Pamoja na pesa na umaarufu,sura ya Harmonize imegoma kukaa kisupastaa

Pamoja na pesa na umaarufu,sura ya Harmonize imegoma kukaa kisupastaa

Nina rafiki zangu identical twin ,walizaliwa wanafanana kila kitu,

ilukuwa ngumu kuwatofautisha


Kupanga ni kuchagua,Kurwa aliamua kusoma sasa yupo TRA


Doto ni dalali tu mtaani


Sasa tofauti yao iko bayana Kurwa anangara maana hapigwi jua maisha yake ni full kiyoyozi

Doto kapauka


Hawafanani tena


Diamond zamani alikuwa na mdomo kama chai jaba


Mdomo ulipotea ghafla baada ya kupata pesa

Harmonise sura yake imeendelea kufanana na harmorapa hakuna tofauti
Sura imegomea pesa.

Mimi mzee wenu kwa sasa sipendi kujiangalia kwenye kioo,nimepauka mbaya tofauti na enzi zangu nilivyokuwa sina
Kama unamjua MSUKUMA hutamshangaa HARMONISE.
 
Kumbe nilidhani hili nimeloona peke yangu. Hata uvaaji tu unatia mashaka. Msanii mkubwa unavaaje vile. Mwili unafutuka umevimbiana Hana ma gym trainer wamuweke sawa? Daily vizibao vya kuhifadhia mabomu kama anaenda vitani
Atafute wataalam wakubrand muonekano,hana tofauti na wahuni wa mitaani
 
Hii ni mada iliyoletwa na mwanaume kweli?

Yaani kabisa umechukua muda wako kuandika hii thread kumnanga mwanaume mwenzio kuhusu muonekano wake serious?

Sina shaka lazima watakuwa wanakufira wewe jamaa, nyuzi kama hizi sio za kuletwa na mwanaume kamili

Bila shaka wewe msengee utakuwa unamuonea sana wivu kajala, ulitamani Konde boy akuchukue wewe hili awe anakuinamisha.

Ndio maana unamchukia sana Magufuli, kwa sababu alijua kudeal na wapumbavu na wajinga kama wewe msiokuwa na faida yoyote kwenye taifa hili.
 
Jamaa anaonekana ni mzuri kitandani harafu akipenda anajua kuhonga vizuri hayo mambo ya sura ya kistaa tuwaachie watoto wa 2000
Tunamuwazia sawasawa na kwa kuongezea tu harmo ni yule mwanaume anaejiamini sio muoga, akiongeza hogo, kujua kutoa na kula bata aaah ni ngumu mwanamke kuchomoa, linajua kubembeleza pia likimtaka mwanamke
 
Back
Top Bottom