Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Kosa la jafo ni lipi?

Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu

Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda

Na wewe unaamini wapenzaji wamejikosesha!?🤔
 
Nipanic kwa ujinga wako! How! Nimekutana na wehu zaidi yako and it sound i was far better compare to them

Next time usiwe unanyofoa kipande kidogo unapofanya quotation

Bible say:

Palms 1

Blessed is the man that walketh not in the counsel of the ungodly, nor standeth in the way of sinners, nor sitteth in the seat of the scornful
…………………………………
Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki, Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha

Sound huu ujumbe unakuhusu wewe Kwasababu mnasaliti Nchi mnatumika na Mabeberu

Idiot
Kutumika na mabeberu?! Hoja hiyo ni too much low kusemwa na msomi! Maneno hayo ni ya huko majukwaani ccm inakotumia kwa kuwalaghai uneducated members of their party!
Kaa utulie na kutoa michango yako ya mawazo ukiwa na fikra huru badala ya kutumika kwa upuuzi.
 
Kutokana na malalamiko ya wagombea kukatwa na vyama vingine kujitoa/kususia katika kushiriki uchaguzi huo na yanayoendelea katika kata mbalimbali za chaguzi za serikali za mitaa nchini,ni vyema Waziri mwenye dhamana yaani Mh Jaffo ni vyema akapumzika/kujiuzulu au akae meza ya majadiliano na waliokatwa watafute muafaka,aidha aondolewe na mamlaka yake ili uchunguzi upite, aidha viongozi wa dini na wanasheria waingilie kati mkanganyiko huu.
Tatizo ni Magufuli, Jaffo alaumiwe kwa kukubali kumsimamia upumbavu wa boss wake.
 
Viongozi wa dini wote Tanzania ni wa CCM. Ndio maana wameshindwa hats kukemea.
Kutokana na malalamiko ya wagombea kukatwa na vyama vingine kujitoa/kususia katika kushiriki uchaguzi huo na yanayoendelea katika kata mbalimbali za chaguzi za serikali za mitaa nchini,ni vyema Waziri mwenye dhamana yaani Mh Jaffo ni vyema akapumzika/kujiuzulu au akae meza ya majadiliano na waliokatwa watafute muafaka,aidha aondolewe na mamlaka yake ili uchunguzi upite, aidha viongozi wa dini na wanasheria waingilie kati mkanganyiko huu.
 
Madudu yaliyofanyika serikali za mitaa, jaffo alipaswa kujiuzulu kabisa.ila hatajiuzulu...
 
Let it come and go, hakuna kiongozi wa dini anaweza kusema neno juu ya uchafu huu. Wote wamejawa na woga. Tatizo ni kwamba hata kama kuna makosa ndani ya serikali wananchi hawaruhusiwi kutoa maoni na kukosoa, kukosoa na kutoa maona inatafasiliwa kama uhaini fulani au mtu hatari sana ndani ya Tanzania
Kutokana na malalamiko ya wagombea kukatwa na vyama vingine kujitoa/kususia katika kushiriki uchaguzi huo na yanayoendelea katika kata mbalimbali za chaguzi za serikali za mitaa nchini,ni vyema Waziri mwenye dhamana yaani Mh Jaffo ni vyema akapumzika/kujiuzulu au akae meza ya majadiliano na waliokatwa watafute muafaka,aidha aondolewe na mamlaka yake ili uchunguzi upite, aidha viongozi wa dini na wanasheria waingilie kati mkanganyiko huu.
 
Kama anagoma kujiuzulu, ni kwa nini Rais aliyemteua, ambaye najua fika kuwa ana "zero tolerance" kwa upuuzi wa aina hii unaoendelea nchini, asimfute kazi mara moja?
naamin kuvurugika kwa uchaguzi mh jafo si muhusika bali yeye ni kama spika tu bali yupo mchawi mkuu
 
Yatumie madaraja vibaya na utaona matokeo yake.
Rais wa Sudan aligundua hilo, mambo yalipobadilika wale waliotakiwa kumlinda ndio wakamsweka selo hadi leo.
Uko sawa LG,nakubaliana na wewe kabisa,lakini kumbuka Rais wa Sudan aliondolewa na waliomuondoa baada ya wananchi kuishi mabarabarani na mitaani kwa miezi zaidi ya mitatu.
 
Wewe labda haupo kwenye uongozi /mfumo lakini Jafo yumo.

Akisema anatoa uamuzi wowote kinyume na jiwe hiyo integrity ataisikia tu redioni... Atachafuliwa kila kiungo,
Atakuwa sio raia,
Atakuwa muhujumu uchumi,
Atakuwa mtakatisha fedha,
Atakuwa ametumia vibaya madaraka
Atakuwa fisadi
Muhurumieni tu ana wake na watoto kijiji kizima 😂 😂
Very true.
 
Back
Top Bottom