Pamoja na Kwamba Donald Trump Ni Mpinzani, aliyempiga Risasi alipatikana Muda huo huo na Amani ikarejea, Africa na Tanzania tunalo la kujifunza?

Pamoja na Kwamba Donald Trump Ni Mpinzani, aliyempiga Risasi alipatikana Muda huo huo na Amani ikarejea, Africa na Tanzania tunalo la kujifunza?

Mkuu mbona Lissu yuko nchini na polisi alishaenda hakuna aliyemhoji....wanamuogopa?😅😅😅
Wanamtaka dereva wake nae atoe maelezo. Lissu aliishatoa. Tatizo Lissu hataki dereva wake atoe maelezo. Kwanini?
 
Back
Top Bottom