Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Bombabomba,

Umefanya analysis ya uhakika sana Mkuu

Hata kama hao CCM "watajipa" ushindi wa 90% plus katika uchaguzi huu, lakini hao viongozi watafanya kazi na wananchi, ambao wanajua wazi kuwa nyinyi mnaodaiwa kushinda, mmebebwa na mifumo ya kidola
 
Ccm bila figisu kama hizo ingeshafutika siku nyingi.Ccm haina uwezo wa kusimama yenyewe kwa hoja bali kwa damu yanayoendelea ni ushahidi
 
Jah ni mganga njaa, jiwe akimwagiza ale sahani nzima ya kitimoto huku tukio Hilo likirushwa mubashara, atatii. Ila upumbavu Kama huo jiwe akimwagiza mtu mcha Mungu, muadilifu, mnyenyekevu na mweledi Kama Mussa Assad, kamwe hawezi jaribu. HUENDA akavua hata kiatu amtandike nacho jiwe usoni
Watu smart na wachaMungu kina MeckSadick walijiengua kitambo.Kwa kupigwa na njaa lzm ujitoe ufahamu,usiombe njaa
 
Huu ni "UJAFUZI" wa serikali za mitaa, jafo amefanya kazi yake vizuri, ameshapongezwa gizani,atazawadiwa hadharani muda muafaka ukifika
 
Nani wa kuleta machafuko nchi hii?

Wote tunaishia nyuma ya keyboard tu hao viongozi wa upinzani wanaishia Twitter tu huko kulalama.

Wote wanaogopa kipigo cha mbwa koko hivyo hakuna machafuko yatakayotokea kwenye nchi hii labda machafuko ya kwenye mitandao.
Uvumilivu una mwisho.
Ukondoo una mwisho.
 
Unapojikwamua wakati hakuna mazingira ya kujikwamua, utapata mtelemko wakati mazingira yakiwepo ya kujikwamua
Vikwazo ni vingi,tofauti na nchi zilizoendelea ushindwe wwe tu
 
Ccm wamekimbia na mpira sijui wanaogopea nn mechi japo wanna kila kitu kuanzia polisi nk wamenunua ndege,sgr,stigler,hospital nk
 
Hivi kwenye kata ambazo wagombea wa CCM wameteuliwa watapigiwa kura au ndio wamepita bila kupingwa?
 
Hivi Jafo anajua kuwa ni yeye ndiye anataka kuivuruga amani na anataka kuleta umwagaji damu nchini??

Hivi kukitokea machafuko hapa nchini kutokana na huu "uchafuzi" wanaoufanya, ni nani atalaumiwa??

Na hii akili ya kitoto nilionayo sasa nimeanza kuamini kwanini CCM huwaambia wapiga kura kua "mkiwachagua wapinzani wataleta vita.."Hamkufanya maandalizi...hamkutoa semina za ujazaji wa form kwa wagombea wenu na Ruzuku yote mmeiweka makao makuu halafu mnategemea muwe perfect..mbona ACT hawalalamiki...?
 
Back
Top Bottom