Pamoja na mbwembwe zote LATRA hawajafikia ubora wa Scandinavia Bus sekta ya usafiri wa abiria!

Ndio maana wenye akili wamelinganisha menejimenti ya mzungu pale Scandinavia na Latra.

Wewe endelea kukariri bwashee!
Ndio hapo unapokuwa mjinga!Utalinganishaje taasis/mamlaka na kampuni ya mabasi?Yaani leo ulinganishe wizara ya Ardhi na Mashamba ya bhakhresa?
Nikueleze tu,mamlaka huweka standards kulingana na mahitaji ya wakati husika ili sasa walengwa wazifuate!
Leo hii mfano zinatumika credit card kufanya malipo mbalimbali kwenye maeneo tofauti!Sasa suala hilo ni optional,sasa huko mbeleni TRA wakisema sasa ni lazima malipo yote ya kifedha kwa bidhaa yafanyike kwa credit card,utaanza kulinganisha TRA na labda Mlimani City?Huu utakuwa uwendawazimu!
 
Nimekuambia watu wenye akili.

Sijasema binadamu wenye akili za mbege mbege maana hamuelewagi!
 
Hilo nalo neno
 
Nimekuambia watu wenye akili.

Sijasema binadamu wenye akili za mbege mbege maana hamuelewagi!
Huna hoja hapa,unaishia kutukana watu wanaokupinga!Ndio tatizo la kutaka uonekane muda wote unaanzisha nyuzi,no wonder unaandika upupu!Hili jukwaa sio la vilaza,siku nyingine jipange sio unakuja na mambo ya hovyo hovyo tu!Period!
 
Umeongea ukweli mtupu na mimi nimelishuhudia ili kwa macho yangu.
 
Tupate Kodi.
 
Iko jambo hapa wallah![emoji916][emoji916][emoji916]
 

Nisaidie kushangaa
 
Huna hoja hapa,unaishia kutukana watu wanaokupinga!Ndio tatizo la kutaka uonekane muda wote unaanzisha nyuzi,no wonder unaandika upupu!Hili jukwaa sio la vilaza,siku nyingine jipange sio unakuja na mambo ya hovyo hovyo tu!Period!
Wewe hata Air Msae hujui mambo ya Scandinavia ungeyajulia wapi!

Umewaona akina Bujibuji walau anajua uhusiano wa Sumaye.

Yehodava kashuka vizuri kabisa juu ya management.

Mdau mwingine kanishushia picha ya Ikarus ambazo wewe hujawahi kuziona unashangilia tu Mwendokasi za Robert.

Siyo kila hoja lazima uhusike meku hapa hatuna ligi ya Ufipa na Lumumba!
 
Kweli kabisa mkuu,nilitegemea ashindanishe huduma ya Scandinavia na Kampuni za usafirishaji nyingine!Au kama anataka kusemea mamlaka,angefananisha hii ya sasa LATRA na SUMATRA ya wakati huo au na mamlaka za nchi nyingine zinavyoweza kujiendesha kwa ufanisi!Sasa sijui hapa anataka LATRA watoe huduma ya magazeti na vitafunwa kwenye mabasi???
Mleta mada kaandika utopolo,anaishia kutukana wanaokosoa hoja yake!
Kama kuna mapungufu,alitakiwa ayaainishe ili mamlaka iweke viwango kwenye makampuni ya usafirishaji!
Leo Rungwe akiweka Wi-Fi kwenye mabasi yake,mleta mada ataenda kuilaumu LATRA kuwa wamezidiwa na Rungwe wakati LATRA hawamiliki mabasi!
Uzi huu hauna logic kabisaa!
 
Ungelinganisha management za makampuni ya mabasi hapo ningekuelewa!Sasa LATRA na kugawa vitafunwa na vipeperushi vina uhusiano gani?Sitashangaa ukilinganisha kampuni za Bhakresa na Wizara ya viwanda na biashara!
Ndio kama hiki ulichotuletea hapa!
Ulipaswa kulinganisha labda ufanisi wa Scandinavia na Mwendokasi kwenye management,hapo tungekuelewa!
 
Kutukana kunatokana na kujiunga JF bila ya kusoma kwanza masharti utakayotakiwa kuyatimiza ukijiunga, wao wanadhani kufichwa utambilisho kunatosha!
Unaweka Post bila ya kuelewa hoja kuu ya Post!
 
Kutukana kunatokana na kujiunga JF bila ya kusoma kwanza masharti utakayotakiwa kuyatimiza ukijiunga, wao wanadhani kufichwa utambilisho kunatosha!
Unaweka Post bila ya kuelewa hoja kuu ya Post!
Umemaliza mkuu,uzi huu huwezi kuelewa hoja kuu ni ipi!
 
Hoja yake ni kwamba LATRA ndiye regulator wa usafiri wa ardhini; je, itaweza ku-regulate usafiri wa mabasi ufikie kiwango japo cha Scandinavia?
Tuubali kwamba bado usafiri wa mabasi ni kero kwa nchi yetu. Tikiti ya basi inaonesha kuondoka labda saa 12.00 asubuhi pale Ubungo , na kweli inaondoka muda huo lakini ikifika katika huko inasimama kuokuteza abiria. Mara nyingine unakuta abaria anakari ahadi ndoo y aplastiki au kigoda. Ni mambo ya ajabu. LATRA inaweza kusimamia standards , hasa level seat na basi kuwa na mikada ya abiria (seat belts). Hili halihitaji Mzungu ila ni kusimamia sheria na taratibu zilizowekwa na serikali.
 
Hahahaaaa...... hahahaaaa...... Usinipangie meku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…