Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Wee,si wale vijana walienda soma kilimo? Wametoa taarifa au wamekuta miili?Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.
Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.
Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.
Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.
Nimemumia sana aisee
Hujasikia taarifa Jana Usk?Wee,si wale vijana walienda soma kilimo? Wametoa taarifa au wamekuta miili?
Nani huyo anayewatetea Hamas kutoka Serikalini?Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji.
Hapo juu unafanya mashambulizi kwa nani haswa. Umejitutumua na kushupaza shingo halafu umeshindwa kutamka uliyotaka kutamka. Unazunguka mbuyu!Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.
Kuna tofauti kati ya Hamas na mamlaka ya Palestine (PA).Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.
Nyerere alilazimishwa kuunga mkono Palestina kwa msukumo.w kidini wa Nchi kiarabuMkuu kwanza pole kwa msiba pili hakuna mtu anaeiunga mkono palestine kwa msukumo wa kidini ila ni COMMON SENSE tuu. Unachotaka kukimaanisha hapo ni ujinga na upotoshaji. Nikuulize, mwalimu Nyerere alikua anaiunga mkono Palestine na akavunja diplomatic ties na Israel sasa hapo alisukumwa na udini au common sense? Uwe na akili saa zingine.
Magaidi ya Kiislamu ndipo yanayosumbua Dunia...na Waislamu wanajitia upofu ktk hili...Wacheni Propaganda.
Atleast muwe objective basi
Nani huyo anayewatetea Hamas kutoka Serikalini?
Hapo juu unafanya mashambulizi kwa nani haswa. Umejitutumua na kushupaza shingo halafu umeshindwa kutamka uliyotaka kutamka. Unazunguka mbuyu!
Unajua kuna watu wa imani ngapi hapa Tanzania?
Sasa kama Hatuna mahusiano na Hamas si ndio.ilikuwa wakati mzuri kuwapigia kelele.waachie mateka wetu watanzania?Kuna tofauti kati ya Hamas na mamlaka ya Palestine (PA).
PA ndio tuna mahusiano nao sio Hamas
We ni Mpumbavu [emoji817]Palestine anahusika vipi na hivyo vifo?
Vijana walichukuliwa mateka na hamas wamefariki Kwa mashambulizi ya jeshi la Israel!!
Sasa hapo Palestine anahusika vipi?
Udini unamsumbua Kiongozi wa TANZANIASasa kama Hatuna mahusiano na Hamad si ndio.ilikuwa wakati mzuri kuwapigia kelele.waachie mateka wetu watanzania?
Kwa nini serikali ilikaa kimya?
Hakuna nchi walio shobokea dini kipumbavu kama TzTanzania ina mihemko ya kidini
Acha laghai hawa ni kitu kimoja washenzi endapo wameua ndugu yetu.Kuna tofauti kati ya Hamas na mamlaka ya Palestine (PA).
PA ndio tuna mahusiano nao sio Hamas
Nachelea kusema R.I.P gentleman..Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.
Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.
Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.
Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.
Nimemumia sana aisee
“ Say, 'He is God the One, God the eternal. He begot no one nor was He begotten. No one is comparable to Him. '”