DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
TAL mtu makini na jasiri. Itakuwa anafatilia mambo ya Afya zaidi na Kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mnaamini kuna wajinga wa hivyo mnaweza kuwapoteza maboya? Ni hivi, katika uhayawani ule dhalimu magu kwa kumtuma Makonda ndio wahusika. Hili hata mkadhikiri uchi hapo kwa Mkapa hamuwezi kulibadilisha.Yaani nimetokea kumchukua sana mbowe, kumbe anavimbisha tumbo kwa mateso na vifo vya vijana wa chadema wenye itikadi za kimageuzi.
Lissu kuna ujumbe anatuma kwa Watnzania lakini tumekuwa wazito kusoma patrns zake:Yaani nimetokea kumchukua sana mbowe, kumbe anavimbisha tumbo kwa mateso na vifo vya vijana wa chadema wenye itikadi za kimageuzi.
Ww utakuwa ni mzee, ndio maana bado unaamini kazi zinafanywa kwa kuonana face to face tu.Mwisho wa siku mtakubaliana na andiko langu nililowaambia kuwa ni vipi Lissu Ataiongoza CHADEMA wakati muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Siku mkifunguka akili na macho yenu mtaanza kuniunga mkono huku mkibubujikwa na machozi ya majuto na kukiri kuwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani ndiye anayefaa kuendelea kuiongoza CHADEMA
Hujawahi kumpenda kweli Lissu. We ni pandikizi tu wa CCM ambaye una hofu na Lissu kwa sababu kwa nyakati zilivyo ni hatari sana Lissu kuongoza Mapambano dhidi ya CCM.
Anatembea na tiketi mfukoniTupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Anatembea na tiketi mfukoni
Hiyo ndiyo roho mbaya unayoisikia mtu anayo .
TAL mtu makini na jasiri. Itakuwa anafatilia mambo ya Afya zaidi na Kazi.
CCM ndio marafiki wa FAM na adui wa TAL,mpaka wateme ndowanoTupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Hana ulazima maana wa karibu yake wanajua anaenda kwa ajili ya matibabu, bado afya haijayengamaa kama watu wanavyo dnaniNi vizuri kila akienda Atolee Hilo ufafanuzi ili kuwaweka Sawa watu hasa wale Wanaomuunga Mkono na kuzuia uzushi wa mahasimu wake kuwa na nguvu
asipoenda huko ng'ambo kwa wanaomfadhili ataishije?Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Mwisho wa siku mtakubaliana na andiko langu nililowaambia kuwa ni vipi Lissu Ataiongoza CHADEMA wakati muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Siku mkifunguka akili na macho yenu mtaanza kuniunga mkono huku mkibubujikwa na machozi ya majuto na kukiri kuwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani ndiye anayefaa kuendelea kuiongoza CHADEMA
Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Ndiyo mnataka CHADEMA tuwe na li Mwenyekiti la hivyo?Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!