Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Hayo yote siyo kwa bahati mbaya bali ndiyo maagizoyaliyotolewa toka juu. Jiulize Watendaji Kata waliitwa Ikulu kufanya nn au kunywa chai? Nchi imeshanajisiwa na mtu mmoja tuu.
 
Hii imetuchafua sana CCM kata ya Mbezi yaani wananchi hata was chini kabisa wametudharau kuwa tunabebwa. CCM sio ya wachache. Raha ya ushindi kushindana na raha ya mechi bao sio matokeo.
 
Unamsingizia jafo ndg,Jafo Hana nguvu.
Seema mmeshaona Kuna Jambo kubwa litatokea mbele mnaanza kutafuta wa kumfupia zigo la kinyesi Jafo.
Jafo Ana mamlaka gani? Mbona husemi ukweli?
Aliyeruhusu Jafo avuruge mbona unaanza kumuepusha kidogokidogo na lawama hizi? na lawama mnaanza kumfupia Jafo?
Seema kweli ndugu,ukweli utakuweka huru.
Jiwe ndo ametaka hayo yatokee bana.
Hata jipu lina mdomo.
Jafo atalibeba tu zigo la kinyesi na kama alitumwa huyo aliyemtuma atamruka.
 
Natanguliza kwanza kuweka msimamo, mimi ni kada wa CCM.

Hali ya mkanganyiko usio na tija katika maandalizi na utekelezaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umetia aibu.

Utafikiri maandalizi yake yamefanywa na watu wasio Watanzania tunaojijua tulikotoka.

Kukata majina ya wagombeaji wa vyama vya upinzani haituongezei umaarufu wowote wana CCM. Mbaya zaidi hata mwana CCM anayependwa ataonekana kabebwa na Jaffo.

Jaffo akiwa Waziri kijana mdogo kwenye siasa usikubali kubeba nuksi ya upendeleo wa wazi unaoweza kuleta machafuko na maafa makubwa.

Waliotumwa kukata majina ya wagombea sasa wao mazao yao yanafyekwa.

Hayo ndiyo matayarisho ya mauaji ya kimbari. Huu umchezo wa kuchezea demokrasia tusiuruhusu.

Nachelea kufikiria ati mtu anaambiwa kata jina la mshindani wa upinzani, mtu anakata. Akiambiwa kuua je?
Si ndiyo mwanzo wa kimbari?

Ni aibu. Hasa kwa vijana wadogo kama Jaffo ambao tulitegemea kulinda mshikamano wa nchi.

Na ukiangaloa sana hii aibu hataiona sasa hivi ila ataiona baadae. Baadae inaweza ikamtoa katika uwanja mzuri aliojijengea kwa mrefu kwa ajili ya matumbo ya watu wengine na wapenda sifa.
 
Mleta uzi, naamini kabisa deep dwn unajua Jaffo ni messenger tu, anasimamia na kutekeleza maagizo ya bosi wake.. Aliewaita watendaji wote pale Ikulu hakuwa Jaffo.. Alieawapa amri na viburi hakuwa Jaffo..

Udhaifu pekee ambao tunaweza mlaumu nao Jaffo, ni kukubali kutumika tuu..
 
Hayo yote siyo kwa bahati mbaya bali ndiyo maagizoyaliyotolewa toka juu. Jiulize Watendaji Kata waliitwa Ikulu kufanya nn au kunywa chai? Nchi imeshanajisiwa na mtu mmoja tuu.
 
Mleta uzi, naamini kabisa deep dwn unajua Jaffo ni messenger tu, anasimamia na kutekeleza maagizo ya bosi wake.. Aliewaita watendaji wote pale Ikulu hakuwa Jaffo.. Alieawapa amri na viburi hakuwa Jaffo..

Udhaifu pekee ambao tunaweza mlaumu nao Jaffo, ni kukubali kutumika tuu..
Jafo na hao walioitwa kufanya kufuru ni kama intarehamwe.
Wakiambiwa chinja watachinja.
Hili ndilo linanitisha.
 
Jafo na hao walioitwa kufanya kufuru ni kama intarehamwe.
Wakiambiwa chinja watachinja.
Hili ndilo linanitisha.
Hilo ndilo la kuogopa.. Maana inaonekana wakishapewa amri then kwao inakuwa ni kutekeleza, hawaoni soni wala aibu.. Wako tayari kutumia nguvu yeyote kutekeleza waliotumwa..

Yeah uko right hapo.. Tunatoka vipi..?
 
Hata jipu lina mdomo.
Jafo atalibeba tu zigo la kinyesi na kama alitumwa huyo aliyemtuma atamruka.
Jidu hauko serious ndg yangu,!
Unaweza kukataa maagizo ya Mkuu mwenye level ya jiwe hapa Africa?
Sawa mada yako nzuri ila unajifurauisha
Hawawzi kupinga Ma CDF,IGP,DGTISS,PM sembuse ki Jafo?
Acha masihala bana,Namba 1 Tanzania ana nguvu kuliko,leo Kijafo kikatae kutekeleza matakwa yake,!kwani chenyewe hakipendi kupumua au watoto wake waende chooni?
 
Jafo kakubali kutumika sasa amedharaulika sana

Anatekeleza maagizo ya Bashite, msukima na Gambo. Ni afadhali ukalime utaishi kwa amani kuliko fedheha hii katika jamii. Jaffo tumekusikia lakini hujui ufanye?

Kamba iko shingoni wakivuta kidpgo unakwenda chini. Lakini ni afadhali ubaki na heshima kuliko kinyongo na unaowaongoza. Dhamira itakusumbua sana baadae kama wewe ni mcha mungu.
 
Huyo bwana itakuwa anachafuliwa kisiasa bila yeye kujua na hii ni baada ya kutajwatajwa sana kwenye mbio za urais 2025.

Chama kimoja waenguliwe wagombea 166,000 kwa makosa ya spellings kwenye ujazaji form hii ni record ya dunia.

Rough zipo kwenye chaguzi zote duniani lakini hii ni fedheha.
 
Jafo na hao walioitwa kufanya kufuru ni kama intarehamwe.
Wakiambiwa chinja watachinja.
Hili ndilo linanitisha.
Mkuu Jidu hiyo ndo Hali halisi,tangu Zama za Adolf Hitler ni hivyohivyo,huwezi pingana na amri za wakuu hata Kama hupendi,labda use umejiandaa kwelikweli,ama kua muasi,mkimbizi , kufungwa kimizengwe au kuuwawa.
Kama huko mbele Kuna Cha kujibu watu watajibu na Kama ni adhabu hakuna namna,mahakama zikiwa fair haki itatendeka.kijafo hata kikijashitakiwa ni uonevu wa kisheria tu kwa sanabu sheria za duniani haziko fair.
 
Back
Top Bottom