mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
MaKONDa ni empty set sema mshirikina sanaBinafsi najua makonda ndo kiongozi safi kijana kwangu mimi.
Namkubali pia Nape. Jamaa huwa anasimamaga kwa miguu yake peke yake hii sasa ndani ya chama ni hatari kubwa kwa msimu wa kugombea kama huu maana huwa rungu linatakiwa kikabithishwe mtu mwenye msimamo wake peke yake hata kama atatuaminisha mvua ni jua basi atasimamia hilo hata aekewe bunduki kichwani kama ilivyomtokea Nape.
Kwaio kwa hili Nape mtu poa tu sema ndo ivyo labda mda utasemaga uko uzeeni.
Ila Makonda najua akipewa nchi ndani ya miaka mitatu tu kwa kumjaribu. Aise Tz tutangara. Jamaa anauchungu na nchi yake na anajua maudambwi mengi. Afu ni mdogo yani kama ni kandanda huyu kimataifa tungekuita lamin yamal. Yaani nyota bado inachepua itangara tu akiendelea kuamka saa 10 asubuhi kama kawaida yetu wachapakazi⚡🥸⚡