Pre GE2025 Pamoja na maboko yote aliyofanya Makonda bado anadunda. Je, amerudi kuwa lastborn wa taifa hata afanye nini hagusiki?

Pre GE2025 Pamoja na maboko yote aliyofanya Makonda bado anadunda. Je, amerudi kuwa lastborn wa taifa hata afanye nini hagusiki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Binafsi najua makonda ndo kiongozi safi kijana kwangu mimi.

Namkubali pia Nape. Jamaa huwa anasimamaga kwa miguu yake peke yake hii sasa ndani ya chama ni hatari kubwa kwa msimu wa kugombea kama huu maana huwa rungu linatakiwa kikabithishwe mtu mwenye msimamo wake peke yake hata kama atatuaminisha mvua ni jua basi atasimamia hilo hata aekewe bunduki kichwani kama ilivyomtokea Nape.

Kwaio kwa hili Nape mtu poa tu sema ndo ivyo labda mda utasemaga uko uzeeni.

Ila Makonda najua akipewa nchi ndani ya miaka mitatu tu kwa kumjaribu. Aise Tz tutangara. Jamaa anauchungu na nchi yake na anajua maudambwi mengi. Afu ni mdogo yani kama ni kandanda huyu kimataifa tungekuita lamin yamal. Yaani nyota bado inachepua itangara tu akiendelea kuamka saa 10 asubuhi kama kawaida yetu wachapakazi⚡🥸⚡
MaKONDa ni empty set sema mshirikina sana
 
Mabadiliko hayawahusu nyie walipa tozo, tunamsafisha Bi Mkubwa kuelekea kwenye uchaguzi.
 
M
Wakuu,

Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia.

Sasa tujiulize Makonda kafanya mangapi lakini mbona anadunda tu? Yaani jamaa kaidharau hadi tume ya haki ya za binadamu lakini aaaah mama wala hajigusi.

Tumerudi enzi za jiwe Makonda kuwa kama lastborn wa taifa? Hata afanye nini mama amaziba masikio haoni mabaya yoyote anayoyafanya?
Makonda ni risasi ya mwisho kwenye bunduki na mlengaji hana shabaha 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom