Siku hizi nchi za afrika ya mashariki ni ving'amuzi tu mpakani wanachoangalia ni seal iko intact unavuka ni kazi ya dakika mbiliakisha load mzigo sehem ya ukaguzi ni mpakani kwake lakini kenya mpaka akaguliwe mara mbili uganda
Mkuu Kagame anawa dictate hao wafanyabiashara . So they have no choice zaidi ya kufuata mwamba anachoamua.Huna akili wewe, dry port kitu gani, gharama za kupita nchi mbili ni tofauti na kupita nchi moja, pili hapa kwetu ni karibu akisha load mzigo sehem ya ukaguzi ni mpakani kwake lakini kenya mpaka akaguliwe mara mbili uganda, bado hapa kwetu ni karibu sasa nani anataka ghalama kubwa? Watarukaruka mwishoni watanasa tu. Pia ukumbuke mteja ndo anataka mzigo wake upite wapi na sio nchi.
Sasa hapo tatizo lipo wapi, cha muhimu ni kufanya biashara na kupata pesaAmbacho hukijui,wafanyabiashara wengi wa maroli wa Rwanda wanachangia na wa Tanzania na magari mengi ya kinyarwanda yana usajili wa Tanzania.Na ndivyo pia kwa gari za kitanzania.
Si wako kwao upande wa TanzaniaSasa si warudi kwao mbna wame kaa uko wana subiri kubembelezwa au
Dark Side
Sasa mnatetea nini, wao wanaweka measures za kuzuia Corona isiwe imported kwao, nyie mnalalamika nini.Nyie chadema sasa hivi tumeshawajua vizuri .Migomo ya madereva wa Tanzania upanfe Wa Kenya,Zambia ,Rwanda kote CCM tu ndio tumesimama na madereva kutetea madai ya madereva wetu nyie wala !!! kazi yenu kubweka tu kama mibwege ohhh Rwanda wako sahihi ,ohhh kenya wako sahihi ,ohhh Zambia wako sahihi ohhh Uganda sahihi ujinga mtupu lichama hata halijui wajibu wake kuwa wajibu namba Moja ni kwa wapiga kura watanzania hata kama ulipata kura mbili
Suala hili linaweza kuwa msingi wa ushindani kwa upande wetu piaIla Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
All in all for their own interests. Ni kwa faida yao zaidi kuliko yetu! Au wewe bado kijana mdogo!Mabeberu ndio wanaosaidia baneti ya serikali kwa zaidi ya 45%.
Mabeberu kupitia global fund ndio wanafadhili ARV unazotumia, dawa mseto za malaria, ukoma, kipindipindu.
Global Fund to grant Tanzania 600 mln USD for fighting malaria, TB and AIDS - Xinhua | English.news.cn
Mabeberu wanajenga barabara. Mabeberu ndio wanajenga Dar metropolitan city bapo wanatandaza lami mitaa yote ya Dar.
Dar es Salaam Metropolitan Development Project
Mabeberu ndio wanafadhili mafunzo ya wataalam muhimbili.
Hilo sasa sio tatizo letu watalibeba wao na itikadi zao...chàngamoto ni uchache wa magari yao hawana gari za kutosha kuhudumia makasha yote yatokayo Tanzania.
Unajua dry port yetu ya Isaka inaota nyasi hii ilifunguliwa na Raisi Habyarimana na Raisi Ali Hassan Mwinyi wa awamu ya piliSuala hili linaweza kuwa msingi wa ushindani kwa upande wetu pia
Chadema inapenda kuwa challenged hasa mbowe anapenda kuwa challenged?Watanzania hawataki kabisa kuwa challenged ndio maana ni moja ya LDC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya, tumelipa nini kwa misaada hiyo? Na kwa nini tusiikatae?Wewe ukiitwa mjinga utakataa ?
Kuna kitu Mabeberu yanatoa bure?
Kwa free ride aliyowapa magufuli kwa Rwanda kukumbuka kurudi Mombasa Ni ndoto,Nikikupa bistoria ya Rwanda kabla ya vita na baada Rwanda ilikuwa ikitumia bandari ya Mombasa kwa miongo mingi
NRA ya Museveni ilipoanza vita uganda mizigo ya Rwanda ikaanza kupitia boda ya Sirari ndio Wanyarwanda wakaanza kubadilisha njia polepole kuja Dar port
Na kama sasa wanataka kurudi Mombasa hakuna wa kuwazuia
Nitafurahi kama ukinifahamisha ni kwa faida gani za kwao wanatoa hii misaada, ambayo sio mikopo.All in all for their own interests. Ni kwa faida yao zaidi kuliko yetu! Au wewe bado kijana mdogo!
Mbona hawafanyi hayo Cuba, Southern Korea? Hakuna faida kwao!
Haya, tumelipa nini kwa misaada hiyo?
Hakuna mjinga anayeweza kusajili gari ya Rwanda Tanzania hayupo , Sana Sana watanzania baadhi ndo wanasajili magari rwandaAmbacho hukijui,wafanyabiashara wengi wa maroli wa Rwanda wanachangia na wa Tanzania na magari mengi ya kinyarwanda yana usajili wa Tanzania.Na ndivyo pia kwa gari za kitanzania.
Kwa hiyo kwa magari ya Kenya unajua yanalipa road toll kiasi gani?Kwa free ride aliyowapa magufuli kwa Rwanda kukumbuka kurudi Mombasa Ni ndoto,
Jamaa hapa wamepewa unafuu Sana , sidhani kama kuna jirani ana nafasi kama, rwanda, Kwanza nafuu yao ipo kwenye road toll, jamaa wanalipa be dola 163 tu kutoka rusumo hadi dar to rusumo
Pili jamaa wanapiga pia route za humu kwa humu ,kitu ambacho huwezi kufanya ukiwa Rwanda au kokote kule.
Hapo alipokazia Rwanda ndipo na sisi pa kutokea na kuweka sheria zetu ili tuondoe mzizi wa fitna
Sent
Aisee. Ki sugar kimekutesa hapo wiki mbili tatu leo mnaongea hayaHapa afrika mashariki TZ ni kama china ukishindana nayo unakufa njaa acha wajifunze in a hard way
Ndo maana nimekuuliza kama ni mkopo huwa tunalipa ? Kama serikali inaingia gharama, ni zipi hizo ambazo ni kubwa kuliko misaada tunayopewa? Na kwa, nini kama tunaishia kulipa zaidi, tunakubali misaada hiyo?Mkuu ukisikia msaada huo sio msaada ni km mkopo tu
Mabeberu hutumia lugha laini kuiba !
Usidanganywe kuwa unapewa arv bure, serkali inaingia gharama
Road toll je?, Mana hapo ndio kunadetermine unafuu wa safari, huzioni gari za Kenya kwenda songea tena. Sababu road toll kwenda na kurudi namanga Ni karibu dola 700 ,Siku hizi nchi za afrika ya mashariki ni ving'amuzi tu mpakani wanachoangalia ni seal iko intact unavuka ni kazi ya dakika mbili