johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
LATRA wamenielewa!Jamaa unapenda kuanzisha nyuzi sana!Wakati mwingine ni hoja nyepesi kabisa!Sasa kweli unafananisha mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa ardhini na Kampuni moja ya basi,kweli?...
Scandinavia haikuwa na mzungu yoyote. Kina Sumaye ndio walioiua ScandinaviaScandinavia ilifanya vizuri sababu allikuwa na meneja uendeshaji mzungu mwenye uzoefu toka ulaya .Mkataba ulipoisha akaondoka akapewa mswahili kampuni ikaanza kuyumba
Tatizo la kampuni zetu sio wamiliki hasa
Wamiliki wanajitahidi mno kutafuta mitaji lakini menejimenti zinawangusha haziko competent nafikiri kuboresha serikali iwe inaruhusu tu na kushauri private sector wakiona wanakwama waajiri toka nje
Mzungu alikuwepo nilikuwa namkuta sana kule kwenye kutuma fedha na vifurushi!Scandinavia haikuwa na mzungu yoyote. Kina Sumaye ndio walioiua Scandinavia
Kwahiyo wazungu wana akili kuliko mtu yeyote ndani ya CCM?Mzungu alikuwepo nilikuwa namkuta sana kule kwenye kutuma fedha na vifurushi!
Angeuaje wakati hayuko kwenye management na kampuni inatengeneza faida sio loss? Mzungu alikuwepo wakaja na standard za mabasi za European union wakaleta kuanzia tikcketing software hadi manager ndilo basi la kwanza kuwa na wahudumu na madereva wasafi kuanzia kukata tiketi hadi kwenye mabasiScandinavia haikuwa na mzungu yoyote. Kina Sumaye ndio walioiua Scandinavia
Mara nyingi waajiri Hawa Wana heshimu sana maamuzi ya mameneja wazungu.Tatizo la kampuni zetu sio wamiliki hasa
Wamiliki wanajitahidi mno kutafuta mitaji lakini menejimenti zinawangusha haziko competent nafikiri kuboresha serikali iwe inaruhusu tu na kushauri private sector wakiona wanakwama waajiri toka nje
Katika suala la uongozi na usimamizi wa mambo, mzungu ni best.Mzungu alikuwepo nilikuwa namkuta sana kule kwenye kutuma fedha na vifurushi!
Ikarus kumbakumba kama Mwendokasi!Hili halikuwa na mpinzani
View attachment 1669602
lakini hata uda enzi za Ikarus nayo yalipeta
View attachment 1669603
Hakika mkuu!Alaaniwe aliyeshiriki kuiua Scandinavia kwa zile huduma za miaka ile sijaona kampuni yoyote kwa sasa ambayo inafikia
Unadhani kwanini Tundu Lisu kakimbilia uzunguni kama hawana akili?Kwahiyo wazungu wana akili kuliko mtu yeyote ndani ya CCM?
Kwa taarifa yako tu, LATRA siyo kampu I ya mabasi na haina mabasi, LATRA ni mamlaka inayosimamia uchukuzi nchi kavu, kutokana na kutokuwa na mabasi haiwezi kugawa vinywaji, vitafunwa, magazeti na hata kuondoka kwa wakati.Nimejaribu kufuatilia kwa karibu maboresho yanayofanywa na Latra kwenye sekta ya usafiri wa abiria lakini sijaona Jipya.
Nikikumbuka kampuni yangu pendwa ya mabasi ya Scandinavia naona viwango walivyovifikia wakati wanafunga kampuni bado havijafikiwa na hawa Latra.
Mambo ya online booking na ticketing walishakuwa nayo achilia mbali vikorombwezo vingine kedekede safarini ikiwemo viburudisho na magazeti.
Bus ziliondoka kwa muda sahihi na hapakuwepo usumbufu wowote safarini.
Maendeleo hayana vyama!
Mzungu ka-graduate MIT Siloan School of Management wewe uliyekulia kisamvu utashindana naye? Always upeo wako utakuwa wa kisamvu kisamvu tu nothing else.Katika suala la uongozi na usimamizi wa mambo, mzungu ni best.
Sisi waafrika tunawezakufanya kazi nyuma yao vizuri tuu
Hata Uongozi wa nchi, kama tutampa Uraisi Mzungu leo na Magu awe chiniyake basi utaona mabadiliko makubwa na ukata utaondoka na Tanzania itageuka kuwa nchi ya dunia ya kwanza mara moja.
Sisi Afrika suala la Utawala si letu.
Kwamba huo mfumo wa online ticketing scandnavia wakishakuwa nao miaka yake 2000 huko ... Leo LATRA ndio wanauintroduce miaka 21 mbele!!?? Hauoni hoja yake bado !!???Jamaa unapenda kuanzisha nyuzi sana!Wakati mwingine ni hoja nyepesi kabisa!Sasa kweli unafananisha mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa ardhini na Kampuni moja ya basi,kweli?
Sijui hata ulitaka kusemaje hapa?Ndio madhara ya kutaka uandike wewe kila mara,unaishia kutoa mvuke tu!
Hoja yake ni kwamba LATRA ndiye regulator wa usafiri wa ardhini; je, itaweza ku-regulate usafiri wa mabasi ufikie kiwango japo cha Scandinavia?Kwa taarifa yako tu, LATRA siyo kampu I ya mabasi na haina mabasi, LATRA ni mamlaka inayosimamia uchukuzi nchi kavu, kutokana na kutokuwa na mabasi haiwezi kugawa vinywaji, vitafunwa, magazeti na hata kuondoka kwa wakati.