Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaa!
Ni vizuri awe anatoa update
Anatoa update Kwa mabosi zake na familia yake sio Kwa kila mtu
Mkuu sio kwamba anakwenda "kupewa maelekezo"?Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Kwake Belgium ni second home country, dunia ya sasa watu wanaishi kwenye nchi zaidi ya moja.Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Wapo wengi wana risasi mwilini na hawajavuka borderLabda anaenda kwa masuala ya afya, kumbuka wanasema jamaa anatembea na risasi mwilini.
Lissu anakwenda ubelgiji kwa medical check up, kwa mwili ambao umefanyiwa zaidi ya operation 20 anahitaji uangalizi wa madaktari wake na pia mke wake yuko huko .Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Huyo mpuuzi na elimu yake ya MEMKWA hana ajuacho zaidi ya kumsifia Samia akiwa na matumaini ya kuteuliwa.Ww utakuwa ni mzee, ndio maana bado unaamini kazi zinafanywa kwa kuonana face to face tu.
Mbona huwa anasema kuwa anaenda kuangalia afya yake sema tu una lako jambo.Ni vizuri kila akienda Atolee Hilo ufafanuzi ili kuwaweka Sawa watu hasa wale Wanaomuunga Mkono na kuzuia uzushi wa mahasimu wake kuwa na nguvu
Huyo mjinga ndiye binadamu pekee hapa JF anayetumia makalio kufikiri.View attachment 3190418
Usisahau hii comment yako mr kabaiza.
Sasa kama mgonjwa kwa nini anataka kazi zenye majukumu mengiMbona huwa anasema kuwa anaenda kuangalia afya yake sema tu una lako jambo.
Belgium si huwa ni routine check ups za afya yake. Au hujui anaishi na risasi mwilini.Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Kwani anaomba kubeba zege? Mbona Magufuli alikuwa na pacemaker na alikuwa anapiga kazi kama kawaida?Sasa kama mgonjwa kwa nini anataka kazi zenye majukumu mengi
Hayo machuma yakichomoka pale gari ikipiga shimo wakati wa kampeni?Kwani anaomba kubeba zege?
Cha msingi. Kujiuliza ubelgiji anakwenda kufuata nini?! Familia yake si ndiko iliko. Masuala binafsi pia ni muhimu kwa mtu binafsi.Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Oohh, kwa mkewe... lakini sidhani kama anapiga chekencha tena, labda atakuwa kama mpare na picha ya samakiLissu anakwenda ubelgiji kwa medical check up, kwa mwili ambao umefanyiwa zaidi ya operation 20 anahitaji uangalizi wa madaktari wake na pia mke wake yuko huko .
Ni wivu tu...Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Ya kwenda UbelgijiTiketi ya Nini? Au ya kwenda Ubelgiji