Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
- Thread starter
- #61
Hiyo elimu tutaitoa vipi kwa hao viongozi, wakati mikutano yote ya vyama vya upinzani mmeipiga marufuku hadi mwaka 2020??Na hii akili ya kitoto nilionayo sasa nimeanza kuamini kwanini CCM huwaambia wapiga kura kua "mkiwachagua wapinzani wataleta vita.."Hamkufanya maandalizi...hamkutoa semina za ujazaji wa form kwa wagombea wenu na Ruzuku yote mmeiweka makao makuu halafu mnategemea muwe perfect..mbona ACT hawalalamiki...?
Wakati mnapiga marufuku vyama vya upinzani visifanye siasa, nyiye CCM kila kukicha tunawaona mnazunguka nchi nzima, mkipiga kampeni!
Hata hivyo hakuna chenye mwanzo, kikakosa kuwa na mwisho......