chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Kumbe mabeberu yana tija kwa taifa noma sanaScandinavia ilifanya vizuri sababu allikuwa na meneja uendeshaji mzungu mwenye uzoefu toka ulaya .Mkataba ulipoisha akaondoka akapewa mswahili kampuni ikaanza kuyumba.
Tatizo la kampuni zetu sio wamiliki hasa. Wamiliki wanajitahidi mno kutafuta mitaji lakini menejimenti zinawangusha haziko competent nafikiri kuboresha serikali iwe inaruhusu tu na kushauri private sector wakiona wanakwama waajiri toka nje.
Ndipo uwezo wako ulipoishia,hainishangazi!Hahahaaaa...... hahahaaaa...... Usinipangie meku!
Wewe kunywa mbege sisi tunasonga mbele na uchumi wa kati!Ndipo uwezo wako ulipoishia,hainishangazi!
Akili ya kuua sawaUnadhani kwanini Tundu Lisu kakimbilia uzunguni kama hawana akili?
Tokea umeanza kuitaja hiyo mbege,inaonekana ni kinywaji chako pendwa!Wewe kunywa mbege sisi tunasonga mbele na uchumi wa kati!
Mkuu huyu jamaa kachemsha ila kaamua kufa kisabuni!Anapambana mpaka anatoka nje ya mada yake mwenyewe,sasa wachangiaji wengine sijui wafanyeje?Scandinavia vs latra??
Latra hawa tawi la Sumatra?? Aka regulators?
Itakua hainihusu ndo maana sijaelewa.
Mimi nakunywa mbege na ni kinywaji pendwa kabisa ndio maana nakusisitiza meku mwenzangu endelea kushushia na kisusio ile Konyagi tuwaachie wasioanguka!Tokea umeanza kuitaja hiyo mbege,inaonekana ni kinywaji chako pendwa!
Uko nje sana ya mada yako mwenyewe,what a shame!
Nje kabisa ya mada yako mwenyewe!Siku nyingine andika vitu vyenye logic kuepuka kuikimbia mada yako mwenyewe na kujikita kwenye utopolo kama huu unaoandika!Mimi nakunywa mbege na ni kinywaji pendwa kabisa ndio maana nakusisitiza meku mwenzangu endelea kushushia na kisusio ile Konyagi tuwaachie wasioanguka!
Hakuna kampuni pale stand ilikuwa kama airport kabisa ikiwa na maelfu ya ajira kiukweli mtu alikuwa huwezi na tofauti ya kupanda ndege na basi tofauti ilikuwa labda muda tu gari inaochukua njianiAlaaniwe aliyeshiriki kuiua Scandinavia kwa zile huduma za miaka ile sijaona kampuni yoyote kwa sasa ambayo inafikia
kwahio unataka LATRA wawe wanatoa viburudisho na magazeti safarini kama scandinavia? unaanzaje kulinganisha wakala wa serikali na kampuni binafsi?LATRA wamenielewa!
Mbona Scandinavia ilitumia ofisi za KAMATA! Hapo Gerezani, haina maana ililetwa na KAMATA.Sijachanganya madesa hapa, Mwaka 2012 Kuna gari ilikuja ilikuwa unapiga route ya Mbeya Dsm iliitwa green star, ulitumia ofisi za Scandinavia hapo Morogoro. Na ilikufa mapema Sana, saiz haipo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua Afrika ya Kati ina nchi ngapi! Mbona stesheni za Relwe Kyela, Mbeya, Iringa, Itigi na nyinginezo zilikuwa na mgahawa na chumba cha kulala wasafiri huku wakilindwa na ndio walioanza kuwa na mabasi yenye vyoo. Wakati mnaisifu Scandinavia Buffalo alikuwa na mabasi yenye choo.Hakuna kampuni pale stand ilikuwa kama airport kabisa ikiwa na maelfu ya ajira kiukweli mtu alikuwa huwezi na tofauti ya kupanda ndege na basi tofauti ilikuwa labda muda tu gari inaochukua njiani
Hadi sasa hakuna kampuni imefikia viwango vile Afrika Mashariki na Kati yote hakuna ambaye kaifikia ile standard
Relwe waliokuwa wakikata zile tiketi ngumu za mabox ya viatu sio za karatasi? Hiyo stand ilikuwa na viti vizuri na A.C. vya abiria kama scandinavia?Unaijua Afrika ya Kati ina nchi ngapi! Mbona stesheni za Relwe Kyela, Mbeya, Iringa, Itigi na nyinginezo zilikuwa na mgahawa na chumba cha kulala wasafiri huku wakilindwa na ndio walioanza kuwa na mabasi yenye vyoo. Wakati mnaisifu Scandinavia Buffalo alikuwa na mabasi yenye choo.
Katika suala la uongozi na usimamizi wa mambo, mzungu ni best.
Sisi waafrika tunawezakufanya kazi nyuma yao vizuri tuu
Hata Uongozi wa nchi, kama tutampa Uraisi Mzungu leo na Magu awe chiniyake basi utaona mabadiliko makubwa na ukata utaondoka na Tanzania itageuka kuwa nchi ya dunia ya kwanza mara moja.
Sisi Afrika suala la Utawala si letu.
Hawa Green star walikuwa ni wale waleMbona Scandinavia ilitumia ofisi za KAMATA! Hapo Gerezani, haina maana ililetwa na KAMATA.
Scandinavia ilikabiliwa na madeni toka Benki ya Maendeleo Africa, kuna wakati benki hiyo ilikamata mabasi yao na kuyafungia Temeke kwenye yadi ya serikali. Siasa ukiingia kichwakichwa ni mbaya, yule mzee alijifanya kada tajiri wa CCM, akachukua mabasi kupeleka watu bure kwenye ufunguzi wa daraja la Mkapa! Benki ilipoona hivyo huku akitoa visingizio kushindwa kulipa deni, wakashikilia mabasi na CCM haikuikataza benki hiyo kwani ni ya nje, huo ukawa mwisho wa Scandinavia.
hiyo SCANDNAVIA kwanini ilifilisika?Nimejaribu kufuatilia kwa karibu maboresho yanayofanywa na LATRA kwenye sekta ya usafiri wa abiria lakini sijaona Jipya.
Nikikumbuka kampuni yangu pendwa ya mabasi ya Scandinavia naona viwango walivyovifikia wakati wanafunga kampuni bado havijafikiwa na hawa Latra.
Mambo ya online booking na ticketing walishakuwa nayo achilia mbali vikorombwezo vingine kedekede safarini ikiwemo viburudisho na magazeti.
Bus ziliondoka kwa muda sahihi na hapakuwepo usumbufu wowote safarini.
Maendeleo hayana vyama!
Dar Lux ya Mkinga wa Makete. Kajitahidi Ila naye Kesha bugi. No more Dar Lux.Alaaniwe aliyeshiriki kuiua Scandinavia kwa zile huduma za miaka ile sijaona kampuni yoyote kwa sasa ambayo inafikia