasa kwa vijana wadogo kama Jaffo ambao tulitegemea kulinda mshikamano wa nchi.
Mzee unachemsha. Kwani ni Jaffo ndo aliwaita watendaji ikulu? Hili ni la Mafuguli mwenyewe wala usimsingizie Jaffo. Huyu mzee hajuagi demokrasia. Wala hawezi kuishi hata kwa kuigiza tuu
 
Kosa la jafo ni lipi?

Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu

Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda

!
!
Sasa Si Wameshajitoa Jamani Shida Iko Wapi? Tuendelee Na Uchaguzi Aisee. Tushinde Kwa Kishindo
 
Kosa la jafo ni lipi?

Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu

Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda
Miaka yote Mbona walikuwa hawakosei kujaza form? Walijua hawatashinda nini? Tokea lini CCM akachaguliwa kwa kura?
 
Watanzania wengi wajinga wanamsukumia zigo Kijana wa watu na kumuacha mhusika
Naibu Rais Daud Bashite ndiye kumshauri mtukufu magufuli afanye haya yote ingawa Jafo ni Bendera fuata upepo
 
Ni aibu kabisa mtu mzima anaweza dhani kuwa kwa haya yanayotokea eti Waziri Jafo anaweza jiuzulu.nyie mnadhani kujiuzuli ni kitu chepesi?

Mnataka akale wapi?na ajiuzulu kwa kosa gani ambalo amekitendea chama?mnawaza mambo ya kijinga sana. Kama mna akili hamwezi hata kuwaza kuwa Jafo anatakiwa ajiuzulu.

Ninyi mmesahau miezi kadhaa iliyopita mlikuwa mkimkuza Jafo na kusema ndo waziri smart? Si mlianza na hivyo hivyo kwa kusema Nape Nnauye ndo Mtu mwenye akili?mkaja mkasema Makamba January kwa Vijembe vyake ni mtu smart? Wapo wapi sasa?

JAFO ENDELEA NA UYAFANYAYO MPAKA WAPINZANI WAPATE AKILI WASIMAME WENYEWE NA KUACHA KUTEGEMEA WATU WA CCM WAWASAIDIE.
Bange Bana... aya we komelea tu mibangi
 
Kosa la jafo ni lipi?

Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu

Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda

Jaffo kakubali kutii amri za jiwe kuvuruga uchaguzi.
 
Ni aibu kabisa mtu mzima anaweza dhani kuwa kwa haya yanayotokea eti Waziri Jafo anaweza jiuzulu.nyie mnadhani kujiuzuli ni kitu chepesi?

Mnataka akale wapi?na ajiuzulu kwa kosa gani ambalo amekitendea chama?mnawaza mambo ya kijinga sana. Kama mna akili hamwezi hata kuwaza kuwa Jafo anatakiwa ajiuzulu.

Ninyi mmesahau miezi kadhaa iliyopita mlikuwa mkimkuza Jafo na kusema ndo waziri smart? Si mlianza na hivyo hivyo kwa kusema Nape Nnauye ndo Mtu mwenye akili?mkaja mkasema Makamba January kwa Vijembe vyake ni mtu smart? Wapo wapi sasa?

JAFO ENDELEA NA UYAFANYAYO MPAKA WAPINZANI WAPATE AKILI WASIMAME WENYEWE NA KUACHA KUTEGEMEA WATU WA CCM WAWASAIDIE.

Miongoni mwa wajinga wote wewe ni kiongozi wao!
Yaani ujinga wako hata wajinga wenzio akina Jafo na Jingalao watabaki wanakushangaa!
 
Ni aibu kabisa mtu mzima anaweza dhani kuwa kwa haya yanayotokea eti Waziri Jafo anaweza jiuzulu.nyie mnadhani kujiuzuli ni kitu chepesi?

Mnataka akale wapi?na ajiuzulu kwa kosa gani ambalo amekitendea chama?mnawaza mambo ya kijinga sana. Kama mna akili hamwezi hata kuwaza kuwa Jafo anatakiwa ajiuzulu.

Ninyi mmesahau miezi kadhaa iliyopita mlikuwa mkimkuza Jafo na kusema ndo waziri smart? Si mlianza na hivyo hivyo kwa kusema Nape Nnauye ndo Mtu mwenye akili?mkaja mkasema Makamba January kwa Vijembe vyake ni mtu smart? Wapo wapi sasa?

JAFO ENDELEA NA UYAFANYAYO MPAKA WAPINZANI WAPATE AKILI WASIMAME WENYEWE NA KUACHA KUTEGEMEA WATU WA CCM WAWASAIDIE.
Acha ujinga ficha up- wako
 
Utetezi wa CCM ni wa kijuha sana ni mtu kalaza pekee anaweza kukaa akawaona CCM ni binadamu mbele za watu
 
MMENIKUMBUSHA SIKU WATENDAJI WALIVYOITWA NA MWENYEKITI WETU KWENDA KUKA SAMBUSA PALE MAGOGONI.HAKUKUWA NA JINGINE ZAIDI YA KULA SAMBUSA ZA NYAMA TU.
 
Ni aibu kabisa mtu mzima anaweza dhani kuwa kwa haya yanayotokea eti Waziri Jafo anaweza jiuzulu.nyie mnadhani kujiuzuli ni kitu chepesi?

Mnataka akale wapi?na ajiuzulu kwa kosa gani ambalo amekitendea chama?mnawaza mambo ya kijinga sana. Kama mna akili hamwezi hata kuwaza kuwa Jafo anatakiwa ajiuzulu.

Ninyi mmesahau miezi kadhaa iliyopita mlikuwa mkimkuza Jafo na kusema ndo waziri smart? Si mlianza na hivyo hivyo kwa kusema Nape Nnauye ndo Mtu mwenye akili?mkaja mkasema Makamba January kwa Vijembe vyake ni mtu smart? Wapo wapi sasa?

JAFO ENDELEA NA UYAFANYAYO MPAKA WAPINZANI WAPATE AKILI WASIMAME WENYEWE NA KUACHA KUTEGEMEA WATU WA CCM WAWASAIDIE.
Unachosema ni ujinga na pengine wengine wangesema u.pumbavu.
Katika siasa fanya kosa moja tu la kuudhi umma na historia yako ya kisiasa inayeyuka nawe kunuka hadharani.

Selemani Jafo amebugi big time.
 
Back
Top Bottom