Pamoja na pesa na umaarufu,sura ya Harmonize imegoma kukaa kisupastaa

Pamoja na pesa na umaarufu,sura ya Harmonize imegoma kukaa kisupastaa

mmh ilo jungu hapana. hivi harmonize wa Aiyora na wa sasa wako sawa kweli?。。。。。anyway ni mtazamo labda ili uwe staa na kubadilika usionekane, kuwa bonge....
 
1746595432727.jpeg

Kwamba hapo chai jaba imepotea..aise kweli kipofu mleta mada😀😀😀
 
Kumbe nilidhani hili nimeloona peke yangu. Hata uvaaji tu unatia mashaka. Msanii mkubwa unavaaje vile. Mwili unafutuka umevimbiana Hana ma gym trainer wamuweke sawa? Daily vizibao vya kuhifadhia mabomu kama anaenda vitani
Wewe utakua punga sio bure Yani kipa katoka
 
Mkuu mwanaume kukaa kuangalia mionekano ya nje kwa mwanaume mwenzako ni tatizo..

Akiwa na mali inatosha huyo kwasasa hasubiri maharage yaive ndipo ale ugali..
 
Back
Top Bottom