Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Sasa tujiulize Makonda kafanya mangapi lakini mbona anadunda tu? Yaani jamaa kaidharau hadi tume ya haki ya za binadamu lakini aaaah mama wala hajigusi.
Tumerudi enzi za jiwe Makonda kuwa kama lastborn wa taifa? Hata afanye nini mama amaziba masikio haoni mabaya yoyote anayoyafanya?