MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #141
Umepata division ngapi kwenye matokeo ya juzi ya form 4?
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa,
GY kwa nini lakini??
Lazima atakuwa amepata point 35 na shule zetu hizi.
Lakini bado haina shida, MJ1 kazi kwako.
Easy people easy ....you neva know why ameandika hivyo ...............pengine sred imemtouch so its just his/her way of saying ameikubali au pia imembore so anaikandya kwa kumnanga kiaina mtoa mada.......................its a free world people.
LD...................... I just wish wenye experience wakatwambia ukweli maana hii singlehood/ single parents inaongezeka kwa kasi ujue.na hizi divorces ni wangapi wanare-marry?? au kurudiana after living single?? I wish tungekuwa na takwimu
Nimeamini kweli Usalule pagumuTuache utani kuishi kwa upweke jamani kazi sana! Wengi huwa wanajifariji tu ila ukweli wanaujua!
GY hivi uko single wewe??????Aisee in a very serious note, mimi naona utaratibu wa kufunga ndoa ndio chanzo kikubwa cha matatizo yote haya....huu utaratibu ungekuwa haupo nadhani binadamu tungekuwa na furaha zaidi.....
LD...................... I just wish wenye experience wakatwambia ukweli maana hii singlehood/ single parents inaongezeka kwa kasi ujue.na hizi divorces ni wangapi wanare-marry?? au kurudiana after living single?? I wish tungekuwa na takwimu
Aisee in a very serious note, mimi naona utaratibu wa kufunga ndoa ndio chanzo kikubwa cha matatizo yote haya....huu utaratibu ungekuwa haupo nadhani binadamu tungekuwa na furaha zaidi.....
Aisee in a very serious note, mimi naona utaratibu wa kufunga ndoa ndio chanzo kikubwa cha matatizo yote haya....huu utaratibu ungekuwa haupo nadhani binadamu tungekuwa na furaha zaidi.....
Think so Babu?? Kuwa kule KUHALALISHA ndiko kunakomfanya mwenzio awe huru kukuudhi kwa kuwa anajua huwezeTOKA au unafanya kama KUKUFUNGA pale unapojiona huna furaha??
But Babu unhappiness hutokea hata kwa wale ambao HAWAJAHALALISHA babu!
Kwahiyo mmekonkludi nini sasa?
Kwamba ni heri ulale na pillow huku ukiwa huru wa kulala nayo muda uupendao bila kuulizwa ulizwa maswali?
Au ulale na mwenza kwa masharti?
Mkikasirikiana, unatamani ulale na pillow au
Mkiwa katika good time pillow mnaitupa chini au sometimes mnaifanya jeki yenu ili mpate mautamu kwa ndani zaidi?
Muda si mrefu ntawaambieni bibi alichoniambia.
Maisha ni kuchagua, kuna sababu zinakufanya uchague hayo maisha, zaweza kuwa mbaya au nzuri. But zina nguvu ya kutosha kuushawishi moyo wako uchague kuishi either single or married.
Na mpaka unafikia kuamua hivo, unakuwa umeshajipanga na kuikubali hiyo hali, wakati wengine wanapigania na kulinda ndoa zao wewe unapigana na kuulinda usingle wako, ukivumilia changamoto unazokutana nazo, ukivumilia karaha za upweke kama wanavyovumilia karaha za ndoa.
Kwa mimi binafsi ninavyoona kama kweli umefikia mahali pakuchagua kuishi peke yako kutoka moyoni utaweza so long as utakuwa umejipanga akilini na nafsini mwako.
Hehehe ivi wewe upo upande upi hapa? Single happly au married unhappy?Nimeamini kweli Usalule pagumu
Kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake, kuwa single kuna uzuri wake na ubaya wake vile vile upande mwingine. Wakati mwingine inabidi ukubaliane na unavyoishi kwani inawezekana mungu amekupangia kuwa single milele yaani wewe ubavu wako hakuna, kwa hiyo hatujui mungu ametupangia nini kikubwa ni kusubiri tu huku ukijitahidi kufurahia maisha. Ni sawa sawa na mtu aliezaliwa hana miguu, au kipofu n.k anatamani na yeye awe na miguu au awe na macho lakini ndio hivyo mungu alivyomuumba hana jinsi anachukulia poa na maisha yanaendelea. Jaribu kuwaza vitu ambavyo vitakupa furaha na ambavyo vinapatikana kiurahsi
naku-feel hapo bana!......hata Teamo anajua hili.........angalia usifanye timing kupita kiasi, AMUA TU!!!hi Bigirita! I miss u!!! nataman ila lazma tuanalyse the right time for that. Think of unarudi home unakumbatiana na kitoto chako, kinakusumbua kidogo unakifinya. Jumapili unakipeleka sunday school i think this is the way life should be.
Well VoR hapa umeibua a very string urgument kaka yangu.................the issue of having a partner with no strings attached
Kwa jamii yetu..........I think we are still too cultured for that lol................constructed from the time in memorial kuwa its not a good thing so for people to understand it.....will take some times
But on second thought........Does it mean kuwa both the 'no-strings attached' partners are supposed to be single au tunaruhusu hata MBAs ??