Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu inaitwa INTEGRITY, hii heshima Jafo ataikosa.Jafo kakubali kutumika sasa amedharaulika sana
Nafikiri, bila kutumia akili na sasa anaongea visivyoeleweka, Jafo katumika vibaya.Jafo has proved to be one of the most hopeless ministers the country has ever witnessed in this decade. He worth nothing to the building of this beautiful nation.
Jafo ana pwaya vibaya katika nafasi ya kusimamia uchaguzi serikali za mitaa.Nafikiri, bila kutumia akili na sasa anaongea visivyoeleweka, Jafo katumika vibaya.
Sekemani Jafo taratibu anajipatia sifa ya kuwa KIBAKA wa kisiasa.Kuna kitu inaitwa INTEGRITY, hii heshima Jafo ataikosa.
Inasikitisha maana Jafo bado kijana.
Jaffo ni kijana mdogo?!Natanguliza kwanza kuweka msimamo, mimi ni kada wa CCM.
Hali ya mkanganyiko usio na tija katika maandalizi na utekelezaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umetia aibu.
Utafikiri maandalizi yake yamefanywa na watu wasio Watanzania tunaojijua tulikotoka.
Kukata majina ya wagombeaji wa vyama vya upinzani haituongezei umaarufu wowote wana CCM. Mbaya zaidi hata mwana CCM anayependwa ataonekana kabebwa na Jaffo.
Jaffo akiwa Waziri kijana mdogo kwenye siasa usikubali kubeba nuksi ya upendeleo wa wazi unaoweza kuleta machafuko na maafa makubwa.
Waliotumwa kukata majina ya wagombea sasa wao mazao yao yanafyekwa.
Hayo ndiyo matayarisho ya mauaji ya kimbari. Huu umchezo wa kuchezea demokrasia tusiuruhusu.
Nachelea kufikiria ati mtu anaambiwa kata jina la mshindani wa upinzani, mtu anakata. Akiambiwa kuua je?
Si ndiyo mwanzo wa kimbari?
Ni aibu. Hasa kwa vijana wadogo kama Jaffo ambao tulitegemea kulinda mshikamano wa nchi.
Bams hua nakuamini Sana,hua siachi kusoma hata komenti yako moja.umeingia kwenye mtego.mtego wa kumsafisha jiwe na hii kadhia.Jafo has proved to be one of the most hopeless ministers the country has ever witnessed in this decade. He worth nothing to the building of this beautiful nation.
Natanguliza kwanza kuweka msimamo, mimi ni kada wa CCM.
Hali ya mkanganyiko usio na tija katika maandalizi na utekelezaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umetia aibu.
Utafikiri maandalizi yake yamefanywa na watu wasio Watanzania tunaojijua tulikotoka.
Kukata majina ya wagombeaji wa vyama vya upinzani haituongezei umaarufu wowote wana CCM. Mbaya zaidi hata mwana CCM anayependwa ataonekana kabebwa na Jaffo.
Jaffo akiwa Waziri kijana mdogo kwenye siasa usikubali kubeba nuksi ya upendeleo wa wazi unaoweza kuleta machafuko na maafa makubwa.
Waliotumwa kukata majina ya wagombea sasa wao mazao yao yanafyekwa.
Hayo ndiyo matayarisho ya mauaji ya kimbari. Huu umchezo wa kuchezea demokrasia tusiuruhusu.
Nachelea kufikiria ati mtu anaambiwa kata jina la mshindani wa upinzani, mtu anakata. Akiambiwa kuua je?
Si ndiyo mwanzo wa kimbari?
Ni aibu. Hasa kwa vijana wadogo kama Jaffo ambao tulitegemea kulinda mshikamano wa nchi.
Unamsingizia jafo ndg,Jafo Hana nguvu.Jafo ana pwaya vibaya katika nafasi ya kusimamia uchaguzi serikali za mitaa.
Hii aibu tunayoiona kitaifa na kimataifa italeta athari mbaya huko mbeleni.