Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Natanguliza kwanza kuweka msimamo, mimi ni kada wa CCM.

Hali ya mkanganyiko usio na tija katika maandalizi na utekelezaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umetia aibu.

Utafikiri maandalizi yake yamefanywa na watu wasio Watanzania tunaojijua tulikotoka.

Kukata majina ya wagombeaji wa vyama vya upinzani haituongezei umaarufu wowote wana CCM. Mbaya zaidi hata mwana CCM anayependwa ataonekana kabebwa na Jaffo.

Jaffo akiwa Waziri kijana mdogo kwenye siasa usikubali kubeba nuksi ya upendeleo wa wazi unaoweza kuleta machafuko na maafa makubwa.

Waliotumwa kukata majina ya wagombea sasa wao mazao yao yanafyekwa.

Hayo ndiyo matayarisho ya mauaji ya kimbari. Huu umchezo wa kuchezea demokrasia tusiuruhusu.

Nachelea kufikiria ati mtu anaambiwa kata jina la mshindani wa upinzani, mtu anakata. Akiambiwa kuua je?
Si ndiyo mwanzo wa kimbari?

Ni aibu. Hasa kwa vijana wadogo kama Jaffo ambao tulitegemea kulinda mshikamano wa nchi.
 
.... huu mchezo ccm mlianza kuuratibu siku nyingi sana, tarehe ya uchaguzi wa serikali za mitaa mlichelewa kuitangaza kumbe ndio mlikuwa mnajipanga kwa haya madudu mliyoanza kuyafanya sasa hivi, endeleeni kupokea amri kutoka juu mzitekeleze, ila mkumbuke, adhabu za matendo yenu maovu mtazipata nyie wa ngazi za chini!
 
Jafo has proved to be one of the most hopeless ministers the country has ever witnessed in this decade. He worth nothing to the building of this beautiful nation.
 
Nafikiri, bila kutumia akili na sasa anaongea visivyoeleweka, Jafo katumika vibaya.
 
Natanguliza kwanza kuweka msimamo, mimi ni kada wa CCM.

Hali ya mkanganyiko usio na tija katika maandalizi na utekelezaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umetia aibu.

Utafikiri maandalizi yake yamefanywa na watu wasio Watanzania tunaojijua tulikotoka.

Kukata majina ya wagombeaji wa vyama vya upinzani haituongezei umaarufu wowote wana CCM. Mbaya zaidi hata mwana CCM anayependwa ataonekana kabebwa na Jaffo.

Jaffo akiwa Waziri kijana mdogo kwenye siasa usikubali kubeba nuksi ya upendeleo wa wazi unaoweza kuleta machafuko na maafa makubwa.

Waliotumwa kukata majina ya wagombea sasa wao mazao yao yanafyekwa.

Hayo ndiyo matayarisho ya mauaji ya kimbari. Huu umchezo wa kuchezea demokrasia tusiuruhusu.

Nachelea kufikiria ati mtu anaambiwa kata jina la mshindani wa upinzani, mtu anakata. Akiambiwa kuua je?
Si ndiyo mwanzo wa kimbari?

Ni aibu. Hasa kwa vijana wadogo kama Jaffo ambao tulitegemea kulinda mshikamano wa nchi.
Jaffo ni kijana mdogo?!

Amezaliwa 1973!
 
Tatizo si Jafo, tumsaidie mkuu wetu kumwambia ukweli.Wajinga wachache mnaomsifia kumuongezea kiburi cha madaraka na kujiona mungu mtu.
 
Jafo has proved to be one of the most hopeless ministers the country has ever witnessed in this decade. He worth nothing to the building of this beautiful nation.
Bams hua nakuamini Sana,hua siachi kusoma hata komenti yako moja.umeingia kwenye mtego.mtego wa kumsafisha jiwe na hii kadhia.
Je na wewe unaamini kabisa kuwa Jafo ndio kasabisha haya matatizo?
Ana nguvu gani Jafo?
Unaamini Jafo aweza ruhusu uchaguzi huru ili wapinzani washinde?
Jafo!
 
Yote yaliyosemwa humu kuhusu Jafo ni kweli tena ulio wazi lkn niseme kuwa Jafo sio yeye na kwa anayemtuma Jafo integrity yake ni kubwa sana na kwake ni obedient servant.
 
Acheni kumtoa kafara Jafo ccm ni genge la mashetani tu.
Natanguliza kwanza kuweka msimamo, mimi ni kada wa CCM.

Hali ya mkanganyiko usio na tija katika maandalizi na utekelezaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umetia aibu.

Utafikiri maandalizi yake yamefanywa na watu wasio Watanzania tunaojijua tulikotoka.

Kukata majina ya wagombeaji wa vyama vya upinzani haituongezei umaarufu wowote wana CCM. Mbaya zaidi hata mwana CCM anayependwa ataonekana kabebwa na Jaffo.

Jaffo akiwa Waziri kijana mdogo kwenye siasa usikubali kubeba nuksi ya upendeleo wa wazi unaoweza kuleta machafuko na maafa makubwa.

Waliotumwa kukata majina ya wagombea sasa wao mazao yao yanafyekwa.

Hayo ndiyo matayarisho ya mauaji ya kimbari. Huu umchezo wa kuchezea demokrasia tusiuruhusu.

Nachelea kufikiria ati mtu anaambiwa kata jina la mshindani wa upinzani, mtu anakata. Akiambiwa kuua je?
Si ndiyo mwanzo wa kimbari?

Ni aibu. Hasa kwa vijana wadogo kama Jaffo ambao tulitegemea kulinda mshikamano wa nchi.
 
Jafo ana pwaya vibaya katika nafasi ya kusimamia uchaguzi serikali za mitaa.

Hii aibu tunayoiona kitaifa na kimataifa italeta athari mbaya huko mbeleni.
Unamsingizia jafo ndg,Jafo Hana nguvu.
Sema mmeshaona Kuna Jambo kubwa litatokea mbele mnaanza kutafuta wa kumtupia zigo la kinyesi Jafo.
Jafo Ana mamlaka gani? Mbona husemi ukweli?
Aliyeruhusu Jafo avuruge mbona unaanza kumuepusha kidogokidogo na lawama hizi? na lawama mnaanza kumtupia Jafo?
Sema kweli ndugu,ukweli utakuweka huru.
Jiwe ndo ametaka hayo yatokee bana.
 
Hayo yote siyo kwa bahati mbaya bali ndiyo maagizoyaliyotolewa toka juu. Jiulize Watendaji Kata waliitwa Ikulu kufanya nn au kunywa chai? Nchi imeshanajisiwa na mtu mmoja tuu.
 
Back
Top Bottom