Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

akisha load mzigo sehem ya ukaguzi ni mpakani kwake lakini kenya mpaka akaguliwe mara mbili uganda
Siku hizi nchi za afrika ya mashariki ni ving'amuzi tu mpakani wanachoangalia ni seal iko intact unavuka ni kazi ya dakika mbili
 
Huna akili wewe, dry port kitu gani, gharama za kupita nchi mbili ni tofauti na kupita nchi moja, pili hapa kwetu ni karibu akisha load mzigo sehem ya ukaguzi ni mpakani kwake lakini kenya mpaka akaguliwe mara mbili uganda, bado hapa kwetu ni karibu sasa nani anataka ghalama kubwa? Watarukaruka mwishoni watanasa tu. Pia ukumbuke mteja ndo anataka mzigo wake upite wapi na sio nchi.
Mkuu Kagame anawa dictate hao wafanyabiashara . So they have no choice zaidi ya kufuata mwamba anachoamua.

Ila kiuchumi Rwanda ni bora watumie DSM port kuliko hizo zingine.

sent using Simenzi mayai
 
Nyie chadema sasa hivi tumeshawajua vizuri .Migomo ya madereva wa Tanzania upanfe Wa Kenya,Zambia ,Rwanda kote CCM tu ndio tumesimama na madereva kutetea madai ya madereva wetu nyie wala !!! kazi yenu kubweka tu kama mibwege ohhh Rwanda wako sahihi ,ohhh kenya wako sahihi ,ohhh Zambia wako sahihi ohhh Uganda sahihi ujinga mtupu lichama hata halijui wajibu wake kuwa wajibu namba Moja ni kwa wapiga kura watanzania hata kama ulipata kura mbili
Sasa mnatetea nini, wao wanaweka measures za kuzuia Corona isiwe imported kwao, nyie mnalalamika nini.

Mbona wao hawawalazimishi mambo yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
Suala hili linaweza kuwa msingi wa ushindani kwa upande wetu pia
 
Mabeberu ndio wanaosaidia baneti ya serikali kwa zaidi ya 45%.

Mabeberu kupitia global fund ndio wanafadhili ARV unazotumia, dawa mseto za malaria, ukoma, kipindipindu.
Global Fund to grant Tanzania 600 mln USD for fighting malaria, TB and AIDS - Xinhua | English.news.cn

Mabeberu wanajenga barabara. Mabeberu ndio wanajenga Dar metropolitan city bapo wanatandaza lami mitaa yote ya Dar.
Dar es Salaam Metropolitan Development Project

Mabeberu ndio wanafadhili mafunzo ya wataalam muhimbili.
All in all for their own interests. Ni kwa faida yao zaidi kuliko yetu! Au wewe bado kijana mdogo!
Mbona hawafanyi hayo Cuba, Southern Korea? Hakuna faida kwao!
 
Suala hili linaweza kuwa msingi wa ushindani kwa upande wetu pia
Unajua dry port yetu ya Isaka inaota nyasi hii ilifunguliwa na Raisi Habyarimana na Raisi Ali Hassan Mwinyi wa awamu ya pili
Lengo la hii dryport ilikuwani kwa mizigo ya Rwanda na Zaire ya wakati huo

Leo hii Dryport ya Isaka limefanywa kuwa ni ghala la kufugia popo

Huu ni ubwetekaji wa kiwango cha ajabu kabisa
 
Nikikupa bistoria ya Rwanda kabla ya vita na baada Rwanda ilikuwa ikitumia bandari ya Mombasa kwa miongo mingi

NRA ya Museveni ilipoanza vita uganda mizigo ya Rwanda ikaanza kupitia boda ya Sirari ndio Wanyarwanda wakaanza kubadilisha njia polepole kuja Dar port

Na kama sasa wanataka kurudi Mombasa hakuna wa kuwazuia
Kwa free ride aliyowapa magufuli kwa Rwanda kukumbuka kurudi Mombasa Ni ndoto,
Jamaa hapa wamepewa unafuu Sana , sidhani kama kuna jirani ana nafasi kama, rwanda, Kwanza nafuu yao ipo kwenye road toll, jamaa wanalipa be dola 163 tu kutoka rusumo hadi dar to rusumo
Pili jamaa wanapiga pia route za humu kwa humu ,kitu ambacho huwezi kufanya ukiwa Rwanda au kokote kule.
Hapo alipokazia Rwanda ndipo na sisi pa kutokea na kuweka sheria zetu ili tuondoe mzizi wa fitna

Sent
 
All in all for their own interests. Ni kwa faida yao zaidi kuliko yetu! Au wewe bado kijana mdogo!
Mbona hawafanyi hayo Cuba, Southern Korea? Hakuna faida kwao!
Nitafurahi kama ukinifahamisha ni kwa faida gani za kwao wanatoa hii misaada, ambayo sio mikopo.
 
Mkuu ukisikia msaada huo sio msaada ni km mkopo tu
Mabeberu hutumia lugha laini kuiba !

Usidanganywe kuwa unapewa arv bure, serkali inaingia gharama
Haya, tumelipa nini kwa misaada hiyo?
 
Ambacho hukijui,wafanyabiashara wengi wa maroli wa Rwanda wanachangia na wa Tanzania na magari mengi ya kinyarwanda yana usajili wa Tanzania.Na ndivyo pia kwa gari za kitanzania.
Hakuna mjinga anayeweza kusajili gari ya Rwanda Tanzania hayupo , Sana Sana watanzania baadhi ndo wanasajili magari rwanda
Tanzania tuna utitiri wa sheria na mamlaka linaookua swala la vibali vya kutembeza lori

Sent
 
Kwa free ride aliyowapa magufuli kwa Rwanda kukumbuka kurudi Mombasa Ni ndoto,
Jamaa hapa wamepewa unafuu Sana , sidhani kama kuna jirani ana nafasi kama, rwanda, Kwanza nafuu yao ipo kwenye road toll, jamaa wanalipa be dola 163 tu kutoka rusumo hadi dar to rusumo
Pili jamaa wanapiga pia route za humu kwa humu ,kitu ambacho huwezi kufanya ukiwa Rwanda au kokote kule.
Hapo alipokazia Rwanda ndipo na sisi pa kutokea na kuweka sheria zetu ili tuondoe mzizi wa fitna

Sent
Kwa hiyo kwa magari ya Kenya unajua yanalipa road toll kiasi gani?
 
Mkuu ukisikia msaada huo sio msaada ni km mkopo tu
Mabeberu hutumia lugha laini kuiba !

Usidanganywe kuwa unapewa arv bure, serkali inaingia gharama
Ndo maana nimekuuliza kama ni mkopo huwa tunalipa ? Kama serikali inaingia gharama, ni zipi hizo ambazo ni kubwa kuliko misaada tunayopewa? Na kwa, nini kama tunaishia kulipa zaidi, tunakubali misaada hiyo?
 
Hawa majirani uchwara wanajiona wao ni special sana eeh.. Yaani wao waingize hiyo mibichwa yao empty huku kwetu halafu sisi watuzuie kwenda kwao, ujirani gani huu wa kishetani. Fungeni siyo mipaka tuu, na milango na kila kitu mfe njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi nchi za afrika ya mashariki ni ving'amuzi tu mpakani wanachoangalia ni seal iko intact unavuka ni kazi ya dakika mbili
Road toll je?, Mana hapo ndio kunadetermine unafuu wa safari, huzioni gari za Kenya kwenda songea tena. Sababu road toll kwenda na kurudi namanga Ni karibu dola 700 ,

Sent
 
Back
Top Bottom