Pre GE2025 Pamoja na kuwa namuunga Mkono Lissu Lakini sifurahishwi na yeye kwendakwenda Ubelgiji

Pre GE2025 Pamoja na kuwa namuunga Mkono Lissu Lakini sifurahishwi na yeye kwendakwenda Ubelgiji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Kwake Belgium ni second home country, dunia ya sasa watu wanaishi kwenye nchi zaidi ya moja.
Mbowe ana South Afrika na Dubai. Viongozi wengi serikalini wana more than one home countries.
Kuna wale unakuta yeye anaishi Tanzania kikazi lakini familia yake inaishi kwingine.

Number one wenu familia yake ina Dubai na UK, zote kwake ni home countries. JK yeye akipote mara nyingi ujue yupo zake New York.
Kisa tu wazee walitokea upareni, haimaanishi na wewe uwe unaishi au unashinda Ugweno au Usangi
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Lissu anakwenda ubelgiji kwa medical check up, kwa mwili ambao umefanyiwa zaidi ya operation 20 anahitaji uangalizi wa madaktari wake na pia mke wake yuko huko .
 
Ww utakuwa ni mzee, ndio maana bado unaamini kazi zinafanywa kwa kuonana face to face tu.
Huyo mpuuzi na elimu yake ya MEMKWA hana ajuacho zaidi ya kumsifia Samia akiwa na matumaini ya kuteuliwa.
 
Waliomtuma kuleta machafuko Tanzania wako huko, kwa hiyo anapeleka retirements, lazima apeleke mrejesho, nadhani atakuwa kapeleka mrejesho kwamba sasa ana agenda ya "no reform, no election" Iliyolenga kusababisha vurugu wakati wa uchaguzi
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Belgium si huwa ni routine check ups za afya yake. Au hujui anaishi na risasi mwilini.
 
dili limebumbuluka kila mtu anatafuta njia zake kushinda mechi,
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Cha msingi. Kujiuliza ubelgiji anakwenda kufuata nini?! Familia yake si ndiko iliko. Masuala binafsi pia ni muhimu kwa mtu binafsi.
 
Lissu anakwenda ubelgiji kwa medical check up, kwa mwili ambao umefanyiwa zaidi ya operation 20 anahitaji uangalizi wa madaktari wake na pia mke wake yuko huko .
Oohh, kwa mkewe... lakini sidhani kama anapiga chekencha tena, labda atakuwa kama mpare na picha ya samaki
 
Back
Top Bottom