Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Nani ataikubali tume iliyoundwa na kiongozi FEKI?Na.M M Mwanakijiji
Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikajinwa damu Oktoba 29 mwaka jana. Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea tutaifanyia kazi' natangaza kuikataa ripoti nzima na mapendekezo yake.
Ni hilo.
Kwani Samia hakujitangaza kuwa yeye ndiye "Amiri Jeshi Mkuu"? na kuwaeleza watu hakuna "Nywinywi", maana yake hii ilikuwa ni nini?Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikajinwa damu Oktoba 29
Wacha Bhwana!Wanaharakati walio nje ya nchi, Maria na Mange ndio watatwishwa hilo zigo.
Kwani kama Mtanzania huwezi kuikataa?Unaikataa kama nani? Huwa mna act as foolish guys
Iliripotiwa wapi hiyo? Kuna chanzo au vyanzo vya hiyo taarifa?Askari ambao walifanya mauaji ya vijana waliokuwa wanaangalia mpira bandani mji mwema Mwanza, walikamatwa na wako korokoroni muda mrefu. Hao ni miongoni mwa mbuzi wa kafara.
Baada ya kuikataa what next? Ishu ya watu mil. 60 halafu anatokea kenge mmoja eti "ninaikataa 🤣🤣🤣ni upumbavuKwani kama Mtanzania huwezi kuikataa?
Tunaoikataa tuko wengi sana. Mamilioni ya Watanzania.Baada ya kuikataa what next? Ishu ya watu mil. 60 halafu anatokea kenge mmoja eti "ninaikataa 🤣🤣🤣ni upumbavu
Itaripotiwa na tume mkuu. Hizo ni intel info kutoka vyanzo vyangu.Iliripotiwa wapi hiyo? Kuna chanzo au vyanzo vya hiyo taarifa?
Hahahaaa blah blah blah!Itaripotiwa na tume mkuu. Hizo ni intel info kutoka vyanzo vyangu.
Acha kujidanganya mbona Mimi naikubali hao mamilioni wanatoka wapiTunaoikataa tuko wengi sana. Mamilioni ya Watanzania.
Pasina kusahau wakina tec, polepole, gwajima na kama angekuwepo ndugai asinge salimika, chadema inaweza kuguswa kwenye engo fulani ili isiwe vigumu kwenye maridhiano.Wanaharakati walio nje ya nchi, Maria na Mange ndio watatwishwa hilo zigo.