field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Ni aibu na fedheha kwa nchi yetu kufanya mambo ya kipuuzi kama yanayoendelea na kubarikiwa na serikali na mawaziri wake.
Watanzania siyo wajinga ndiyo maana hata Mo Dewji alivyofichwa na kundi la Mafia lililojijenga tangu uongozi huu ushike madaraka.. Ni aibu kwa hao viongozi kufanya mambo ya ajabu ajabu ya kitoto na kipuuzi mno.
Magufuli kama anapendwa na raia wa nchi hii mbona mnaiba uchaguzi na kuumiza watu? Si anashindaga kwa kishindo? MNAOGOPA NINI?
Waziri Jafo amekuja na ngonjera zisizoeleweka, anajipinga mwenyewe. Anaongea uongo bila haya. Anakanusha maneno aliyoyasema ambayo yanao ushahidi .....Anatuaminisha kuwa hata UK, USA, JAPAN kuna figisu figisu....Je anaongelea hizo nchi kwa serious? Ebu uache utani wewe Jafo, UK, USA, au Japan gani kuna ujinga huu unaofanyika? Huu uhuni kwa taarifa yake hata South Sudan haupo angalau watu wana sense kidogo kuliko kwetu kusikokuwa na sense. UNAJIABISHA MWENYEWE!
Leo unapinga kuwa hukusema wakati ushahidi upo na wewe unafahamu ulichosema ambacho wote tumeusikia...AU ULIKUWA UMEKUNYWA POMBE?
Au unamuigiliza waziri Kabudi anayebisha kuwa hakusema Azzory Gwanda died? Ebu acheni mzaha ninyi mawaziri au Magufuli ndivyo alivyowaambia kuwa mbishe hata kile kilichotoka kinywani mwenu?
Kangi Lugola naye ni pasua kichwa.....hajui anachofanya,kimsingi hana sense, anaropoka tu na kutoa vitisho. Kwani lazima chama cha siasa kifuate matakwa yako na serikali yako?
Boresheni uchaguzi, uwe wa haki, vyama vyote vya siasa vitashiriki kuliko mnachofanya sasa-Shame on you, Lugola, na Jafo.