Pre GE2025 Pamoja na maboko yote aliyofanya Makonda bado anadunda. Je, amerudi kuwa lastborn wa taifa hata afanye nini hagusiki?

Pre GE2025 Pamoja na maboko yote aliyofanya Makonda bado anadunda. Je, amerudi kuwa lastborn wa taifa hata afanye nini hagusiki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia.

makonda.jpg

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Sasa tujiulize Makonda kafanya mangapi lakini mbona anadunda tu? Yaani jamaa kaidharau hadi tume ya haki ya za binadamu lakini aaaah mama wala hajigusi.

Tumerudi enzi za jiwe Makonda kuwa kama lastborn wa taifa? Hata afanye nini mama amaziba masikio haoni mabaya yoyote anayoyafanya?
 
Jerry Silaa naye kafanya nini?

Nchi hii hatupendi mtu anayepigania haki za wanyonge kabisa

Kesho tuandamane Jerry arudishwe

Tuzidishe kadi za CCM

Kweli UCHAWI upo
Jerry hajatenguliwa kabadilishiwa tu uwanja
 
Binafsi najua makonda ndo kiongozi safi kijana kwangu mimi.

Namkubali pia Nape. Jamaa huwa anasimamaga kwa miguu yake peke yake hii sasa ndani ya chama ni hatari kubwa kwa msimu wa kugombea kama huu maana huwa rungu linatakiwa kikabithishwe mtu mwenye msimamo wake peke yake hata kama atatuaminisha mvua ni jua basi atasimamia hilo hata aekewe bunduki kichwani kama ilivyomtokea Nape.

Kwaio kwa hili Nape mtu poa tu sema ndo ivyo labda mda utasemaga uko uzeeni.

Ila Makonda najua akipewa nchi ndani ya miaka mitatu tu kwa kumjaribu. Aise Tz tutangara. Jamaa anauchungu na nchi yake na anajua maudambwi mengi. Afu ni mdogo yani kama ni kandanda huyu kimataifa tungekuita lamin yamal. Yaani nyota bado inachepua itangara tu akiendelea kuamka saa 10 asubuhi kama kawaida yetu wachapakazi⚡🥸⚡
 
Anachofanya Makonda mkaona kibaya yeye anaona ni mbinu zake za uongozi. Na ni mbinu zake ndio maana anaachwa free.
 
Lijinga wewe ulojawa ujuha .

Kwahiyo baada ya Bichwa na Kipara kutumbuliwa.

Unajaribu kuhalalisha Ujuha wa hao jama zako kupitia Makonda?.

HAMNA KIONGOZI KIJANA MCHAPA KAZI KAMA MAKONDA.

DOLA INAJUA KUA ,HATA YALOSEMWA NA TUME, DOLA INAJUA NANI YUKO NYUMA YA HAYO.
 
Dola ya Marekani au Dola hii hii iliywambia magufuli amtumbue hiyo mtu kwa kuwa hafai?
 
Makonda kijana mchapakazi,mzalendo, mwenye uthubutu ana mchango mkubwa kila mahali anapopewa nafasi hufanya kazi ya kuonekana,viongozi kama yeye ni wachache anayo madhaifu yake lakini mazuri yake ni mengi kuliko madhaifu yake
Ni kiongozi wa mfano.
Kubali ama ukatae makonda ana kitu.
 
Lijinga wewe ulojawa ujuha .

Kwahiyo baada ya Bichwa na Kipara kutumbuliwa.

Unajaribu kuhalalisha Ujuha wa hao jama zako kupitia Makonda?.

HAMNA KIONGOZI KIJANA MCHAPA KAZI KAMA MAKONDA.

DOLA INAJUA KUA ,HATA YALOSEMWA NA TUME, DOLA INAJUA NANI YUKO NYUMA YA HAYO.
Wewe ndo Lijinga,muda wote unamtetea Makonda sijui alikupatia nini.
 
Back
Top Bottom