PostGE2025 Pamoja na kuwa na uwezekano wa watu Kutolewa Kafara, Naikataa Ripoti ya Chande

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Utaikubali Ripoti ya Jaji Chande Kuhusu Matukio ya Umwagikaji Damu Oktoba 29, 2025?

  • Ndiyo

    Votes: 4 3.1%
  • Hapana

    Votes: 118 91.5%
  • Sijali

    Votes: 7 5.4%

  • Total voters
    129
Mkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.
Hata hii kura yako ya bandiko hili ni kura batili!.

Ile motoo ya jf ya zamani "it's the content that matters" imeishia wapi?!.

I'm very surprised na matokeo ya kura hii, mtu kitu hukijui unaulizwa unaikubali au unaikataa?!, unakubali au kukataa nini wakati ripoti yenyewe bado haijatolewa?!

Huwezi kupigia kura kitu usichokijua
Let's be honest and fair!

P
 
Attachments

  • images (18).jpeg
    images (18).jpeg
    21.3 KB · Views: 14
Mkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.
Hata hii kura yako ya bandiko hili ni kura batili!.

Ile motoo ya jf ya zamani "it's the content that matters" imeishia wapi?!.

I'm very surprised na matokeo ya kura hii, mtu kitu hukijui unaulizwa unaikubali au unaikataa?!, unakubali au kukataa nini wakati ripoti yenyewe bado haijatolewa?!

Huwezi kupigia kura kitu usichokijua
Let's be honest and fair!

P
Tatizo ni namna ilivyoundwa ndio imeleta shida hata kabla haijatolewa mtuhumiwa mkuu wa mauaji kwa wadau wanavyosema ni Mama kulingana na mazingira waliona so wanajiuliza kwanini huyo mtuhumiwa apate legitimacy ya kuunda tume? Na mbaya zaidi report inawasilishwa kwake na ukiacha hivyo wadau wameona Tume imeanza kuwaanda kisaikorojia mapema na Jaji chande kupitia hotuba yake ya Jana kwa kusema report yao ilijikita zaidi kwenye kuelezea athari zilizojitokeza na haiwezi kumdirect mtumiwa aliyehusika.Kupitia hizo kauli za Jaji chande imefanya wadau wasione Kutakuwa na jipya kwenye hiyo report yao, mkuu nimewasilisha maoni ya wadau
 
Askari ambao walifanya mauaji ya vijana waliokuwa wanaangalia mpira bandani mji mwema Mwanza, walikamatwa na wako korokoroni muda mrefu. Hao ni miongoni mwa mbuzi wa kafara.
Hii ingekuwa habari kubwa ili mamlaka zijitakase lakini sijaona wakipelekwa mahakamani otherwise naomba chanzo Cha taarifa yako
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji, this what you're doing here right now, it is not fair at all!. This is biased opinion!, huwezi kukikataa kitu hujakiona! Subiria ripoti itoke, tuichambue, ndipo utoe opinion yako kuikubali ama kuikataa!.
Hata hii kura yako ya bandiko hili ni kura batili!.

Ile motoo ya jf ya zamani "it's the content that matters" imeishia wapi?!.

I'm very surprised na matokeo ya kura hii, mtu kitu hukijui unaulizwa unaikubali au unaikataa?!, unakubali au kukataa nini wakati ripoti yenyewe bado haijatolewa?!

Huwezi kupigia kura kitu usichokijua
Let's be honest and fair!

P
20260330_022700.png
Nitajie hapo mtu asiye wa serikali na pia sio kada wa CCM ,nikuonyeshe ng'ombe mwenye mvi.
 
Hii ingekuwa habari kubwa ili mamlaka zijitakase lakini sijaona wakipelekwa mahakamani otherwise naomba chanzo Cha taarifa yako
Ingekuwa kweli ni hivyo mama angesema we jiulize hotuba gani ya mama au serikali yake imegusia jeshi la police kwenye yale maandamano hata kwa bahati mbaya? Mbona waandamaji, waharakati wameguswa why not polisi?
 
Hata hao maafisa wa usalama hawawezi kutolewa kafara kwasababu maagizo wamepokea juu na walilipwa na kama ingekuwa Kuna Nia kweli ya kutolewa kafara kwenye hotuba mbalimbali za mama wangegusiwa
Kichwa chako kipo hai Mkuu. Long Live!
 
Kama Mwanakijiji wa Tanzania anayo haki kukubali au kukataa...yeye kaamua kuikataa sasa wewe ni nani mpaka umpangie?....
Huwezi kumpangia mtu yoyote tambua
Walamba mataqo ya watawala fake mko wachache, mlichotuzidi ni back up ya policcm wenye silaha tuuu!.
Poleni sana mna low scale thinking capacity
 
Askari ambao walifanya mauaji ya vijana waliokuwa wanaangalia mpira bandani mji mwema Mwanza, walikamatwa na wako korokoroni muda mrefu. Hao ni miongoni mwa mbuzi wa kafara.
Huu ujumbe wako hauna mashiko. Haujaripotiwa poppte pale.
 
Na.M M Mwanakijiji

Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikaji wa damu Oktoba 29 mwaka jana.

Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea tutaifanyia kazi' natangaza kuikataa ripoti nzima na mapendekezo yake.

Ni hilo.
Wazanzibari wa KMKM walioua nao watiwe hatiani
1776924915223.png
 
Na.M M Mwanakijiji

Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikaji wa damu Oktoba 29 mwaka jana.

Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea tutaifanyia kazi' natangaza kuikataa ripoti nzima na mapendekezo yake.

Ni hilo.
Freedom of expression...
 
Askari ambao walifanya mauaji ya vijana waliokuwa wanaangalia mpira bandani mji mwema Mwanza, walikamatwa na wako korokoroni muda mrefu. Hao ni miongoni mwa mbuzi wa kafara.
Una uhakika na hili ?..
 
Back
Top Bottom