PostGE2025 Pamoja na kuwa na uwezekano wa watu Kutolewa Kafara, Naikataa Ripoti ya Chande

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Utaikubali Ripoti ya Jaji Chande Kuhusu Matukio ya Umwagikaji Damu Oktoba 29, 2025?

  • Ndiyo

    Votes: 4 3.1%
  • Hapana

    Votes: 118 91.5%
  • Sijali

    Votes: 7 5.4%

  • Total voters
    129
Wewe unasubiri kukataa ripoti, wengine walikataa mteua tume na tume yenyewe ndiyo iwe ripoti ?
 

Mimi sijapiga kura, lakini siikubali hiyo tume. Aliyeiunda ndiye muhusika mkuu na ndiye anaitaka hiyo ripoti, hawajibiki kutuambia ripoti ya tume inasemaje, na wala hawajibiki kufanyia kazi maoni ya tume.

Kwa hoja hizo ni matumaini ya wengi ni hewa, ni kujilisha upepo.

Vv
 
Mkuu ripoti imetoka Je imeenda tofauti na matarajio ya Watanzania wengi waliopoteza wapendwa wao? Je imeenda tofauti na poll ya Mzee Mwanakijiji
 
What's your take now.
 
Utaiona wapi wakati ni mali ya RAIS.
 
Hiyo inaitwa perception based approach. Research is all about methodology Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…