smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
najaribu tu kuwaza kwa arrogant, aggressiveness and ego ya vijana wa arusha na ubaguzi wao kwa vijana wengine wasio wa arusha, mkoa wa arusha ndio ungekuwa the main commercial city of tanzania, sisi wengine wangetufurusha na mapanga turudi tulikotoka.
nyerere aliona mbali sana kuufanya mkoa wa dar es salaam uwe jiji kubwa la kibiashara tanzania likikusanya watu wa makabila yote wanaoishi kwa upendo bila kubaguana.
pongezi za dhati ziende kwa wazaramo, wakwere na wandengereko kwa namna walivyo loyal kwa watu wengine ambao sio wa asili ya pwani.
niliwahi kutoa positive opinion kuhusu watu pwani mwishoni mwa mwezi december mwaka jana.
opinion yangu ili-base kuhusu tabia ya vijana wa arusha in relation to watu wa pwani.
View attachment 2078607