Pamoja na kuwa mimi ni mnufaika wa CCM sana ila nashauri Tundu Lissu anapaswa alindwe sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Watu kama Tundu Lissu ni adimu sana. Hawapatikani mara nyingi. Nashauri tutumie akili zao kwa manufaa ya nchi.

Chadema msiwe wabinafsi. Akili ya Lissu msitake itumia ninyi peke yenu. Inatakiwa ifaidishe Taifa. Tunaomba Nchi nzima ipambane kuhakikisha Lissu anatumika kuisaidia kwenye mambo mengi ya kimsingi.

Tatizo lenu watanzania Vichwa nazi ndo mnataka watumike na wawe nembo ya Taifa halafu watu wenye akili mnawabagaza na kuwabananga.
 
IMG-20250911-WA0042.jpg
 
CCM walitaka kumuua- wakafa wao
 
Kiukweli ukimsikiliza Lissu unaona kabsa hapa Taifa linae mtu anaejua sheria.

Lile soma analotoa la sheria pale mahakamani aibu naona mimi.

Kama mzazi/kaka au ndugu yangu angekuwa kwenye jopo la jamhuri ningemshauri ajitoe kulinda heshima yake.

Vinginevyo yule jamaa anawaaibisha sana.
 
Mimi namuangalia kiroho sana huyu jamaa, maana mambo ya wasomi siyajui, ila kiroho ni mtu mwenye destiny kubwa sana. Kama risasi zote zile hazikumuua, ina maana kuna kazi ambayo bado hajaimaliza hapa duniani na ni lazima aimalize kabla hajafa.
 
Kama Mungu aishivyo, tunda lililowekwa na Mungu ndani ya Lissu, litaizalia hii nchi kwa namna yoyote ile

Kina watu itabidi wapukutike kwa kutaka kushindana na kitu cha Mungu ndani ya Lissu
 
Mimi namuangalia kiroho sana huyu jamaa, maana mambo ya wasomi siyajui, ila kiroho ni mtu mwenye destiny kubwa sana. Kama risasi zote zile hazikumuua, ina maana kuna kazi ambayo bado hajaimaliza hapa duniani na ni lazima aimalize kabla hajafa.
Hizi zinabaki kuwa ni hisia tu maana watafuna nchi wameshamdhibiti, ni hakuna namna atapenya kutimiza malengo yake hasa Kwa jamii ya watu wengi wajinga kama Tanzania.
 
Watu kama Tundu Lissu ni adimu sana. Hawapatikani mara nyingi. Nashauri tutumie akili zao kwa manufaa ya nchi.

Chadema msiwe wabinafsi. Akili ya Lissu msitake itumia ninyi peke yenu. Inatakiwa ifaidishe Taifa. Tunaomba Nchi nzima ipambane kuhakikisha Lissu anatumika kuisaidia kwenye mambo mengi ya kimsingi.

Tatizo lenu watanzania Vichwa nazi ndo mnataka watumike na wawe nembo ya Taifa halafu watu wenye akili mnawabagaza na kuwabananga.
Mimi nimfuasi wa muda mrefu jf. Nafahamu kwa hakika wewe ni Mwanaccm.

Hongera sana. Kama umeliona hilo
 
Mimi namuangalia kiroho sana huyu jamaa, maana mambo ya wasomi siyajui, ila kiroho ni mtu mwenye destiny kubwa sana. Kama risasi zote zile hazikumuua, ina maana kuna kazi ambayo bado hajaimaliza hapa duniani na ni lazima aimalize kabla hajafa.
Mtumishi Mwingine alisema......Tundu Lisu amewekwa ili atimize Kusui moja la Mungu.

Na akishatimiza hilo kusudi atakufa na watanzania tutalia sana. Ila kazi yake atakuwa amemaliza.
 
Kiukweli ukimsikiliza Lissu unaona kabsa hapa Taifa linae mtu anaejua sheria.

Lile soma analotoa la sheria pale mahakamani aibu naona mimi.

Kama mzazi/kaka au ndugu yangu angekuwa kwenye jopo la jamhuri ningemshauri ajitoe kulinda heshima yake.

Vinginevyo yule jamaa anawaaibisha sana.
Inakuja kugundulika leo kwamba kumbe kuna kesi nyingi zilihukumiwa kimakosa na watu walinyea ndoo Maisha.

Kesi wanazoleta kama reference zinakuja kuonekana Majaji walisahau sheria.
 
Duh,
Inasikitisha sana
 
Wenye akili hawatakiwi mkuu ndo msingi mkuu wa nchi yetu kama hata Salim Hamed Salimu akua Rasi hii nchi ina laana
 
Back
Top Bottom