Pamoja na kuwa mimi ni mnufaika wa CCM sana ila nashauri Tundu Lissu anapaswa alindwe sana

Pamoja na kuwa mimi ni mnufaika wa CCM sana ila nashauri Tundu Lissu anapaswa alindwe sana

Mimi namuangalia kiroho sana huyu jamaa, maana mambo ya wasomi siyajui, ila kiroho ni mtu mwenye destiny kubwa sana. Kama risasi zote zile hazikumuua, ina maana kuna kazi ambayo bado hajaimaliza hapa duniani na ni lazima aimalize kabla hajafa.
Yes kila kitu kina sababu kwanini yupo kwanini akufa siku ile kwanini risasi haikupiga kichwa unabaki na maswali mengi kiroho utabaki na maswali mengi bila majibu huyu jamaa angekua Jaji mkuu angeweza kunyoosha mahakama
 
Inakuja kugundulika leo kwamba kumbe kuna kesi nyingi zilihukumiwa kimakosa na watu walinyea ndoo Maisha.

Kesi wanazoleta kama reference zinakuja kuonekana Majaji walisahau sheria.
Aliwahi kusema kipi JK anateua Majaji alisema kuna Majaji wameteuliwa hawana vigezo na akaweka vigezo vya kua Jaji
 
Inakuja kugundulika leo kwamba kumbe kuna kesi nyingi zilihukumiwa kimakosa na watu walinyea ndoo Maisha.

Kesi wanazoleta kama reference zinakuja kuonekana Majaji walisahau sheria.
Kiuhalisia mawakili wameamua kuivua nguo sirikali.
 
Watu kama Tundu Lissu ni adimu sana. Hawapatikani mara nyingi. Nashauri tutumie akili zao kwa manufaa ya nchi.

Chadema msiwe wabinafsi. Akili ya Lissu msitake itumia ninyi peke yenu. Inatakiwa ifaidishe Taifa. Tunaomba Nchi nzima ipambane kuhakikisha Lissu anatumika kuisaidia kwenye mambo mengi ya kimsingi.

Tatizo lenu watanzania Vichwa nazi ndo mnataka watumike na wawe nembo ya Taifa halafu watu wenye akili mnawabagaza na kuwabananga.

Kama hupati chochote kuwa mwana CCM nashauri una matatizo kidogo ya akili ambayo wewe mwenyewe unaweza usijue. Usichukulie vibaya lakini ndiyo ukweli kwa mambo yanayoendelea huwezi kusema mtu mwenye akili zake ambaye hanufaiki kwa huu uongo anaunga mkono CCM haiwezekani
 
Yes kila kitu kina sababu kwanini yupo kwanini akufa siku ile kwanini risasi haikupiga kichwa unabaki na maswali mengi kiroho utabaki na maswali mengi bila majibu huyu jamaa angekua Jaji mkuu angeweza kunyoosha mahakama
Operesheni 25 bado akatoboa.
 
Back
Top Bottom