Nyuma yake ni mpiga debe na dereva bodaboda mnywa visungura ndiyo alikuwa anamuongoza na kuhanikiza ubebaji wa picha.Dah!Huyu jamaa bure sana!View attachment 3403997
Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji.
Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya kueleweka labda atapewa nafasi ya kufundisha watoto wadogo kuimba na kucheza.
Kwa hakika Mch Msigwa hawezi kwenda Catholic,Lutheran au Anglican.
Mch Msigwa hajawahi kubeba MSALABA alama kuu katika Ukristo.
Mch Msigwa kabeba picha ya Rais Samia kwa heshima na ishara kuu ya imani yake.Msigwa kafanya yote lakini bado CCM wametafuna kichwa chake.
Nimeamini linapokuja swala la maslahi CCM hawana mswalie Mtume.
Tunamsubiri Msigwa katika teuzi za ukuu wa Wilaya au uDED.
Ngongo kwasasa Siha.
Mtu mzima unaponzwaje?Hizo ndizo akili zake.Nadhani Makalla ndiye aliyemponza! Bado alikuwa CDM damu damu.
Ila kusema kweli nimemuonea huruma sanaView attachment 3403997
Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji.
Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya kueleweka labda atapewa nafasi ya kufundisha watoto wadogo kuimba na kucheza.
Kwa hakika Mch Msigwa hawezi kwenda Catholic,Lutheran au Anglican.
Mch Msigwa hajawahi kubeba MSALABA alama kuu katika Ukristo.
Mch Msigwa kabeba picha ya Rais Samia kwa heshima na ishara kuu ya imani yake.Msigwa kafanya yote lakini bado CCM wametafuna kichwa chake.
Nimeamini linapokuja swala la maslahi CCM hawana mswalie Mtume.
Tunamsubiri Msigwa katika teuzi za ukuu wa Wilaya au uDED.
Ngongo kwasasa Siha.
Urithi wa vigagula vya ukoo wake utaamua hatma yake, yetu machoSasa tumsaidieje.
Jitu zima linalala na mke linabeba picha za wanawake hadharaniView attachment 3403997
Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji.
Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya kueleweka labda atapewa nafasi ya kufundisha watoto wadogo kuimba na kucheza.
Kwa hakika Mch Msigwa hawezi kwenda Catholic,Lutheran au Anglican.
Mch Msigwa hajawahi kubeba MSALABA alama kuu katika Ukristo.
Mch Msigwa kabeba picha ya Rais Samia kwa heshima na ishara kuu ya imani yake.Msigwa kafanya yote lakini bado CCM wametafuna kichwa chake.
Nimeamini linapokuja swala la maslahi CCM hawana mswalie Mtume.
Tunamsubiri Msigwa katika teuzi za ukuu wa Wilaya au uDED.
Ngongo kwasasa Siha.
Wakati wa Magufuli hilo ndio lililofanyika katika kile Magufuli alichotaka ionekane anakubalika sana, hadi ameipa ccm mvuto na kuua upinzani. Wengi wa waliokuwa na majina ndani ya cdm walihamia ccm na kupewa vyeo, ama upendeleo fulani. Kwa bahati mbaya mazingira yale kwa sasa hayapo.Wamebaki coving 19, hao watakawa hadi vichwa. Ila kuna wanadamu wajinga sn, yani mtu uhame chama X usiku uende chama Y asubuhi na kugombea.