Pre GE2025 Pamoja na kuwa namuunga Mkono Lissu Lakini sifurahishwi na yeye kwendakwenda Ubelgiji

Pre GE2025 Pamoja na kuwa namuunga Mkono Lissu Lakini sifurahishwi na yeye kwendakwenda Ubelgiji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Hujawahi kumpenda kweli Lissu. We ni pandikizi tu wa CCM ambaye una hofu na Lissu kwa sababu kwa nyakati zilivyo ni hatari sana Lissu kuongoza Mapambano dhidi ya CCM.
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Mwenzio bado analipa gharana ya mateso aliyosababishiwa na siasa za upinzani.
Huwa anaenda Ubelgiji kwa ajili ya check up ya afya yake.
Pili familia yake ipo kule.
 
Saivi ni kua mtazamaji tu siasa ni ya kuweka mbali, kama CCM wameingia kati kumpambania Mbowe unategemea nini? Acha Lisu akatafute backups zake kama ni Belgium au German
Acha kusingizia CCM kwani Chadema hamna akili za kuamua Mambo yenu hadi msaidiwe na hao mnawaita mafisadi?
 
Huyu ndiye Mtanzania wa pili kwa kulipa gharama kubwa Chadema.
Wa kwanza kwa kulioa gharama kubwa ni Mawazo na wengine waliofariki.

Hizi ndururu za mchongo za akinanMbowe ambazo hukopesha chama ni ujinga mtupu
Yaani nimetokea kumchukua sana mbowe, kumbe anavimbisha tumbo kwa mateso na vifo vya vijana wa chadema wenye itikadi za kimageuzi.
 
Biashara yake ni siasa na siasa ndio imemfanya afike kule, hutaki mwenzio ale bata la anachokifanya siku zote?
Siasa ni biashara na career kama zilivyo kada nyingine, usiingilie kazi za watu.
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Kwanini mlimmiinia risasi zaidi ya 16, vuta picha wew umeingizwa mti kwenye mkundu wako tena wenye ncha kali, wenye urefu wa mkono wako
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Habari ya Lisu ni ya kipekee kabisa.
Mtu ambaye amepigwa risasi nyingi mchana kweupe, eneo linalolindwa muda wote na bado hakuna aliyehojiwa mpaka leo. Waliotaka kumuua na walioshiriki bado wapo na hakuna uthibitisho wa kujutia.
Hilo tu latosha kuthibitisha kwamba Lisu hayupo salama Tanzania.
Yawezekana hiyo kuondoka ondoka ni njia ya kujihakikishia usalama akipata taarifa fiche kuhusu tishio usalama wake.
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!

..don't be so insensitive.

..kabla ya kushambuliwa Lissu alikuwa haendi mara kwa mara Ubelgiji.

..Na waliopatwa na masaibu kama ya Lissu, wengi hutoroka nchi zao.

..hatupaswi kumnyanyapaa, au kumshutumu Lissu, kwa kufuata matibabu Ubelgiji. Hakuchagua kupata balaa lile.
 
Back
Top Bottom