Pre GE2025 Pamoja na kuwa namuunga Mkono Lissu Lakini sifurahishwi na yeye kwendakwenda Ubelgiji

Pre GE2025 Pamoja na kuwa namuunga Mkono Lissu Lakini sifurahishwi na yeye kwendakwenda Ubelgiji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwisho wa siku mtakubaliana na andiko langu nililowaambia kuwa ni vipi Lissu Ataiongoza CHADEMA wakati muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Siku mkifunguka akili na macho yenu mtaanza kuniunga mkono huku mkibubujikwa na machozi ya majuto na kukiri kuwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani ndiye anayefaa kuendelea kuiongoza CHADEMA
 
Yaani nimetokea kumchukua sana mbowe, kumbe anavimbisha tumbo kwa mateso na vifo vya vijana wa chadema wenye itikadi za kimageuzi.
Kwamba mnaamini kuna wajinga wa hivyo mnaweza kuwapoteza maboya? Ni hivi, katika uhayawani ule dhalimu magu kwa kumtuma Makonda ndio wahusika. Hili hata mkadhikiri uchi hapo kwa Mkapa hamuwezi kulibadilisha.
 
Yaani nimetokea kumchukua sana mbowe, kumbe anavimbisha tumbo kwa mateso na vifo vya vijana wa chadema wenye itikadi za kimageuzi.
Lissu kuna ujumbe anatuma kwa Watnzania lakini tumekuwa wazito kusoma patrns zake:
1. Lissu alidai kuna watu wanataka kumdhuru ili wasingizie Mbowe..kama alivyofanyiwa Chacha...huu ni ujumbe wa akili kuwa Mbowe alimuua Wangwe na sasa anataka amdhuru yeye..eleweni.

3. Ameongelea sana frdha...kuwa atabora mifumo ya pesa ili chama kisikopeshwe na mtu halafu ajichotee na riba ruzuku ikija...hapa anaeleza kuwa Mbowe amegeuka mfanyabiashara kupitia ruzuku anajichotea tu.

Kuna codes nyingi Lissu amerupa lakini tumeshindwa kuzifungua
 
Mwisho wa siku mtakubaliana na andiko langu nililowaambia kuwa ni vipi Lissu Ataiongoza CHADEMA wakati muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Siku mkifunguka akili na macho yenu mtaanza kuniunga mkono huku mkibubujikwa na machozi ya majuto na kukiri kuwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani ndiye anayefaa kuendelea kuiongoza CHADEMA
Ww utakuwa ni mzee, ndio maana bado unaamini kazi zinafanywa kwa kuonana face to face tu.
 
Hujawahi kumpenda kweli Lissu. We ni pandikizi tu wa CCM ambaye una hofu na Lissu kwa sababu kwa nyakati zilivyo ni hatari sana Lissu kuongoza Mapambano dhidi ya CCM.

Lisu ni tunu kubwa sana kwa Tanzania . Tusupochukua hatua sasa ya kumfanya awe kiongozi wa kutuwekea siasa nzuri za kiungwana. Za kushindana kwa hoja na kwa maneno ya mdomo na kufuata sheria bila kudhuru wengine.

Mbowe ni wa hovyo sana na genge lake la wauaji. Yaani mbowe anatumiwa na CCM eti kuilinda Chadema kweli!!! Yaani CCM yenye watawalapaka ngazi ya kijiji waliofuata wala kuheshimu Sheria !!

Yaani Mbowe anaona yeye tu kupata fursa ya kukaa meza moja na Mwenyekiti wa CCM ni jambo la furaha kwake kuliko kupigania haki za watu na utawala unaofuata sheria na katiba . ?
Maridhiano ya nini kwa wavunja sheria na katiba . Unaridhiana nini wakati sheria zipo ! Hii nchi tayari ni ya mfumo wa vyama vingi kisheria na hakuna ugomvi kati ya CCM na Chadema zaidi ya genge la wahuni wasiojulikana na anaowajua mbowe . Hata hivyo maridhiano gani ambayo hayakulenga kwenye uchaguzi. Hivi mikutano ya hadhara ya kila siku ina umuhimu gani kama watu wanabadili na kuvuruga kura za wananchi na kuitangaza CCM .

Yaani badala ya kuridhiana kuhusu uchaguzi Mbowe anasifia mikutano ya hadhara ambayo imebabisa watu wamepigwa na kuumizwa kwa Hadaa maridhiano.

Huko kwenye Usanii wao wameridhia ni mikutano ya hadhara lakini Uchaguzi ukifika mikutano ya hadhara inakuwa ni uwanja wa vita kwa polisi kuvurumisha mabomu na risasi kwa wananchi wanyonge.
Bado tu Mbowe haoni kuwa hilo ni tatizo kubwa sana lisilofaa hata kutamka kubwa kuna maridhiano . Yeye na manyumbu wake wanasema kuwa maridhiano yalikua na faida.
Faida ipi wakati mwaka jana tu wetu wameumizwa na kuuawa kwa sababu ya siasa kwenye mikutano ya kisasa .

CCM and Mbowe must goo.
 
Halafu ndo watu wanamuamini et aanzishe maandamano - jino kwa jino na serikali - mambo ya kiharibika anakimbilia ubalozini pale wana-mbeba anarudi kwao Belgium - wanabaki - hoehae wanashughurikiwa hapahapa.
Mnakumbuka Mwendazake alichomfanya Mbowe?-Collateral damage
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
asipoenda huko ng'ambo kwa wanaomfadhili ataishije?

atajikimu vipi kiuchumi, kijamii na kisiasa na, ni mtu ni mvivu, ombaomba na tegemezi kwa kila kitu?

30 m tu kimbembe haswa 🐒
 
Mwisho wa siku mtakubaliana na andiko langu nililowaambia kuwa ni vipi Lissu Ataiongoza CHADEMA wakati muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Siku mkifunguka akili na macho yenu mtaanza kuniunga mkono huku mkibubujikwa na machozi ya majuto na kukiri kuwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani ndiye anayefaa kuendelea kuiongoza CHADEMA
Screenshot_20241218_213757.jpg

Usisahau hii comment yako mr kabaiza.
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!

Huwa anakwenda kwenye matibabu
 
Back
Top Bottom