Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Naona askari wa kutosha wametanda sehemu mbali mbali Dar es salaamKila mzalendo atatega masikio Hivyo wajue hawasomei uvccm. Hii ngoma ndio inaanza upya sasa
Naona askari wa kutosha wametanda sehemu mbali mbali Dar es salaamKila mzalendo atatega masikio Hivyo wajue hawasomei uvccm. Hii ngoma ndio inaanza upya sasa
Acha kujidanganya mbona Mimi naikubali hao mamilioni wanatoka wapi
Unampa Pole nani?....jipe Pole wewe na ukoo wenu...unasema low scale thinking capacity?...hahaha...inaonekana huna kitu kichwani...ungekuwa nazo usingewaza na kuandika haya...Poleni sana mna low scale thinking capacity
Wewe unasubiri kukataa ripoti, wengine walikataa mteua tume na tume yenyewe ndiyo iwe ripoti ?Na.M M Mwanakijiji
Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikaji wa damu Oktoba 29 mwaka jana.
Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea tutaifanyia kazi' natangaza kuikataa ripoti nzima na mapendekezo yake.
Ni hilo.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.
Hata hii kura yako ya bandiko hili ni kura batili!.
Ile motoo ya jf ya zamani "it's the content that matters" imeishia wapi?!.
I'm very surprised na matokeo ya kura hii, mtu kitu hukijui unaulizwa unaikubali au unaikataa?!, unakubali au kukataa nini wakati ripoti yenyewe bado haijatolewa?!
Huwezi kupigia kura kitu usichokijua
Let's be honest and fair!
P
Hili ndilo swali kuu ambalo umma unasubiri kujua na kumjua aliyetoa amri ya shoot to kill, kuwaua wananchi wetu ni nani?!
P
Kweli kaka umeliona hili.Wanaharakati walio nje ya nchi, Maria na Mange ndio watatwishwa hilo zigo.
Tafadhali sana mkuu hiyo haina hadhi ya kuitwa ripoti hiyo ni KIPEPERUSHI CHA UDAKU.Kuna yeyote aneikubali ripoti hii?
Mkuu ripoti imetoka Je imeenda tofauti na matarajio ya Watanzania wengi waliopoteza wapendwa wao? Je imeenda tofauti na poll ya Mzee MwanakijijiMkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.
Hata hii kura yako ya bandiko hili ni kura batili!.
Ile motoo ya jf ya zamani "it's the content that matters" imeishia wapi?!.
I'm very surprised na matokeo ya kura hii, mtu kitu hukijui unaulizwa unaikubali au unaikataa?!, unakubali au kukataa nini wakati ripoti yenyewe bado haijatolewa?!
Huwezi kupigia kura kitu usichokijua
Let's be honest and fair!
P
What's your take now.Mkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.
Hata hii kura yako ya bandiko hili ni kura batili!.
Ile motoo ya jf ya zamani "it's the content that matters" imeishia wapi?!.
I'm very surprised na matokeo ya kura hii, mtu kitu hukijui unaulizwa unaikubali au unaikataa?!, unakubali au kukataa nini wakati ripoti yenyewe bado haijatolewa?!
Huwezi kupigia kura kitu usichokijua
Let's be honest and fair!
P
Mkuu ingawa unaikubali lakini wewe sio Tanzania nzima.Acha kujidanganya mbona Mimi naikubali hao mamilioni wanatoka wapi
Utaiona wapi wakati ni mali ya RAIS.Mkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.
Hata hii kura yako ya bandiko hili ni kura batili!.
Ile motoo ya jf ya zamani "it's the content that matters" imeishia wapi?!.
I'm very surprised na matokeo ya kura hii, mtu kitu hukijui unaulizwa unaikubali au unaikataa?!, unakubali au kukataa nini wakati ripoti yenyewe bado haijatolewa?!
Huwezi kupigia kura kitu usichokijua
Let's be honest and fair!
P
Hiyo inaitwa perception based approach. Research is all about methodology Pascal MayallaMkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.