Pamoja na kuwa Uko Single....

Pamoja na kuwa Uko Single....

Umepata division ngapi kwenye matokeo ya juzi ya form 4?

Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa,
GY kwa nini lakini??
Lazima atakuwa amepata point 35 na shule zetu hizi.
Lakini bado haina shida, MJ1 kazi kwako.

Easy people easy ....you neva know why ameandika hivyo ...............pengine sred imemtouch so its just his/her way of saying ameikubali au pia imembore so anaikandya kwa kumnanga kiaina mtoa mada.......................its a free world people.

LD...................... I just wish wenye experience wakatwambia ukweli maana hii singlehood/ single parents inaongezeka kwa kasi ujue.na hizi divorces ni wangapi wanare-marry?? au kurudiana after living single?? I wish tungekuwa na takwimu
 
Kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake, kuwa single kuna uzuri wake na ubaya wake vile vile upande mwingine. Wakati mwingine inabidi ukubaliane na unavyoishi kwani inawezekana mungu amekupangia kuwa single milele yaani wewe ubavu wako hakuna, kwa hiyo hatujui mungu ametupangia nini kikubwa ni kusubiri tu huku ukijitahidi kufurahia maisha. Ni sawa sawa na mtu aliezaliwa hana miguu, au kipofu n.k anatamani na yeye awe na miguu au awe na macho lakini ndio hivyo mungu alivyomuumba hana jinsi anachukulia poa na maisha yanaendelea. Jaribu kuwaza vitu ambavyo vitakupa furaha na ambavyo vinapatikana kiurahsi
 
Aisee in a very serious note, mimi naona utaratibu wa kufunga ndoa ndio chanzo kikubwa cha matatizo yote haya....huu utaratibu ungekuwa haupo nadhani binadamu tungekuwa na furaha zaidi.....
 
Aisee in a very serious note, mimi naona utaratibu wa kufunga ndoa ndio chanzo kikubwa cha matatizo yote haya....huu utaratibu ungekuwa haupo nadhani binadamu tungekuwa na furaha zaidi.....
GY hivi uko single wewe??????
 
LD...................... I just wish wenye experience wakatwambia ukweli maana hii singlehood/ single parents inaongezeka kwa kasi ujue.na hizi divorces ni wangapi wanare-marry?? au kurudiana after living single?? I wish tungekuwa na takwimu

Ok ok my dear, nimekuelewa sana, sijui watu wanasema je katika haya lakini mwisho wa yote huwa naamini Utoshelevu wetu uko kwa Mungu pekee, na Tunaishi vyovyote tunavyoishi kwa neema ya Mungu tu. Tufanye yote, tuamue yote lakini furaha, amani ya kweli ipo kwa Mungu peke yake.
 
Aisee in a very serious note, mimi naona utaratibu wa kufunga ndoa ndio chanzo kikubwa cha matatizo yote haya....huu utaratibu ungekuwa haupo nadhani binadamu tungekuwa na furaha zaidi.....

Think so Babu?? Kuwa kule KUHALALISHA ndiko kunakomfanya mwenzio awe huru kukuudhi kwa kuwa anajua huwezeTOKA au unafanya kama KUKUFUNGA pale unapojiona huna furaha??

But Babu unhappiness hutokea hata kwa wale ambao HAWAJAHALALISHA babu!
 
Kwahiyo mmekonkludi nini sasa?

Kwamba ni heri ulale na pillow huku ukiwa huru wa kulala nayo muda uupendao bila kuulizwa ulizwa maswali?

Au ulale na mwenza kwa masharti?
Mkikasirikiana, unatamani ulale na pillow au
Mkiwa katika good time pillow mnaitupa chini au sometimes mnaifanya jeki yenu ili mpate mautamu kwa ndani zaidi?

Muda si mrefu ntawaambieni bibi alichoniambia.
 
trust me there alot missing in life of loners!!! mambo ya kufa na vijiba vya roho
maumivu yapo tu na yaliumbwa kwa wana wa adamu.. sasa wengine unakuta wanazira kabisa lakini moyoni wanaumia, upweke sio mchezo asikwambie mtu labda kama una roho ya chuma
 
Aisee in a very serious note, mimi naona utaratibu wa kufunga ndoa ndio chanzo kikubwa cha matatizo yote haya....huu utaratibu ungekuwa haupo nadhani binadamu tungekuwa na furaha zaidi.....

Kuna wakati nawaza hivi pia, lakini sasa nikijaribu kufikiria sana naona dunia ingekuwa ya ajabu sana. Labda tungeumbwa kama wanyama fulani fulani ingewezekana.
 
Think so Babu?? Kuwa kule KUHALALISHA ndiko kunakomfanya mwenzio awe huru kukuudhi kwa kuwa anajua huwezeTOKA au unafanya kama KUKUFUNGA pale unapojiona huna furaha??

But Babu unhappiness hutokea hata kwa wale ambao HAWAJAHALALISHA babu!

Aisee mjukuu mtukutu hivi kwanini mimi niksema lets reflect maisha ya digidigi halafu tuone kama tungeweza kuyaishi hayo huoni tungekuwa na furaha sana?
 
Kwahiyo mmekonkludi nini sasa?

Kwamba ni heri ulale na pillow huku ukiwa huru wa kulala nayo muda uupendao bila kuulizwa ulizwa maswali?

Au ulale na mwenza kwa masharti?
Mkikasirikiana, unatamani ulale na pillow au
Mkiwa katika good time pillow mnaitupa chini au sometimes mnaifanya jeki yenu ili mpate mautamu kwa ndani zaidi?

Muda si mrefu ntawaambieni bibi alichoniambia.

mkuu konklusheni hapa ni individualised... mimi hata niumizwe vip upweke siuwezi bana
 
Maisha ni kuchagua, kuna sababu zinakufanya uchague hayo maisha, zaweza kuwa mbaya au nzuri. But zina nguvu ya kutosha kuushawishi moyo wako uchague kuishi either single or married.

Na mpaka unafikia kuamua hivo, unakuwa umeshajipanga na kuikubali hiyo hali, wakati wengine wanapigania na kulinda ndoa zao wewe unapigana na kuulinda usingle wako, ukivumilia changamoto unazokutana nazo, ukivumilia karaha za upweke kama wanavyovumilia karaha za ndoa.

Kwa mimi binafsi ninavyoona kama kweli umefikia mahali pakuchagua kuishi peke yako kutoka moyoni utaweza so long as utakuwa umejipanga akilini na nafsini mwako.

Thank you for this Useful post! A dedication to my mother..........I so love her.
 
Faida na hasara za kulala mpweke au na mwenza:

Kulala Mpweke:
Huna wa kuongea nae na hupati msaada litakapotokea la kutokea
Kiu ya chakula cha usiku kikikushika huna ujanja...labda utumie njia mbadala
Unatumia muda mwingi kufikiria ungekuwa unafanya nini kama ungekuwa na mwenza
Hakuna makelele ya kukoroma yanayokunyima usingizi toka kwa mwenza
Hakuna distabansi ya polusheni ya hewa endapo mlalaji mwenza ni chapombe.

Huna wa kukuuliza hata ukikojoa kitandani,
Huna wa kukuuliza hata usiporudi wiki moja
Uko free kuweka kondom hadharani
Simu unaiacha utakavyo, hakuna wa kuipekua

Kulala na mwenza:
Uhakika wa kikojoleo angalau siku 25 kwa mwezi
Uhakika wa joto na msaada itokeapo dharura

Huruhusiwi kutorudi nyumbani,
Simu lazima ulale nayo chini ya mto wako, kama hujaweka sekyurite kodi
Kondom ni sumu katika chumba...
Ukichelewa kurudi ujue chakula cha usiku utapewa kwa mashari...ikilazimika ubakaji utatendeka.

Ukiangalia moja na mbili hapo utakuta: Ngoma Droo....inategemea umeamua kuishi vipi.
Babu amechagua kuishi na mwenza.
Mpigieni makofi tafazali
 
Kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake, kuwa single kuna uzuri wake na ubaya wake vile vile upande mwingine. Wakati mwingine inabidi ukubaliane na unavyoishi kwani inawezekana mungu amekupangia kuwa single milele yaani wewe ubavu wako hakuna, kwa hiyo hatujui mungu ametupangia nini kikubwa ni kusubiri tu huku ukijitahidi kufurahia maisha. Ni sawa sawa na mtu aliezaliwa hana miguu, au kipofu n.k anatamani na yeye awe na miguu au awe na macho lakini ndio hivyo mungu alivyomuumba hana jinsi anachukulia poa na maisha yanaendelea. Jaribu kuwaza vitu ambavyo vitakupa furaha na ambavyo vinapatikana kiurahsi

khaa! hapo red kama wangu hakuna nitaiba japo wa jirani! ubavu lazima uwepo bana! singularity haikubaliki
 
hi Bigirita! I miss u!!! nataman ila lazma tuanalyse the right time for that. Think of unarudi home unakumbatiana na kitoto chako, kinakusumbua kidogo unakifinya. Jumapili unakipeleka sunday school i think this is the way life should be.

naku-feel hapo bana!......hata Teamo anajua hili.........angalia usifanye timing kupita kiasi, AMUA TU!!!
 
Well VoR hapa umeibua a very string urgument kaka yangu.................the issue of having a partner with no strings attached

Kwa jamii yetu..........I think we are still too cultured for that lol................constructed from the time in memorial kuwa its not a good thing so for people to understand it.....will take some times

But on second thought........Does it mean kuwa both the 'no-strings attached' partners are supposed to be single au tunaruhusu hata MBAs ??

Kuhusu no strings attached.., inawezekana in Tanzania in so far as you are not doing it for the community.., its for your own happiness, you just put your cards on the table.., maybe you both dont want any more kids.., everyone have got their commitments and life..., you just keep each other company go out together.., share your problems and other intimacy.

Uzuri wa hili you take things as they come, no hurry.., no pushing each other.

Lazima wote muwe single I dont advocate your happiness to be the cause of unhappiness for others...
 
Back
Top Bottom