Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hujawahi kumpenda kweli Lissu. We ni pandikizi tu wa CCM ambaye una hofu na Lissu kwa sababu kwa nyakati zilivyo ni hatari sana Lissu kuongoza Mapambano dhidi ya CCM.Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Mwenzio bado analipa gharana ya mateso aliyosababishiwa na siasa za upinzani.Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Huyu ndiye Mtanzania wa pili kwa kulipa gharama kubwa tena ya damu Chadema.Ni masuala ya kiafya tu chief, kumbuka risasi 16 mwilini sio jambo la mchezo
Acha kusingizia CCM kwani Chadema hamna akili za kuamua Mambo yenu hadi msaidiwe na hao mnawaita mafisadi?Saivi ni kua mtazamaji tu siasa ni ya kuweka mbali, kama CCM wameingia kati kumpambania Mbowe unategemea nini? Acha Lisu akatafute backups zake kama ni Belgium au German
Yaani nimetokea kumchukua sana mbowe, kumbe anavimbisha tumbo kwa mateso na vifo vya vijana wa chadema wenye itikadi za kimageuzi.Huyu ndiye Mtanzania wa pili kwa kulipa gharama kubwa Chadema.
Wa kwanza kwa kulioa gharama kubwa ni Mawazo na wengine waliofariki.
Hizi ndururu za mchongo za akinanMbowe ambazo hukopesha chama ni ujinga mtupu
Amsterdam yupo kule, Sasa mnataka aende wapi tena?Ungejishughulisha kujua huwa anaenda huko kwa sababu zipi?
Ww pimbi kweli, lissu anaenda kwa ajili ya matibabu na sio anapendaTupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Kwanini mlimmiinia risasi zaidi ya 16, vuta picha wew umeingizwa mti kwenye mkundu wako tena wenye ncha kali, wenye urefu wa mkono wakoTupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Habari ya Lisu ni ya kipekee kabisa.Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Tupo Salama bila Shaka!