Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Jafo naye ni Shiteni!!!? Basi sawaAcheni kumtoa kafara Jafo ccm ni genge la mashetani tu.
Kisiasa na kiumri bado sana.Jaffo ni kijana mdogo?!
Amezaliwa 1973!
Vijana wadogo ni hawa akina Mavunde na Shonza!Kisiasa na kiumri bado sana.
1973 nimemaliza sekondari.
Hata jipu lina mdomo.Unamsingizia jafo ndg,Jafo Hana nguvu.
Seema mmeshaona Kuna Jambo kubwa litatokea mbele mnaanza kutafuta wa kumfupia zigo la kinyesi Jafo.
Jafo Ana mamlaka gani? Mbona husemi ukweli?
Aliyeruhusu Jafo avuruge mbona unaanza kumuepusha kidogokidogo na lawama hizi? na lawama mnaanza kumfupia Jafo?
Seema kweli ndugu,ukweli utakuweka huru.
Jiwe ndo ametaka hayo yatokee bana.
Natanguliza kwanza kuweka msimamo, mimi ni kada wa CCM.
Hali ya mkanganyiko usio na tija katika maandalizi na utekelezaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umetia aibu.
Utafikiri maandalizi yake yamefanywa na watu wasio Watanzania tunaojijua tulikotoka.
Kukata majina ya wagombeaji wa vyama vya upinzani haituongezei umaarufu wowote wana CCM. Mbaya zaidi hata mwana CCM anayependwa ataonekana kabebwa na Jaffo.
Jaffo akiwa Waziri kijana mdogo kwenye siasa usikubali kubeba nuksi ya upendeleo wa wazi unaoweza kuleta machafuko na maafa makubwa.
Waliotumwa kukata majina ya wagombea sasa wao mazao yao yanafyekwa.
Hayo ndiyo matayarisho ya mauaji ya kimbari. Huu umchezo wa kuchezea demokrasia tusiuruhusu.
Nachelea kufikiria ati mtu anaambiwa kata jina la mshindani wa upinzani, mtu anakata. Akiambiwa kuua je?
Si ndiyo mwanzo wa kimbari?
Ni aibu. Hasa kwa vijana wadogo kama Jaffo ambao tulitegemea kulinda mshikamano wa nchi.
Hao sasa ni chekechea, wafuatilie, kila wanachoongea ni makorokocho!Vijana wadogo ni hawa akina Mavunde na Shonza!
Jafo na hao walioitwa kufanya kufuru ni kama intarehamwe.Mleta uzi, naamini kabisa deep dwn unajua Jaffo ni messenger tu, anasimamia na kutekeleza maagizo ya bosi wake.. Aliewaita watendaji wote pale Ikulu hakuwa Jaffo.. Alieawapa amri na viburi hakuwa Jaffo..
Udhaifu pekee ambao tunaweza mlaumu nao Jaffo, ni kukubali kutumika tuu..
Hilo ndilo la kuogopa.. Maana inaonekana wakishapewa amri then kwao inakuwa ni kutekeleza, hawaoni soni wala aibu.. Wako tayari kutumia nguvu yeyote kutekeleza waliotumwa..Jafo na hao walioitwa kufanya kufuru ni kama intarehamwe.
Wakiambiwa chinja watachinja.
Hili ndilo linanitisha.
Jidu hauko serious ndg yangu,!Hata jipu lina mdomo.
Jafo atalibeba tu zigo la kinyesi na kama alitumwa huyo aliyemtuma atamruka.
Na inatisha kweli.Jafo na hao walioitwa kufanya kufuru ni kama intarehamwe.
Wakiambiwa chinja watachinja.
Hili ndilo linanitisha.
Jafo kakubali kutumika sasa amedharaulika sana
Mkuu Jidu hiyo ndo Hali halisi,tangu Zama za Adolf Hitler ni hivyohivyo,huwezi pingana na amri za wakuu hata Kama hupendi,labda use umejiandaa kwelikweli,ama kua muasi,mkimbizi , kufungwa kimizengwe au kuuwawa.Jafo na hao walioitwa kufanya kufuru ni kama intarehamwe.
Wakiambiwa chinja watachinja.
Hili ndilo linanitisha.