Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Ni aibu kabisa mtu mzima anaweza dhani kuwa kwa haya yanayotokea eti Waziri Jafo anaweza jiuzulu.nyie mnadhani kujiuzuli ni kitu chepesi?

Mnataka akale wapi?na ajiuzulu kwa kosa gani ambalo amekitendea chama?mnawaza mambo ya kijinga sana. Kama mna akili hamwezi hata kuwaza kuwa Jafo anatakiwa ajiuzulu.

Ninyi mmesahau miezi kadhaa iliyopita mlikuwa mkimkuza Jafo na kusema ndo waziri smart? Si mlianza na hivyo hivyo kwa kusema Nape Nnauye ndo Mtu mwenye akili?mkaja mkasema Makamba January kwa Vijembe vyake ni mtu smart? Wapo wapi sasa?

JAFO ENDELEA NA UYAFANYAYO MPAKA WAPINZANI WAPATE AKILI WASIMAME WENYEWE NA KUACHA KUTEGEMEA WATU WA CCM WAWASAIDIE.
Kakojoe ulale hata kama ni mchana
 
Makonda ashaudhi Umma toka miaka na miaka na bado anadunda tu.

Unachosema ni ujinga na pengine wengine wangesema u.pumbavu.
Katika siasa fanya kosa moja tu la kuudhi umma na historia yako ya kisiasa inayeyuka nawe kunuka hadharani.

Selemani Jafo amebugi big time.
 
Kutokana na malalamiko ya wagombea kukatwa na vyama vingine kujitoa/kususia katika kushiriki uchaguzi huo na yanayoendelea katika kata mbalimbali za chaguzi za serikali za mitaa nchini,ni vyema Waziri mwenye dhamana yaani Mh Jaffo ni vyema akapumzika/kujiuzulu au akae meza ya majadiliano na waliokatwa watafute muafaka,aidha aondolewe na mamlaka yake ili uchunguzi upite, aidha viongozi wa dini na wanasheria waingilie kati mkanganyiko huu.
 
Jaffo anawatoto anafamilia anahitaji kuwalea na wanahitaji ugali,mnamlaumu bure,wakulaumiwa ni jiwe,yeye ndo sababu ya dhahma zote hizi
 
Kosa la jafo ni lipi?

Je alituma wagombea wakosee kujaza fomu

Unaweza kuta wagombea wamejikosesha maksudi kujaza ili wasigombee maana wanajua hawawezi kudhinda
Narudia kukuuliza jee uko timamu upstairs? Au unajitahidi kueneza ujinga kwa malipo maalum?
Hoja za kijinga wakati mwingine zinachefua sana, this is home of GT na sio group of majinga
 
Watanzania tumelala bado tutakapo amka nchi imeharibika kila kona.
#Membe babalao#

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Jaffo anawatoto anafamilia anahitaji kuwalea na wanahitaji ugali,mnamlaumu bure,wakulaumiwa ni jiwe,yeye ndo sababu ya dhahma zote hizi
Hivi watoto wakiwa hawana adabu hulaumiwa baba tu au wazazi?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Umeongea point Jafoo ana akili timamu sema tu maelekezo kutoka juu yanamfanya asitumie ubongo wake.
Jaffo anawatoto anafamilia anahitaji kuwalea na wanahitaji ugali,mnamlaumu bure,wakulaumiwa ni jiwe,yeye ndo sababu ya dhahma zote hizi
 
Unaonyesha jinsi ulivyo mwehu!

Unapenda mawazo yanayokufurahisha wewe tu! Pathetic

Being me is my decision usitake kunipangia mimi niandike nini!

Wewe ni mwehu nakupuuza

Utanishinda mali ila sio maarfa,I'm wise enough and i know it
Narudia kukuuliza jee uko timamu upstairs? Au unajitahidi kueneza ujinga kwa malipo maalum?
Hoja za kijinga wakati mwingine zinachefua sana, this is home of GT na sio group of majinga
 
upinzani ni kazi ngumu sana kama kuna mtu alitegemea kuwa ni kazi rahisi basi huyo hafai kuwa mpinzani,
 
CCM kuenda mahakamani kuomba mahakama itoe zuio kwa wapinzaninkujitoa.
Naotea hili kutokea...
 
Jaffo anawatoto anafamilia anahitaji kuwalea na wanahitaji ugali,mnamlaumu bure,wakulaumiwa ni jiwe,yeye ndo sababu ya dhahma zote hizi

Tena Jaffo ana mke zaidi ya mmoja, watu wanategemea ajiuzulu vipi. Isitoshe aliyemteua ndio anayenajisi box la kura.
 
Mheshimiwa sana waziri Jafo. Mi najua unaumia na haya yanayoendelea kwenye wizara yako. Pole sana kiongozi. Ila nna machache ya kutoa kama utapenda kuyasoma karibu

1. Najua unajua kuwa kama mgombea hajapewa ridhaa nachama chochote cha siasa huyo si mgombea halali kwa mujibu wa sheria. Kwakuwa nchi yetu haina sheria ya mgombea wa kujitegemea.
Kitendo cha wewe kuagiza majina ya wagombea vyama vinavyojitoa kwenye uchaguzi yawepo siku ya uchaguzi ni kitendo cha haramu na ni uovu ambao utakutia aibu nchi hii na kitakuondolea heshima yako yote.

2. Unajua wazi kwamba kama chama hakishiriki uchagizi hakirusiwi kuweka wakala kwenye kituo cha uchaguzi. Sasa hao wagombea ukiwaweka kura zao atazihesabu nani?

Kama utawawekea mawakala nchi nzima umeshindwaje kutoa elimu kwa wachukua fomu za kugombea kwa wagombea wote wakati unajua wazi kuwa kutoa elimu kwa wagombea na wapiga kura kwa kanuni za uchagizi no jukumu lako?

3. Hatuombi machafuko nchi hii lakini hauoni kwamba mnaweza kusabaisha machafuko haya yanayoendelea?
Ombi langu kwako. Hata kama hamna hofu ya Mungu wa mbinguni ila mjue kuwa hamtendi haki. Wananchi tunatamani kupata viongozi tunaowataka na kwa itikadi zao kwa nini hata hamna huruma na wanaowalipa mishahara yenu.
Kumbukeni tunateseka sana kukesha na kuomba amani na kuwaombea hekima ya Mungu iwe juu yenu. Ili iwasaidie mpate kuwa viongozi wazuri. Mtuonee huruma.
 
Ujumbe wa kilaza kweli huu,mlifukuzwa alijifukuza subirini 2024 tena

State agent
 
Unaonyesha jinsi ulivyo mwehu!

Unapenda mawazo yanayokufurahisha wewe tu! Pathetic

Being me is my decision usitake kunipangia mimi niandike nini!

Wewe ni mwehu nakupuuza

Utanishinda mali ila sio maarfa,I'm wise enough and i know it
Ume panic? Yap, hiyo inaweza kukusaidia to go back to your sense!
Mawazo mangapi hayafurahishi lakini yamekaa kimjadala kuliko hayo yako?
Hata maandiko matakatifu yameonya "msikae barazani pa wapumbavu!" Sasa unataka baraza hili (JF) ligeuke baraza la wapumbavu?
 
Wapinzani baada ya kuona mambo ni moto kutoka kwa CCM mpya wameamua kuweka Mpira kwapani....in fact hawana hela ya campaign na ya wagombea wao....wafadhili wao wa ndani wamepigwa pini, no deals anymore na pia wafadhili wao wa nje wameona hakuna dalili ya kuiondoa na kuidhoofisha serikali inayoongozwa na a.k.a Chuma (JPM)
 
Nipanic kwa ujinga wako! How! Nimekutana na wehu zaidi yako and it sound i was far better compare to them

Next time usiwe unanyofoa kipande kidogo unapofanya quotation

Bible say:

Palms 1

Blessed is the man that walketh not in the counsel of the ungodly, nor standeth in the way of sinners, nor sitteth in the seat of the scornful
…………………………………
Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki, Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha

Sound huu ujumbe unakuhusu wewe Kwasababu mnasaliti Nchi mnatumika na Mabeberu

Idiot

Back
Top Bottom