PostGE2025 Pamoja na kuwa na uwezekano wa watu Kutolewa Kafara, Naikataa Ripoti ya Chande

PostGE2025 Pamoja na kuwa na uwezekano wa watu Kutolewa Kafara, Naikataa Ripoti ya Chande

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Utaikubali Ripoti ya Jaji Chande Kuhusu Matukio ya Umwagikaji Damu Oktoba 29, 2025?

  • Ndiyo

    Votes: 4 3.1%
  • Hapana

    Votes: 118 91.5%
  • Sijali

    Votes: 7 5.4%

  • Total voters
    129
Na.M M Mwanakijiji

Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikajinwa damu Oktoba 29 mwaka jana. Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea tutaifanyia kazi' natangaza kuikataa ripoti nzima na mapendekezo yake.

Ni hilo.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.
Hata hii kura yako ya bandiko hili ni kura batili!.

Ile motoo ya jf ya zamani "it's the content that matters" imeishia wapi?!.

I'm very surprised na matokeo ya kura hii, mtu kitu hukijui unaulizwa unaikubali au unaikataa?!, unakubali au kukataa nini wakati ripoti yenyewe bado haijatolewa?!

Huwezi kupigia kura kitu usichokijua
Let's be honest and fair!

P
 
Kama mnasubiri matokeo ya tume ambayo watu wake tayari wako compromised kwa sababu za wazi kabisa za conflict of interest(COI) unatoa wapi nerves za kupinga upigaji wa kura when anybody with common sense can smell this terribly smelling rat from miles away?
Tume yenyewe(members) iko biased through and through sasa mtu mwenye uelewa anashindwaje kukataa kila kinachoihusu, let's call spade a spade.
 
SEHEMU YA MPITO: SAUTI JUU YA TAIFA NA FUMBO LA KUPONYWA

Kabla ya kufunguka kwa hatua inayofuata, kulikuwa na jambo zito lililonijia—si kwa kelele, bali kwa uzito wa ndani usioepukika.

Maono haya hayakuwa ya mtu mmoja, wala ya mahali pa siri pekee. Yalikuwa juu ya taifa.

Nikaona juu ya Tanzania, kana kwamba anga limebeba kumbukumbu ambayo haijasemwa wazi kwa vinywa vya wengi, lakini imeandikwa katika kilio kisicho na sauti.

Kulikuwa na rejea ya tukio—tarehe iliyopita, lakini isiyoisha ndani ya roho za walioguswa nayo.
29/10/25.

Siku ambayo ardhi ilibeba damu, na ukimya ukafunika ukweli wake.

Lakini katika maono, siku hiyo haikuonekana kama mwisho—bali kama mbegu.

Mbegu ya kilio.

Imeandikwa:

“Damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.” (Mwanzo 4:10)

Na hapo ndipo nilipoanza kuona kwamba si kila tukio linaishia pale linapotokea. Mengine huanza kufanya kazi chini kwa chini, hadi wakati wa kujibu unapofika.

Katika picha iliyoonyeshwa, taifa lilionekana kama mjusi aliyekatika mkia—si kwa kushindwa, bali kwa kujilinda.

Sehemu inakatika ili mwili uendelee kuishi.

Lakini kilichokatika hakifi mara moja—kinatetemeka, kikitoa ishara kwa wanaotazama kwa makini.

Hivyo ndivyo ilivyoonekana.

Jaribio la kujitoa, kujisitiri, kujiponya kwa njia ya muda mfupi.

Lakini ndani yake kulikuwa na jambo jingine likianza.

Sio kwa kelele.

Sio kwa matangazo.

Bali kwa wale wanaoitwa ndani kwa ndani—wale wanaobeba mzigo wa taifa bila kutambulika.

Na hapo nikaonyeshwa muda:

Asubuhi.

Saa kumi na mbili kamili.

Mwanzo wa mwanga, lakini si mchana kamili.

Wakati ambao wachache huamka, na wengi bado wamelala.

Ndipo nilipoona kitu kikianza.

Sauti zisizo na vipaza sauti.

Maombi yasiyoandikwa.

Mioyo inayobeba mzigo bila kuonekana.

Na hapo ndipo neno lilikuja:

“Nimeyasikia.”

Kwa maana imeandikwa:

“Nimeona mateso ya watu wangu… nami nimesikia kilio chao… kwa maana nayajua maumivu yao.” (Kutoka 3:7)

Lakini pia:

“Kama watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekeza, na kuomba… ndipo nitasikia kutoka mbinguni, na kuisamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.” (2 Mambo ya Nyakati 7:14)

Hapa ndipo fumbo linakuwa gumu zaidi.

Kwa sababu si kila kilio huleta mabadiliko.

Lakini kuna kilio kinachofika.

Na kilichoonyeshwa si mwisho wa jambo, bali mwanzo wa mchakato.

Sio uponyaji wa ghafla.

Bali kazi ya polepole—kama mvua ya kwanza kabla ya mavuno.

Taifa halikuonyeshwa likianguka.

Lilionyeshwa likipitia.

Na kati ya kupita huko, kulikuwa na mgawanyiko wa wale wanaoona na wasioona.

Wapo watakaosema: hakuna kilichotokea.

Na wapo watakaojua: kitu kimeanza.

Kwa maana imeandikwa:

“Bwana hatatenda neno lo lote, asipowafunulia watumishi wake manabii siri yake.” (Amosi 3:7)

Lakini siri haifunuliwi kwa kelele.

Hufunuliwa kwa wale wanaosikiliza kati ya mistari.

Hivyo basi, si kila mtu ataelewa mwanzo huu.

Lakini wale walioonyeshwa, watajua kuwa:

Kilio kimefika.

Na kazi imeanza.

Polepole.

Kwa utaratibu usiotambulika kirahisi.

Mpaka pale ambapo matokeo yake yatakuwa wazi kuliko mwanzo wake.

Nitaendelea…

Karibu kwenye uzi huu wangu

Mkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.
Hata hii kura yako ya bandiko hili ni kura batili!.

Ile motoo ya jf ya zamani "it's the content that matters" imeishia wapi?!.

I'm very surprised na matokeo ya kura hii, mtu kitu hukijui unaulizwa unaikubali au unaikataa?!, unakubali au kukataa nini wakati ripoti yenyewe bado haijatolewa?!

Huwezi kupigia kura kitu usichokijua
Let's be honest and fair!

P
You dumb idiot just shut the F up, already!

The whole commission was dead on arrival.

Where else in the world have you seen the main/ number one suspect create a commission to investigate the killings that she is accused of orchestrating? Where?

You think that’s OK? You think that’s appropriate?

Every single solitary member of that commission is beholden to her, Samia, who gave them that opportunity in the first place.

It is unacceptable for her to be the one to create the body that will investigate the killings of which she is the number one accused.

You think that’s just hunky-dory, there’s nothing to see here?

What’s wrong with you?
 
Acha kujidanganya mbona Mimi naikubali hao mamilioni wanatoka wapi
Ninyi wauaji wote lazima mtaikubali hiyo time bandia kwa sababu mnaamini kuwa hiyo tume bandia itawatengenezea mlango bandia wa kutokea, lakini kamwe hakuna mwenye akili timamu, na mwenye mapenzi mema anaweza kuikubaali hiyo tume ya kuusafisha uovu.
 
Na.M M Mwanakijiji

Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikajinwa damu Oktoba 29 mwaka jana. Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea tutaifanyia kazi' natangaza kuikataa ripoti nzima na mapendekezo yake.

Ni hilo.
Hata hao maafisa wa usalama hawawezi kutolewa kafara kwasababu maagizo wamepokea juu na walilipwa na kama ingekuwa Kuna Nia kweli ya kutolewa kafara kwenye hotuba mbalimbali za mama wangegusiwa
 
Back
Top Bottom