Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

Ni aibu na fedheha kwa nchi yetu kufanya mambo ya kipuuzi kama yanayoendelea na kubarikiwa na serikali na mawaziri wake.

Watanzania siyo wajinga ndiyo maana hata Mo Dewji alivyofichwa na kundi la Mafia lililojijenga tangu uongozi huu ushike madaraka.. Ni aibu kwa hao viongozi kufanya mambo ya ajabu ajabu ya kitoto na kipuuzi mno.

Magufuli kama anapendwa na raia wa nchi hii mbona mnaiba uchaguzi na kuumiza watu? Si anashindaga kwa kishindo? MNAOGOPA NINI?

Waziri Jafo amekuja na ngonjera zisizoeleweka, anajipinga mwenyewe. Anaongea uongo bila haya. Anakanusha maneno aliyoyasema ambayo yanao ushahidi .....Anatuaminisha kuwa hata UK, USA, JAPAN kuna figisu figisu....Je anaongelea hizo nchi kwa serious? Ebu uache utani wewe Jafo, UK, USA, au Japan gani kuna ujinga huu unaofanyika? Huu uhuni kwa taarifa yake hata South Sudan haupo angalau watu wana sense kidogo kuliko kwetu kusikokuwa na sense. UNAJIABISHA MWENYEWE!

Leo unapinga kuwa hukusema wakati ushahidi upo na wewe unafahamu ulichosema ambacho wote tumeusikia...AU ULIKUWA UMEKUNYWA POMBE?
Au unamuigiliza waziri Kabudi anayebisha kuwa hakusema Azzory Gwanda died? Ebu acheni mzaha ninyi mawaziri au Magufuli ndivyo alivyowaambia kuwa mbishe hata kile kilichotoka kinywani mwenu?

Kangi Lugola naye ni pasua kichwa.....hajui anachofanya,kimsingi hana sense, anaropoka tu na kutoa vitisho. Kwani lazima chama cha siasa kifuate matakwa yako na serikali yako?

Boresheni uchaguzi, uwe wa haki, vyama vyote vya siasa vitashiriki kuliko mnachofanya sasa-Shame on you, Lugola, na Jafo.
 
Huyu Jafo hata kama mteule wake ndiye anayemng'ang'aniza asalie madarakani..........

Kwa "uchafuzi" huu alioliletea Taifa hili, hauvumiliki hata kidogo......

Najua huu upuuzi ameufanya kwa maagizo ya Jiwe, hata hivyo ANALAZIMIKA kujiuzulu tu

Hakuna option nyingine
 
Sasa hivi ndiyo naanza kuamini kuwa nchi hii, hivi sasa inaongozwa na "chizi"

Siamini kweli kama hii nchi ingekuwa inaongozwa na mtu mwenye "sound mind" tungeweza kufika hapa tulipofika
 
Weka ushahidi wa alichokisema upunguze maneno. Huu sio uwanja wa kujifunzia taarab!
 
Katika inchi hiii unafki umejaa sana awamu hiii na lengo ni meko aendlee kua madarakan milele kwaio haya yote ni kumsafishia njia naanza kuamn kua huyu co mtanzania maan watanzania wakwel hwana roho ya chuki namna hiii never exist huyu katumwa kutuarbja inchi ye2
 
katika inchi hiii unafki umejaa sana awamu hiii na lengo ni meko aendlee kua madarakan milele kwaio haya yote ni kumsafishia njia naanza kuamn kua huyu co mtanzania maan watanzania wakwel hwana roho ya chuki namna hiii never exist huyu katumwa kutuarbja inchi ye2


Kweli Katumwa.
 
Kuna siku tutashangaa tumefikaje pale walipojutia wenzetu! Wazee wa ccm walitafakari. Jafo anajitahidi sana ila hili la mchakato wa uchafuzi wa election umemharibia!!!!
 
!
!
Aloyeharibu Uchaguzi Anajulikana Siyo Jafo Hata Kidogo. Ofisi Ya Jafo Iko Chini Ya Ofisi Ya Raisi Mwenyewe. Sababu Za Kumfanya Jafo Ajiuzulu Ndio Hizo Hizo Zomfanye Raisi Ajiuzulu. #CollectiveResponsibility
 
Mtu anasema mwenyewe then anakuja kusema kanukuliwa vibaya, ajabu hii ya awamu ya tano
Ndiyo staili wanayokwenda nayo viongozi wa awamu ya tano

Refer kauli aliyotoa Profesa Kabudi, wakati anaelezea alipo Mwandishi wa habari, Azory Gwanda kuwa amekuwa "disappeared and died"
 
!
!
Aloyeharibu Uchaguzi Anajulikana Siyo Jafo Hata Kidogo. Ofisi Ya Jafo Iko Chini Ya Ofisi Ya Raisi Mwenyewe. Sababu Za Kumfanya Jafo Ajiuzulu Ndio Hizo Hizo Zomfanye Raisi Ajiuzulu. #CollectiveResponsibility
Nchi nzima hivi sasa tunajua kuwa yeye mwenyewe Jiwe ndiye aliyeuharibu huu uchaguzi wa serikali za mitaa, kutokana na tamaa yake ya kupitiliza ya kutaka chama chake cha CCM kizoe asilimia 100 ya viti vyote

Sasa ninachojaribu kumwambia huyu ndugu yangu Jafo, ili alinde heshima yake, aandike tu barua ya kuachia ngazi
 
Back
Top Bottom