Dola ya Marekani au Dola hii hii iliywambia magufuli amtumbue hiyo mtu kwa kuwa hafai?Lijinga wewe ulojawa ujuha .
Kwahiyo baada ya Bichwa na Kipara kutumbuliwa.
Unajaribu kuhalalisha Ujuha wa hao jama zako kupitia Makonda?.
HAMNA KIONGOZI KIJANA MCHAPA KAZI KAMA MAKONDA.
DOLA INAJUA KUA ,HATA YALOSEMWA NA TUME, DOLA INAJUA NANI YUKO NYUMA YA HAYO.
U cute wife ndio fungu lako haya mengine huyawezi. 🙏🙏🙏Wivu upi sasa? Kwani aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya hayajulikani?
Potea chawa
Wewe ndo Lijinga,muda wote unamtetea Makonda sijui alikupatia nini.Lijinga wewe ulojawa ujuha .