Pamoja na madhaifu yao, watu wa Pwani ni watu poa sana


niliwahi kutoa positive opinion kuhusu watu pwani mwishoni mwa mwezi december mwaka jana.

opinion yangu ili-base kuhusu tabia ya vijana wa arusha in relation to watu wa pwani.
View attachment 2078607
 
Mnapenda hela zao mnawauzia viwanja nyie mnahamaia kule waliko babu zenu!
 


🀣🀣🀣🀣
 
Pia usisahau neno AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKWAKO ilitokea uko uko PWANI
 
😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
 
Na roho Mbaya iliyopitiliza.

Ukichunguza ni nadra Sana matukio ya ukatili kutokea ukanda wa Pwani au watu wenye asili ya Pwani kuufanya.

Ila Sisi watu Wabara loooh!
Watu wa bara wana hasira za wazi, wa pwani wana hasira za moyoni, wanacheka na ww ila moyoni wanakupiga tukio...hawana nguvu za kukupiga tukio la kikatili ila wana uwezo wa kukupiga tukio la kimiujiza...una rest in peace watu wanajua ni kifo cha kawaida kumbe kuna watu washafanya yao.
Coming from a guy aliekimbia shamba lake huko pwani baada ya kupigwa matukio dabo dabo..
 
Hamuuzi kwakua mnatupenda, mnauza kwakua hamna choice...Njaaa.
Mngekua mnatupenda msingetuuzia then tukianza kufanya maendeleo mnageuka mnatupiga kipapai...Mngetulinda km ndugu zenu
 
Kuongozwa na watu wenye utamaduni wa umaskini nchi itaendelea kuwa maskini. Mpe nchi mchaga uone mabadiliko changa ya haraka.
wachaga wataleta maendeleo? Wachaga hawa tulionao Tanzania? Wachaga hawana uwezo wa kuongoza hata Taasisi ya kitaifa achilia mbali nchi. Ukitaka mifano angalia vyama wanavyoongoza kitaifa, NCCR-Mageuzi, TLP, CHADEMA. Wachaga sifa zao ulafu, ubaguzi, sifa za kijinga akipata kitu kidogo, shombo, dharau. Kwa ujumla hawafai kuongoza chochote. Hawana uwezo wa kuongoza. Washukuru wako ndania ya koti la Taifa imara wangebaguana hata wenyewe ndiyo maana kuna warombo, wamachame, wamarangu, wauru, wakibosho n.k. ni mijitu mibaguzi haina mfano.
 
Kikubwa zaidi Watu wa pwani sio wabinafsi, tugawane hicho hicho kidogo
 
Na roho Mbaya iliyopitiliza.

Ukichunguza ni nadra Sana matukio ya ukatili kutokea ukanda wa Pwani au watu wenye asili ya Pwani kuufanya.

Ila Sisi watu Wabara loooh!
Sisi tunakula nyama ndio maana wakali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…